M4C: Lema kuunguruma leo..

ndesapesa: adui namba moja wa watanzania ni wabunge wa magamba.
 
wahi white inn wewe ukakalie kiti chako.
wanafanywa hivyo nyinyiemu,nawewe najua jana ulifanywa hivyo.kibaraka kama wewe ambaye ni zezeta lazima wakulime ili uendelee kubaki mjini.
 
wewe ndio zaidi yake manake sisi watu wa huku Arusha tumemchagua sisi na tunampenda sana huyu kamanda wetu.
Mkuu acha kukurupuka angalia nimejibu nini baada ya kuulizwa nini......acha kusumbuliwa na ugeni kamanda....
 

Kuna jamaa yangu kanitumia hii picha
 
Wewe kwako hata mashabiki wa Chadema wakiwa kumi wanatembea unasema maandamano makubwa...weka basi picha wa hayo maandamano makubwa!
Mbona ya CCM, hauombi picha?...Picha tutaweka tu wewe uliko lindi utaona jinsi mangamba yanavyo pukutika....
 
Tupo hapa viwanja vya TIPI Sinza ambako kuna kamkutano ka chadema,, ni aibu tupu kuna watu wasiozidi 40. Lema hana hamu. Inatia huluma sana kwa kweri.
Tulisha sema huko nyuma.
Kaacha kazi yake nzuri tu ya ubunge kwa kupimana ubavu na JK , leo anaganga njaa vichochoroni.
 
View attachment 57286
Makamanda wakiwa Sinza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…