kila la kheri kamanda Mbowe katika ujeshi wa ukombozi wa kweli wa Mtanzania.
kwenye mapambano kila mtu ni kamanda. Nina imani na kamanda wa anga, go kamanda, go CDM, PAMOJA DAIMA!Kutoa ratiba za kichama za viongozi wakuu siyo jukumu la kurugenzi?
karibu sana Geita, hayo ndio mambo sasa.
Good, we will always support you Mh Mbowe. Remember, 'mti wenye matunda ndo upigwa mawe".
Hatumtaki huku kwetu geita. Akija yatamkuta ya padri slaa huko kasuru.
Hatumtaki huku kwetu geita. Akija yatamkuta ya padri slaa huko kasuru.
Kama alivyoshambuliwa zzk na hao zero brain.
endelea kutumika hapo wenzio wanapiga ruzuku wanaenda kununua majumba dubai huku wakivinjari na mahawara zake wee upo tu hapo
FUKARA KAMA WEWE unadhani unaweza KUMTISHA MBOWE ? MASIKINI MKUBWA WEE !
kwa hisani ya bwana rogers j ruhega, kaimu katibu wa chadema mkoa wa geita
wanachama wote wa chadema na wote wapenda mabadiliko na uhuru wa kweli, wazalendo wote na wapenda maendeleo wa geita, mnakaribishwa sana na mnaomba kuendelea kuwaalika wengine katika mkutano huo mkubwa sana wa kufungua mwaka utakaofanyika geita mjini ndani ya kata ya kalangalala.
Mkutano huo utafuatiwa na kikao cha baraza la mashauriano la chadema mkoa wa geita litakalokuwa na lengo kubwa la kutathimini shughuli ya ujenzi wa chama kupitia programe ya chadema ni msingi ndani ya majimbo yote sita yaliyomo ndani ya mkoa wa geita.
Wadau; muda na eneo husika la wapi mkutano utakapofanyikia tutazidi kufahamishana jinsi siku zinavyozidi kukaribia, please stay tuned!
Mwaka 2014 ni mwaka wa maandalizi ya mwisho mwisho kabla ya ukombozi mkuu wa uhuru wa mara pili 2051.
unamkosoa mwenzako kwa kukosea mwaka vp na ww uzi wako mbna hauna spacin? au ndo msemo wa nyan haoni kundule? afu nyamigota na katoro znauhusiano gan? acha kuassume unajua sehemu ambazo inawezekana haujafka na haujui.. lekaga tuja nyandaWewe Nyamigota nilishakwambia kwamba huwa unakurupuka sana,na ndiyo tabia yako miaka yote,na hata kwenye kazi unakurupuka tu! Badilika vinginevyo itafika hata huo mwaka 2051 unaousema kwamba utakuwa ni wa uhuru na ukombozi bado msifanikiwe,wenzakomtunawaza uchaguzi wa mwakam2015 wewe unawaza 2051!!
Kutoa ratiba za kichama za viongozi wakuu siyo jukumu la kurugenzi?
Kumbe matarajio yenu ni mwaka 2051, duuu!!!! hiki chama ni kama kundi la magoigoi.Kwa hisani ya Bwana Rogers J Ruhega, Kaimu Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Geita
Wanachama wote wa CHADEMA na wote wapenda mabadiliko na uhuru wa kweli, wazalendo wote na wapenda maendeleo wa Geita, mnakaribishwa sana na mnaomba kuendelea kuwaalika wengine katika mkutano huo mkubwa sana wa kufungua mwaka utakaofanyika Geita mjini ndani ya kata ya kalangalala.
Mkutano huo utafuatiwa na kikao cha baraza la mashauriano la CHADEMA Mkoa wa Geita litakalokuwa na lengo kubwa la kutathimini shughuli ya ujenzi wa chama kupitia programe ya CHADEMA ni msingi ndani ya majimbo yote sita yaliyomo ndani ya Mkoa wa Geita.
Wadau; muda na eneo husika la wapi mkutano utakapofanyikia tutazidi kufahamishana jinsi siku zinavyozidi kukaribia, please stay tuned!
Mwaka 2014 ni mwaka wa maandalizi ya mwisho mwisho kabla ya ukombozi mkuu wa uhuru wa mara pili 2051.