Poor minded!!Sawa mkuu, naona unafanya kazi ya kiongozi wako mdhaifu. Very stupid posts for this day.
Bolded and underlined ni kiswahili cha wapi!!!M4C haiwezi kuwa hoi na usifurahie hali kama hiyo,sikitika!!!!Tupo hapa viwanja vya TIPI Sinza ambako kuna kamkutano ka chadema,, ni aibu tupu kuna watu wasiozidi 40. Lema hana hamu. Inatia huluma sana kwa kweri.
View attachment 57286
Makamanda wakiwa Sinza
Poor minded!!
mkuu picha ya mwaka 2010 kwenye kipindi cha kampeni sijui mtaa gani....
Hii Picha ni ya Kibaha kwa Habib Mchange wakati wa kampeni 2010
hivi na wewe ni greatest thinker ebu ondoka humu wahi kule fbWahi white inn wewe ukakalie kiti chako.
Najua una stress za kufumaniwa mawaziri wa dhaifu kutoka chama cha wapuuzi...
https://www.jamiiforums.com/mahusia...te-afumaniwa-singida-apigwa-sime-mkononi.html