M4C imeshindwa kuiteka TANGA?

Ni lazima yawe tofauti kwa sababu umeyatoa kutoka sehemu tofauti!!.

hata ukipita barabarani ukiangalia bendera za vyama katika matawi. magari vigenge n,k unaweza kusema kitu fulani. nenda arusha uone huna hata haja kuwahoji watu. mtoa hoja ana ukweli fulani. MC4 tia force kule wape watu shule
 
Back
Top Bottom