OscarkambonaJr
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 1,592
- 2,567
NILIWAHI KUGUSIA SEHEMU HILI SAKATA LA TWIGA KUNUNUA TANGA CEMENT. Nianze kusema kuwa hii sekta ya Cement ni non regulated sector japo ni sector muhimu sana kwa ujenzi wa Taifa. Cement ni moja kati ya mahitaji muhimu kwa kwa ujenzi wa nchi hii na kuna mahali haina mbadala(Substute).
Unaporuhusu watu wachache watawale soko nanuzalishaji wa cement ni hatari sanaa, uuzwaji wa Tanga kwa Twiga Cement Unamaanisha kwamba unapunguza wazalishaji sokoni kuwa wachache zaidi hivyo kupelekea umiliki wa soko huria, Maana yake ni kwamba TWiga atakuwa anaamua azalishe kiasi gani kwa muda gani maana viwanda ni vyake.
Tanzania tuna viwanda vikubwa vinne. Dangote cement, Twiga, Mbeya na Tanga Cement. Kuruhusu Twiga kununua Tanga Cement ni shida kubwa ina maana Tanga itakuwa chini ya Twiga na wazalishaji watakuwa watatu sio wanne tena, Hatari ya Upangaji Bei itatokea. Upangaji Bei utaiweka nchi katika wakati mgumu na kuathiri shughuli za kiujenzi kwa Serikali na wananchi moja mmoja.
VIpi Dangote akiinunua Mbeya Cement? Ikumbukwe kuwa Tanga Cement Ndio Kiwanda pekee chenye malighafi kubwa zaidi na nyingi kuliko vyote katika ukanda wa afrika mashariki. Najiuliza Unakuaje anapata hasara? Hapa kuna harufu ya usimamizi mbovu.