M4C imeshindwa kuiteka TANGA?

Zomba na wenzako
when Things Fall Apart crossing the River Between is No Longer At easy?

kuna mtu anaweza kunisaidia kuongezea hii method

void CCM2015( int mafisad, int walarushwa, float m4c, float maishaborakilamtz, float nguvuzaidi, float kasizaidi, double tendwa, double police,float arizaidi)
{

double mauji;
nguvuzaidi = police;
kasizaidi=mauji;
arizaid=maishaborakilamtz;
m4c=arizaidi;


//jamani msaada ni malizie hizi code maana naona 2015 nimbali sisiem lazima izuiwe isiwe accessed tz

}
 
lushoto,korogwe, kilindi ,handeni ,pangani,muheza ,na huku ndio uchumi wa tanga ulipo ,na tayari wameonyesha dalili za kuitaji mabadiliko tena ya haraka.

njoo turudie hii survey.karibu Tanga maeneo ya Tanganyika.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
njoo turudie hii survey.karibu Tanga maeneo ya Tanganyika.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

must be something wrong here in jf .i feel corrupt to the owners nowdays ,we have to move out here ,anyway jingalao nitakuja tanga nikifika nitakujulisha
 
must be something wrong here in jf .i feel corrupt to the owners nowdays ,we have to move out here ,anyway jingalao nitakuja tanga nikifika nitakujulisha

sioni kinachokutoa povu mpaka useme jf iko corrupt.karibu kijiji cha Tanganyika uje kuusoma mchezo

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Kwa muda wa mwezi mmoja nimekuwepo jijini Tanga ,pamoja na mambo mengine nilitumia muda wangu kuwahoji wakazi wa Tanga juu ya muelekeo wa kisiasa.kimsingi inaonekana CHADEMA haijakubalika ndani ya mkoa wa Tanga na mbadala mkubwa wa CCM kwa Tanga ni CUF.
Sasa najiuliza je M4C imeshindwa kushawishi wakazi wa Tanga?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

hawa jamaa kwa propaganda ni hatari-By Mbowe
 
..Suala la msingi hapa ni elimu tu. Elimu dhaifu ndiyo humfanya mtu aamini propaganda za magamba kiurahisi. Takwimu za NECTA kwa mikoa ya Tanga, Lindi na Mtwara zipo wazi, mwenye mashaka aende akazirejee.
 
Mzazi vuta punzi kipindi kitakuja TA ,Moro nao walikuwa gamba tupu acha tumalize central corridor,tukitoka hapo TA tutashukia Pemba halafu ndo Unguja ......mafia.huku tunaitafuta magogoni tuombeane uzima
 
How comes for somebody in opposition demands to be given the date for cdm to be in Tanga? what for and why demanding specific time by hard? does it make sense for CCM fans and followers to be demanding the date for M4C to be in Tanga and else where in Zanzibar? and if the specific time is given what happen's?

Kwa wenye ufahamu mzuri huko ni kuishiwa hoja tena vibaya, umekazana kuuliza matokeo ya mtihani wa mtoto wa jirani yako wala hushughuliki na mwanao nyumbani kwako unafaidika nini?. Kweli wapenzi na washabiki wa ccm wameishiwa.

Cdm wanataratibu zao, mipango yao na mikakati yao kiherehere cha watafika lini Tanga waachieni cdm wenyewe.


Mtoa hoja wala hakuwa na maana mbaya, hoja yake iko wazi na amefikisha ujumbe kwa viongozi, wapenzi na wanachama wa cdm, Mbona washabiki wa ccm mnachallengi msichokiamini wala kukithamini???????
 
Back
Top Bottom