M4C imeshindwa kuiteka TANGA?

sisi wakazi wa muheza hatuna maji ingawa kuna vyanzo vya maji vinavyosupply tanga mjini.huu ni wakati wa mabadiliko.
 
Si kweli kwamba chadema haikubaliki Tanga! Sisi tunao ishi huku tunaona mabadiliko yanayo jibu kiu za wanaTanga. Leo hii huwezi kwenda jimbo lolote la uchaguzi katika mkoa wa Tanga bila kukuta bendera za Chadema, juzi nimeshangaa nilienda milimani sana jimbo la Muheza (Amani) nimekutana na bendera za chadema vijijini na badiliko hilo ni baada ya ziara ya zitto kabwe na john heche walipo kuja kuleta hoja ya mkonge. Vipi kama m4c ikija kijiji kwa kijiji mtaa kwa mtaa?!
Mabadiliko ni mpango wa Mungu hayata acha jiwe bila kupinduliwa.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.


Mkuu Mohamed naamin kabisa watanzania wajana si waleo. M4c itafika tanga, ushuhuda unautoa unathibitisha mwamko mkubwa wa kisiasa miongon mwa jamii. Tuombe mungu na naamin sauti yako itapata majibu kwa vitendo, inshallah.
 
Jina la mleta dhread lina shida,
M4C itakuwa mikoa ya pwani,Tanga,mwishoni mwa October,itakumbukwa kuwa ilipangwa kwa kanda kuanzia na kanda ya kati,kabla ya policcm kuanza kuua wananchi.Hata hivyo itaendelea kama ilivyokuwa ratiba ya awali,

kijana wangu kuwa honest kidogo,halafu jina langu ni la asili kama lilivyo la kwako.
hivi inakuaje M4C inafika uingereza kabla ya Tanga?


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Kwa muda wa mwezi mmoja nimekuwepo jijini Tanga ,pamoja na mambo mengine nilitumia muda wangu kuwahoji wakazi wa Tanga juu ya muelekeo wa kisiasa.kimsingi inaonekana CHADEMA haijakubalika ndani ya mkoa wa Tanga na mbadala mkubwa wa CCM kwa Tanga ni CUF.
Sasa najiuliza je M4C imeshindwa kushawishi wakazi wa Tanga?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Vizuri, tunashukuru kwakuipatia M4C maelezo ya awali naamini chama kitayafanyia kazi na kuzikabili hizo changamoto............

endelea kutujuza wana jamvi hasa ukibahatika kufika maeneo ya bumbuli naamini huko ndo chalenji ipo zaidi.......

TAfakari ................chukua hatua................vua gamba................vaa uzalendo............
 
Sijui ulihoji watu wangapi kati ya zaidi ya watu milioni mbili wa mkoa wa Tanga. Hata hivyo, in short sio dhambi au kosa kwa wakazi wa Tanga au sehemu nyingine ya nchi kuwa wafuasi wa CUF au chama kingine chochote kile alimuradi kipo kwa mujibu wa sheria za nchi.

Wala haijawahi kutokea popote duniani watu wote wakawa wafuasi wa chama kimoja pekee unless wana matatizo ya kiakili kama ilivyokuwa enzi za chama kushika hatamu na sidhani kwamba Tanga wako hivyo.

Umekiri mwenyewe Chadema ni chama cha Kaskazini.
 
Mliulizia hivyo hivyo lini itaenda. Mtwara na Lindi Imeenda kubip tu wabunge wa kule wanapiga kelele kama panya kabanwa na mlango. Ngoja iende mtwara na lindi rasmi sasa. Afu wewe haikuhusu.

Hujasikia Mbowe na Slaa waligombana huko? unajuwa kisa nini?

Lini Mtaenda Zanzibar kuzindua kiwanda?
 
sample niliyotumia inalingana na ile ya arusha au mwanza.kiukweli chadema haijakubalika jijini Tanga kama ilivyo zanzibar.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Hivi chama kikitaka kikubalike nchi nzima lazima kikubalike Tanga? mijitu mingine bwana sijui huwa inafikiri nin hadi inaanzisha uzi usio na maana.
 
Sijui ulihoji watu wangapi kati ya zaidi ya watu milioni mbili wa mkoa wa Tanga. Hata hivyo, in short sio dhambi au kosa kwa wakazi wa Tanga au sehemu nyingine ya nchi kuwa wafuasi wa CUF au chama kingine chochote kile alimuradi kipo kwa mujibu wa sheria za nchi.

Wala haijawahi kutokea popote duniani watu wote wakawa wafuasi wa chama kimoja pekee unless wana matatizo ya kiakili kama ilivyokuwa enzi za chama kushika hatamu na sidhani kwamba Tanga wako hivyo.

Na kweli wewe ni "JINGA LAO". What was your sample size? Je ulifanyia utafiti wako, Makorora, Kisosora, Barabara ya 22, Raskazone, Pongwe, Gofu au Majani Mapana? Je ni lazima kila mtu aikubali M4C? Kila mtu ana uhuru wake wa kuchagua, na ndo maana ya "Multiparty democracy"
 
M4C inataka watu waliotayari kwa mabadiliko yaa kiukombozi na sio watu wanaowaza kucheza baikoko kila wakati
 
Mwenye akili anaelewa kabisa kuwa Chadema haikubaliki Tanga, Badala ya kutafuta solution, wajinga hawa wa chadema bado wanhoji eti, sample size ya iliyotumika, haiitaji digirii kujua Chadema Tanga Zanzibar Haikubaliki

Solutions:

1- Chadema waache kujaza wachungaji Bungeni, watafute wasomi bila kujali ukiristo

2- Waongeze idadi ya waislam kwenye ngazi ya uongozi, mawaziri vivuli na wabunge

3- Waache kupokea pesa kutoka mashirika ya Kikiristo, kwani watanzania hawana cha kuwalipa wadhamini hao wa kikiristo.

4- Mchungaji Slaa, asiwe kiongozi mkuu wa chadema, aendelee na kazi yake ya utumishi

5- n.k (Haya ndo muhimu kwa sasa)
...kwa mawazo yako haya,sio siri umeonyesha udhaifu mkubwa sana...weka pembeni hizo fikra zako mtepesho(udini,ukanda na ukabila) alfu urudi tena uchangie...
 
hata kama nilitumia sample ya watu 20 lakini matokeo niliyopata kutoka arusha,mwanza,iringa,mbeya,zanzibar na tanga ni tofauti.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

unaongelea tanga jiji au mkoa wa tanga ??
 
naongelea mkata,kabuku,handeni,korogwe,lushoto,mombo,kwa michi,relini n.k


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

lushoto,korogwe, kilindi ,handeni ,pangani,muheza ,na huku ndio uchumi wa tanga ulipo ,na tayari wameonyesha dalili za kuitaji mabadiliko tena ya haraka.
 
Back
Top Bottom