komando gani na wewe ..hebu tupishe hapa unatutia kichefuchefu tu ..makomando unawajua wewe?makomamndo wako afghanistan wanapigana na taliban
Wakifanya hivyo mkuu watakuwa hawana akili timamu, maana nchi zote za SADC itabidi zimwage troops za kutosha CONGO DR na UN itawawekea vikwazo vikali vya kiuchumi, Hivyo hiyo ni ndoto ya alinacha. Hawawezi kujiingiza vita hivi moja kwa moja mkuu.
Vita vya Congo ni biashara ya Museveni na Kagame, wananufaika na uporaji wa rasilimali za Congo mashariki. Ndio sababu wanaichukia sana nchi yetu kupeleka majeshi Congo
Napendekeza waende mpaka Nairobi wakawafurushe Alshabab.
Huyu Kagame nafikiri ni mjinga na ame msicalculate vibaya sana.Na kuna uwezekano wa FDRL wakapewa mafunzo ili warudi kuipindua Serikali ya Kagame.
Hiyo nukuu ya Nyrere chini ya post yako inakusuta. Mwanajeshi anasomea ujuzi wa kupigana ili aweze kuutumia katika vita. Siyo kupata vyeti vya kupamba ukutani. Hao waliokufa walikuwa wanatimiza majukumu yao kama wapiganaji. Kufa katika vita kwa mwanajeshi si jambo la ajabu. Ndiyo mkataba alioingia. Anyaway, kila mtu ana siku yake ya kufa ni swala la muda tu.Baada ya kuungwa mkono na hao raia Wa DRC wewe kama Mtanzania utakuwa umenufaika na nini? wakati nchi imepoteza Askari mwenye utaalam wa juu na amesomeshwa kwa gharama kubwa ambazo hao Wa DRC hawakuchangia chochote zaidi kilichotumika ni kodi zetu Watanzania.
Hiyo nukuu ya Nyrere chini ya post yako inakusuta. Mwanajeshi anasomea ujuzi wa kupigana ili aweze kuutumia katika vita. Siyo kupata vyeti vya kupamba ukutani. Hao waliokufa walikuwa wanatimiza majukumu yao kama wapiganaji. Kufa katika vita kwa mwanajeshi si jambo la ajabu. Ndiyo mkataba alioingia. Anyaway, kila mtu ana siku yake ya kufa ni swala la muda tu.
Unajua maana ya JWTZ? ukijua maana yake utaelewa nazungumzia nini kufa kwa mwanajeshi sio kitu cha ajabu lakini tujiulize kafa akitetea mipaka ya tanzania na raia wa Tanzania au kafa akitetea Mipaka ya nchi nyingine na wananchi wa nchi nyingine?
Tumeshuhudia kwenye Taarifa ya Habari kwenye TV ndugu wa marehemu wakilia kwa uchungu lakini badala ya waziri nahoza kuwafariji wafiwa yeye anakuja na hoja kuwa wanajeshi wetu hawatakata tamaa na wataendelea kupigana ili kuwasaidia wananchi wanyonge wa DRC bila kuzungumza hao ndugu waliokuwa wakimtegemea huyo marehemu watasaidiwa vipi ili maisha yao yaendelee kwani pia ameacha mtoto mmoja.
komando gani na wewe ..hebu tupishe hapa unatutia kichefuchefu tu ..makomando unawajua wewe?makomamndo wako afghanistan wanapigana na taliban
Mkuu juzi tu Rais wetu amefungua Tender ya Wawekezaji watakaotaka kuwekeza katika VITALU vya Gasi katika Ziwa Tanganyika, hivi hao Rwanda wangekuwa nao Ziwani si ingekuwa balaa.hayahaya jirani yake navamiwa na majambazi hatakutoa msaada wa kupiga sim polisi au kamajirani wengine haliwezi,dume zima unalikuta limejificha chini ya uvnngu,watu eanadhani kwammba sisi hatuathiriki na vita ya CONGO,tunaathiriwa sana tu,fikiria hayo majambazi huko KG na kwenye mwambao wa ziwa Tanganyika yanatoka wapi kama sio hawa waasi,kingine kuwa hifadhi wakimbizi nigharama kubwa sana kwetu,M23 lazima waiache Congo ijiendeshe sasa
Unajua maana ya JWTZ? ukijua maana yake utaelewa nazungumzia nini kufa kwa mwanajeshi sio kitu cha ajabu lakini tujiulize kafa akitetea mipaka ya tanzania na raia wa Tanzania au kafa akitetea Mipaka ya nchi nyingine na wananchi wa nchi nyingine?
Tumeshuhudia kwenye Taarifa ya Habari kwenye TV ndugu wa marehemu wakilia kwa uchungu lakini badala ya waziri nahoza kuwafariji wafiwa yeye anakuja na hoja kuwa wanajeshi wetu hawatakata tamaa na wataendelea kupigana ili kuwasaidia wananchi wanyonge wa DRC bila kuzungumza hao ndugu waliokuwa wakimtegemea huyo marehemu watasaidiwa vipi ili maisha yao yaendelee kwani pia ameacha mtoto mmoja.
1. JWTZ maana yake ni Jeshi la wananchi Tanzania. Wapi imeandikwa kuwa wako limited to protecting our borders only? kulinda borders zetu ni mojawapo tu ya kazi za jeshi hili, usipotoshe mambo hakuna dhambi yoyote kisheria wala kimaadili inayozuia jeshi letu kutumika nje ya nchi kwa shughuli za amani. Hivi wewe ungekuwa Nyerere usingeruhusu jeshi letu kupigania uhuru wa afrika kusini, msumbiji, angola n.k?
2. Kuhusu wafiwa ofcourse taratibu zote za kijeshi zinazopaswa kufanywa zitafanywa. Uanajeshi ni kazi kama zingine kuna mishahara, kuna mafao n.k.
3. Naomba nikuulize umefurahi kupigwa kwa M23 au umechukia?
salam zimfikie kagame na ndugu yake m 7,
Inatakiwa ujue hakuna anaependa Vurugu na vita sehemu yeyote hapa duniani, kupigwa kwa M23 napenda kutoa pongezi kwa Vikosi vya jeshi vya DRC kwa kuwaondoa hawa waasi kama Taarifa zinavyoeleza kwamba ni wao ndio waliowapiga hawa M23 cha ajabu kinachonishangaza ni pale wanaopigana ni jeshi la DRC lakini wanakufa wanajeshi wetu kulikoni?. maana hakuna taarifa inayotanabaisha kuwa M23 wamepigwa na majeshi ya UN kwa nini wanaficha?
Napendekeza waende mpaka Nairobi wakawafurushe Alshabab.
Baada ya kuungwa mkono na hao raia Wa DRC wewe kama Mtanzania utakuwa umenufaika na nini? wakati nchi imepoteza Askari mwenye utaalam wa juu na amesomeshwa kwa gharama kubwa ambazo hao Wa DRC hawakuchangia chochote zaidi kilichotumika ni kodi zetu Watanzania.
Inatakiwa ujue hakuna anaependa Vurugu na vita sehemu yeyote hapa duniani, kupigwa kwa M23 napenda kutoa pongezi kwa Vikosi vya jeshi vya DRC kwa kuwaondoa hawa waasi kama Taarifa zinavyoeleza kwamba ni wao ndio waliowapiga hawa M23 cha ajabu kinachonishangaza ni pale wanaopigana ni jeshi la DRC lakini wanakufa wanajeshi wetu kulikoni?. maana hakuna taarifa inayotanabaisha kuwa M23 wamepigwa na majeshi ya UN kwa nini wanaficha?
Wanajeshi wetu wako kulinda amani hivyo ingawa hawapigani lakini wanasindikiza FARDC wao wakiwa wanalinda raia. Hata huyu askari wetu alikufa akiwa analinda raia wasipigwe risasi na M23.