M4C-OPD ndani ya Geita - Jan 27, 2014

M4C-OPD ndani ya Geita - Jan 27, 2014

haha..Mbowe ana watendaji na watu wa kuhsughulikia hilo jambo..si salama wala vyema kugonga mtu na kurudi hapo hapo..ingawa najua hakuna ukweli,kwani inawezekana aligongwa na watu wengine karibu na msafara au muda mfupi kabla au baadae..ila si salama sana kwa viongozi wa upinzani ambao wanaweza kuwa wanategewa na desperate CCM
 
Bwana Mbowe baada ya gari lake kugonga mwendesha pikipiki na yeye kukodi gari nyingine na kumtelekeza mwendesha pikipiki akiwa na Maumivu Makali sana na yeye Mbowe kuendelea na ziara yake, wananchi Wa Esau kuwa kiongozi huyu kumbe Hana huruma kabisa, na wamesema Leo watafurika kumshuhudia kiongozi katili na Wameapa kumuuliza maswali bila kujali kwamba yeye Mbowe amewaandaa Redbrigade kuwatisha au kuwadhuru wananchi watakaothubutu kumuuliza maswali kiongozi huyo , maswali yaliyozuiliwa ni kuhusu zitto na lile la ajari. Taarifa hizi tumezipata kutoka kwa viongozi wetu waadilifu ndani ya Chadema kutoka Geita.

Heshima yako kwanza mkuu?!

Najua unaendelea vyema sana na utakuwa umeumizwa na kitendo hicho kwa sbb kwa hali yako ulivyo wewe ni lazima uumie kwa sababu una ushahidi mwilini mwako!

Hawa ndio viongozi wetu tulio nao ambao wanatakw tuwape nchi,Mbowe hana tofauti na baadhi ya viongozi wezi,mwjambazi na manyang'au yaliyoko ccm!
 
Bwana Mbowe baada ya gari lake kugonga mwendesha pikipiki na yeye kukodi gari nyingine na kumtelekeza mwendesha pikipiki akiwa na Maumivu Makali sana na yeye Mbowe kuendelea na ziara yake, wananchi Wa Esau kuwa kiongozi huyu kumbe Hana huruma kabisa, na wamesema Leo watafurika kumshuhudia kiongozi katili na Wameapa kumuuliza maswali bila kujali kwamba yeye Mbowe amewaandaa Redbrigade kuwatisha au kuwadhuru wananchi watakaothubutu kumuuliza maswali kiongozi huyo , maswali yaliyozuiliwa ni kuhusu zitto na lile la ajari. Taarifa hizi tumezipata kutoka kwa viongozi wetu waadilifu ndani ya Chadema kutoka Geita.

huo uzushi mpelekee malaya wako na si kwa wanageita! Huku ccm tunamalizia kuizika najua umepost ili upate buku saba zako! Huna hata aibu wananchi watafurika kumlaki kamanda wa anga mbowe na mwaka huu mpaka ma..vi yagonge chu..pi ndani ya magamba,hauna tofauti na madada poa
 
Kwanza kuwa na adabu we mdada,acha kiherehere!

Halafu unazungumzia Geita gani wewe ambapo chadema itaizika CCM?!

Mwaka 2010 mlishindwa kuuchuku ubunge wa jimbo la Geita pamoja na kusaidiwa na wanaccm wenyewe kwa sababu walikuwa hawamtaki Max,lakini baadhi yenu mkanunuliwa na ccm hiyo hiyo,sasa leo unatoa wapi ujasiri huo?!

Mwaka 2008 mashindwa kuchukua ubunge katika jimbo la Busanda kwenye uchaguzi mdogo na bado ikawa hivyo 2010 sasa mtaweza lini na wapi?!

Mmekuwa na migogoro ya kugombani madaraka mara kwa mara,sasa hivi Rogers mmeanza kumpiga vita eti sio mzaliwa wa Geita kwa sababu anatokea Mpanda!

Leo mnamuunga mkono Joseph Mangilima mbaye kila siku anawaibia fedha za kuhudumia jamii zinazotolewa na GGM!

Ni ngumu mkuu chadema kushinda kati ya majimbo yote matatu yaliyopo Geita.
 
Nape Matonge.jpg

Ulitaka afanye kama hivi?
 
huyo anaonekana kuongea kwa kuwa haijui GEITA
 
huo uzushi mpelekee malaya wako na si kwa wanageita! Huku ccm tunamalizia kuizika najua umepost ili upate buku saba zako! Huna hata aibu wananchi watafurika kumlaki kamanda wa anga mbowe na mwaka huu mpaka ma..vi yagonge chu..pi ndani ya magamba,hauna tofauti na madada poa

Kila siku mnaizika tu! Mimi nkajua mshaisahau...
 
huo uzushi mpelekee malaya wako na si kwa wanageita! Huku ccm tunamalizia kuizika najua umepost ili upate buku saba zako! Huna hata aibu wananchi watafurika kumlaki kamanda wa anga mbowe na mwaka huu mpaka ma..vi yagonge chu..pi ndani ya magamba,hauna tofauti na madada poa

Huyu anaota.kwa hiyo kama mwendesha piki piki alijilengesha yeye mwenyewe uliyegemea ambebe?aacheni uzushi ccm
 
Kwanza kuwa na adabu we mdada,acha kiherehere!

Halafu unazungumzia Geita gani wewe ambapo chadema itaizika CCM?!

Mwaka 2010 mlishindwa kuuchuku ubunge wa jimbo la Geita pamoja na kusaidiwa na wanaccm wenyewe kwa sababu walikuwa hawamtaki Max,lakini baadhi yenu mkanunuliwa na ccm hiyo hiyo,sasa leo unatoa wapi ujasiri huo?!

Mwaka 2008 mashindwa kuchukua ubunge katika jimbo la Busanda kwenye uchaguzi mdogo na bado ikawa hivyo 2010 sasa mtaweza lini na wapi?!

Mmekuwa na migogoro ya kugombani madaraka mara kwa mara,sasa hivi Rogers mmeanza kumpiga vita eti sio mzaliwa wa Geita kwa sababu anatokea Mpanda!

Leo mnamuunga mkono Joseph Mangilima mbaye kila siku anawaibia fedha za kuhudumia jamii zinazotolewa na GGM!

Ni ngumu mkuu chadema kushinda kati ya majimbo yote matatu yaliyopo Geita.

tatizo la watu wahamiaji haramu ndo hili,wewe huijui geita unaropoka tu! Kwa ufup ccm hamna chenu tena na huyo zezetz max harud tena mjengoni upo utaniambia
 
Anderson,

Kweli Bwana Mbowe gari lake liligonga motorcyle maeneo hayo akienda Bukoba. Kila mtu akisafiri kwa gari yawezekana akapata ajali ya aina yoyote akiwa safarini.

Kisheria, ajali ikitokea anayetakiwa police ni Driver wa gari iliyopata ajali. Kama kuna damages zozote kwa gari au mtu (third parties) insurance cover inafanya kazi yake. Police wanasheria zao za kupeleka driver mahakamani na kuhukumiwa. I think sio fair kumhusisha Mbowe eti ni mkatili au hana huruma!

Also huyu Mbowe ni kiongozi wa kitaifa kama viongozi wetu wa ccm akina Kinana, Nape, JK, wabunge etc. Nadhani alikuwa na ratiba huko Bukoba ya mikutano. Ulitaka afanyeje yeye? Na mbona RPC alisema ameongea naye akiwa amepata ajali na alipokuwa katikati ya safari kuelekea Bukoba baada ya kupata ajali? Ina maana RPC hajaona kosa la Mbowe sio?

Ili kujenga chama chetu, CCM tafadhali tujenge hoja nzito kama chama tawala na zenye mashiko. Tuache hizi hoja zisizo hata na mantiki hata kwa watoto wadogo. Tujenge na kuimarisha chama chetu kama ilivyokuwa zama za Julius Nyerere.

Ni mie Kada wa CCM asiye Mnafiki!
 
Umbea utawaua nyinyi sasa shift za usiku zinawachisha sana wapendwa mnashinda na usingizi mabandiko yenu humu jamvini hata ajaeleweki na geiya mwaka 2010 dr slaa alipata kura zaidi ya 80elfu na tume ikatangaza alipata kura elfu nane wapendwa mkumbuke wasukuma si wanafiki walisha ikataa ccm mda mlefu na uongo na hila zake zote
 
Bwana Mbowe baada ya gari lake kugonga mwendesha pikipiki na yeye kukodi gari nyingine na kumtelekeza mwendesha pikipiki akiwa na Maumivu Makali sana na yeye Mbowe kuendelea na ziara yake, wananchi Wa Esau kuwa kiongozi huyu kumbe Hana huruma kabisa, na wamesema Leo watafurika kumshuhudia kiongozi katili na Wameapa kumuuliza maswali bila kujali kwamba yeye Mbowe amewaandaa Redbrigade kuwatisha au kuwadhuru wananchi watakaothubutu kumuuliza maswali kiongozi huyo , maswali yaliyozuiliwa ni kuhusu zitto na lile la ajari. Taarifa hizi tumezipata kutoka kwa viongozi wetu waadilifu ndani ya Chadema kutoka Geita.

hizi pumba zako kawaeleze magamba wenzako. mbona mapovu yanakutoka?
 
tatizo la watu wahamiaji haramu ndo hili,wewe huijui geita unaropoka tu! Kwa ufup ccm hamna chenu tena na huyo zezetz max harud tena mjengoni upo utaniambia

Mbona unajihami sana mkuu?!

Mimi sio mhamiaji haramu,kwanza nakuunga mkono kwamba Max hawezi kurudi bungeni hilo ni kwa asilimia 10000000000000!

Lakini chadema pia hawana jimbo la kuchukua kati ya majimbi matatu ya Geita,Nyang'hwale,na Busanda!

N hata kama watagawanya jimbo la Geita na kuwa la mjini na lile la vijijini hampati kitu labda mpaka mbadilike kabisa muache fitina,na ushamba wa uchaguzi!

Halafu mkuu unaponiambia siijui Geita unakosea sana,sijazaliwa Geita lakini tangu mwaka 2000 niko Geita huko ndo kuna kila kitu changu na wewe unajua,nenda Lwamgasa,Nyarugusu,Nyaruyeye,na hapo mjini kuna vitu vyangu vingi na pengine wewe utakuwa mmoja wa wafanyakazi wangu!

Naijua Geita kuliko wewe unavyoijua,nimekwenda kika kijiji wilani Geita,kila Kata na baadhi ya Vitongoji,wewe je?!

Pamoja na kwamba kwa sasa nipo Dar lakini kila wiki niko Geita kwa sbb ndio kuna shughuli zangu zote ukiacha Misungwi,Mwakitolyo na Musoma!

Sikiliza nikwambie pengine wewe unafanya ushabiki tu lakini ninachokizungumza mimi naomba kibaki hapo nilipoishia!!
 
Bwana Mbowe baada ya gari lake kugonga mwendesha pikipiki na yeye kukodi gari nyingine na kumtelekeza mwendesha pikipiki akiwa na Maumivu Makali sana na yeye Mbowe kuendelea na ziara yake, wananchi Wa Esau kuwa kiongozi huyu kumbe Hana huruma kabisa, na wamesema Leo watafurika kumshuhudia kiongozi katili na Wameapa kumuuliza maswali bila kujali kwamba yeye Mbowe amewaandaa Redbrigade kuwatisha au kuwadhuru wananchi watakaothubutu kumuuliza maswali kiongozi huyo , maswali yaliyozuiliwa ni kuhusu zitto na lile la ajari. Taarifa hizi tumezipata kutoka kwa viongozi wetu waadilifu ndani ya Chadema kutoka Geita.

Sasa watu kufurika na kumwuliza Kiongozi maswali nalo ni tatizo? wewe unalo jambo kama sija kosea ni wale wale wakujenga chuki binafsi.
 
Back
Top Bottom