M4C-OPD ndani ya Geita - Jan 27, 2014

M4C-OPD ndani ya Geita - Jan 27, 2014

Nikuanzia SAA 7 mchana katika viwanja vya magereza, kamanda wa Anga Mbowe ataongoza mashambulizi.

Source: WAITARA tupo naye hapa Geita tangu mchana Leo.
 
Mungu awabariki. Hakuna kulala mpaka nchi ikombolewe toka kwa mafisadi CCM
 
Asante kwa taarifa mkuu. Nchi lazima ikombolewe kutoka mikononi mwa wanyang'anyi. Tuko pamoja.
 
Nikuanzia SAA 7 mchana katika viwanja vya magereza, kamanda wa Anga Mbowe ataongoza mashambulizi.

Source: WAITARA tupo naye hapa Geita tangu mchana Leo.

Safi sana makamanda.huu ndio mwisho wa mafisadi
 
Wale vijana wa Lumumba wako wapi? Au walishafukuzwa baada ya Mradi wa Zitto kwisha? Nilitegema wangechangia sana huku...na waseme wanayoyaona na siyo wanayoyahisi au kuambiwa...
 
Kila la heri wanageita! Chadema hakikisheni mnaingia ndani vijijini, ambako serikali dhaifu ya ccm imewanyima umeme, barabara na maji safi!
 
M4C ni noumaaaaa!

Rocky City Ndo Home!!!😛eace:
 
Bwana Mbowe baada ya gari lake kugonga mwendesha pikipiki na yeye kukodi gari nyingine na kumtelekeza mwendesha pikipiki akiwa na Maumivu Makali sana na yeye Mbowe kuendelea na ziara yake, wananchi Wa Esau kuwa kiongozi huyu kumbe Hana huruma kabisa, na wamesema Leo watafurika kumshuhudia kiongozi katili na Wameapa kumuuliza maswali bila kujali kwamba yeye Mbowe amewaandaa Redbrigade kuwatisha au kuwadhuru wananchi watakaothubutu kumuuliza maswali kiongozi huyo , maswali yaliyozuiliwa ni kuhusu zitto na lile la ajari. Taarifa hizi tumezipata kutoka kwa viongozi wetu waadilifu ndani ya Chadema kutoka Geita.
 
attachment.php
 
Bwana Mbowe baada ya gari lake kugonga mwendesha pikipiki na yeye kukodi gari nyingine na kumtelekeza mwendesha pikipiki akiwa na Maumivu Makali sana na yeye Mbowe kuendelea na ziara yake, wananchi Wa Esau kuwa kiongozi huyu kumbe Hana huruma kabisa, na wamesema Leo watafurika kumshuhudia kiongozi katili na waneapa
thread nyingine bana!!
 
Utaumbuka muda si mrefu,
 
Back
Top Bottom