bandu bandu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,747
- 874
Ila ki ukweli asilimia kubwa ya wanaonuka kwapa ni akina dada tena huwa ya kwao yanatema hata akipita umbali wa mita 5 utalisikia tu
Kuna watu wananuka kwapa jamani,,,
pakeni deodorantIla pesa yake haitoi harufu hata ingetokea kwapani. Bora rangi ijulikane tu. Acheni shombo nyiye. Nachukia maneno hovyo haya yaani basi tu
kuoga vizuri na usafi wa vyumba vyao kwa ujumla mana chumba kinakuwa kama kimefushwa na mijasho basi ukivaa nguo safi hujulikani!pakeni deodorant
This is too deep.kuoga vizuri na usafi wa vyumba vyao kwa ujumla mana chumba kinakuwa kama kimefushwa na mijasho basi ukivaa nguo safi hujulikani!
Alafu uwe ndipo pua yako iwe kwenye USA wa wa kwapa na daladala imeshona.Ila wajameni usiombe ukutane na kwapa linalotema halafu mbaya zaidi unapata ni jeusiiii kama uchafu wa vocha...
Na hapo iwe ni kwenye daladala mikono juu mwendo wa mateka, nje mvua inanyesha watu wamefunga vioo...
Hahahahahahaha!!! Boii we noma kama pilau la kipaimaraa!!!!SAWA NA WEWE WAAMBIE WADADA WENZAKO NAO USAFI CHINI MUHIMU UNAKUTA DEMU VUZI LIMEFUBAA LA NJANO KA PILAU LA KIPAIMARA
Mm je[emoji54]Sina wasiwasi na wewe katika ma swala haya.
Kukesha wapjamani kwa kweli mmezidi yaani ukitoka kukesha unaambukizwa harufu mpaka kwenye nywele
[emoji7] [emoji7] [emoji7]Ukimpenda utamsaidia ku overcome tatizo
*Unakutana na mwanamke nywele nyekundu,nyusi zakijani,midomo ya bluu,kucha zanjano, mpaka unajiuliza huyu ni mwanadamu au UPINDE WA MVUA.*
*Nmeirusha kama ilivo mithiri ya vocha vile, tusitaftane[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]*