M4C-OPD ndani ya Geita - Jan 27, 2014

M4C-OPD ndani ya Geita - Jan 27, 2014

Bwana Mbowe baada ya gari lake kugonga mwendesha pikipiki na yeye kukodi gari nyingine na kumtelekeza mwendesha pikipiki akiwa na Maumivu Makali sana na yeye Mbowe kuendelea na ziara yake, wananchi Wa Esau kuwa kiongozi huyu kumbe Hana huruma kabisa, na wamesema Leo watafurika kumshuhudia kiongozi katili na Wameapa kumuuliza maswali bila kujali kwamba yeye Mbowe amewaandaa Redbrigade kuwatisha au kuwadhuru wananchi watakaothubutu kumuuliza maswali kiongozi huyo , maswali yaliyozuiliwa ni kuhusu zitto na lile la ajari. Taarifa hizi tumezipata kutoka kwa viongozi wetu waadilifu ndani ya Chadema kutoka Geita.

ni ajali
 
Umevurugwa na chapa chapa ya M4C Pamoja Daima!
 
Katika kile kinachoweza kuitwa historia, wakazi wa wilaya mpya ya Nyang'hwale iliyoko mkoani Geita wamekusanyika mamia kwa mamia kusikiliza hotuba za OPD. Hotuba hizi zitafanyika hapa Nyang'hwale kwenye mji wa Kharumwa kilometa 25 kutoka mgodi wa Bulyanhulu na kilometa 100 kutoka Geita Gold Mine. Watu Ni wengi mno. Mbowe na msafara wake watatua na chopa saa tisa alasili ingawa watu kutoka Kakola Bulyanhulu na maeneo mengine wamefika saa mbili asubuhi kwa baiskeli, pikipiki na kwa miguu. Kwa kweli wasukuma wameamka! Nitawajuza zaidi.
Hatimaye Kamanda wa anga awasili kwa helikopta na umati mkubwa unamshangilia Mhe.Mbowe. Hali ya hewa si nzuri sana kwani mvua imenyesha na manyunyu yanaendelea lakini watu wanazidi kumiminika kuja katika uwanja wa magereza hapa Geita Mjini. Nitakuwa nawapa kila updates!
 
Keep updating kamanda,M4C pamoja daima ni kiboko ya wezi magamba mapanya ya hazina ya taifa..
 
Nilisha sema wasukuma si wanafiki walisha ikataa ccm na hila zake zote ukombozi wa mara ya pili uko njiani kazi kwenu wazushi wa lumumba wale wa shift ya usiku
 
Bwana Mbowe baada ya gari lake kugonga mwendesha pikipiki na yeye kukodi gari nyingine na kumtelekeza mwendesha pikipiki akiwa na Maumivu Makali sana na yeye Mbowe kuendelea na ziara yake, wananchi Wa Esau kuwa kiongozi huyu kumbe Hana huruma kabisa, na wamesema Leo watafurika kumshuhudia kiongozi katili na Wameapa kumuuliza maswali bila kujali kwamba yeye Mbowe amewaandaa Redbrigade kuwatisha au kuwadhuru wananchi watakaothubutu kumuuliza maswali kiongozi huyo , maswali yaliyozuiliwa ni kuhusu zitto na lile la ajari. Taarifa hizi tumezipata kutoka kwa viongozi wetu waadilifu ndani ya Chadema kutoka Geita.

Mkuu Hata Kama Mimi sio CHADEMA lakini ni vizuri kuwatendea haki kwa kutoa taarifa za ukweli. Wewe kumbe hukuwapo Geita. Shiiiiiiiiiiiiit!
 
Hakuna haki zaidi ya kuivumilia Chadema kuwepo nchini Tz, hata Hivyo siku ipo Kama siyo Leo basi kesho, SACCOS hii itafutiliwa mbali.
 
Bwana Mbowe baada ya gari lake kugonga mwendesha pikipiki na yeye kukodi gari nyingine na kumtelekeza mwendesha pikipiki akiwa na Maumivu Makali sana na yeye Mbowe kuendelea na ziara yake, wananchi Wa Esau kuwa kiongozi huyu kumbe Hana huruma kabisa, na wamesema Leo watafurika kumshuhudia kiongozi katili na Wameapa kumuuliza maswali bila kujali kwamba yeye Mbowe amewaandaa Redbrigade kuwatisha au kuwadhuru wananchi watakaothubutu kumuuliza maswali kiongozi huyo , maswali yaliyozuiliwa ni kuhusu zitto na lile la ajari. Taarifa hizi tumezipata kutoka kwa viongozi wetu waadilifu ndani ya Chadema kutoka Geita.

Kwani ajali ilitokea geita? kumbe wewe hata ramani ya tanzania huijui. Lini ngara ilipakana na geita!!?..duh!..kazi mnayo.
 
huo uzushi mpelekee malaya wako na si kwa wanageita! Huku ccm tunamalizia kuizika najua umepost ili upate buku saba zako! Huna hata aibu wananchi watafurika kumlaki kamanda wa anga mbowe na mwaka huu mpaka ma..vi yagonge chu..pi ndani ya magamba,hauna tofauti na madada poa

jOSEPHINE mShUmBUs NA jOYcE AKA uTAmU dUBAi
 
Unaweza ukuijua vizur geita na ukabaki kua mbulula jpange kwanza chadrma tunasonga mbele
 
Kwa hiyo huyo dreva wa bodaboda altumwa na CCM ili asababishe Mbowe kusitisha safari ya Ngara? Mama Salma Kikwete kashasababisha vifo vya watu zaidi ya watatu katika ziara zake za Nyamisati lakini hata mara moja hajawahi kusimama hata kusimama au kurudi kuwapa pole wafiwa.
 
Jamani utoke Kakola,namba 9,Lushimba,Kanegele,Bumanda hadi Kharumwa kwa mguu. Acha uongo, shenzytype.
 
Jamani utoke Kakola,namba 9,Lushimba,Kanegele,Bumanda hadi Kharumwa kwa mguu. Acha uongo, shenzytype.

Hasira zenu haziwezi kuubadili ukweli, Chadema kwa sasa ni kama wanateleza hivi, hawazuiliki wananikera kutokumsamehe zitto, hilo tu
 
Back
Top Bottom