M23 vs FARDC (DRC CONGO) Mapigano yaanza upya

M23 vs FARDC (DRC CONGO) Mapigano yaanza upya

Taarifa mpya ni kwamba yapo maroketi ambayo haijulikani bado yametokea upande upi kati pande mbili zinazopigana, yamepiga kwenye Ardhi ya Rwanda na kusababisha vifo vya watu kadhaa.

Yes! RWANDA MUST LEARN THE PAIN OF BEING ON THE RECEIVING END!
 
Kibumba now in full control of #FARDC , #M23 forced to withdraw. after suffering heavy defeat in Kibumba"
 
Kibumba sasa inamilikiwa na FARDC Wameshaiteka rasmi
 
Tumeambiwa tusijadili haya na JWTZ na tutakuwa tunapewa taarifa kila baada ya wiki mbili (haifanyiki hivyo).Ngoja tuone maana Rwanda wameshajipanga vya kutosha na wameonya UN kuwa safari hii watajilinda kwa nguvu kubwa na wako tayari.
Mikutano eti ya upatanishi kati ya M23 na Serikali ya DRC nilijuwa toka mwanzo kwamba hizo ni geresha tu, M7 na PK wako determined kuendeleza vita DRC kwa maslahi yao, si hilo tu wanataka GOMA ijitenge na kuwa part ya Rwanda hii ndio ilikuwa long plan yao na ndoto hiyo haijafa - wakati wajumbe wa pande zote mbili wanapoteza muda huko Kampala kwenye mazungumzo yasiyo na tija, wenzao wa Rwanda wanachukuwa muda huo kijipanda/tayarisha mipakani kuanzisha vita, binafsi sina shaka Serikali ya DRC ilisha ng'amua janja ya PK na M7 ndio maana wanaendelea kuwashambulia na kuwavurumisha M23 bila ya kujali mazungumzo ya Kampala.
 


[TD="class: articleTitle"][/TD]

[TD="class: Tmp_hSpace10"][/TD]

[TD="class: DetailedSummary"] The Congolese army has said it made significant advances against eastern rebel forces in a second day of fierce fighting and called on neighbouring Rwanda to help disarm the fighters.
The army's advances on Saturday follow Friday clashes with M23 rebels, the first in two months, after peace talks in Uganda broke down this week.
M23 said in a statement on Saturday that the army had launched a "generalised attack" on several fronts, but that the fighting was turning in its favour.
Army spokesman Colonel Olivier Hamuli said, however, that M23 had been forced out of Kibumba, a town 20km north of Goma, the largest city in eastern Democratic Republic of Congo.
"We have pushed M23 into the hills on the Rwandan border ," he told the Reuters news agency. "We now call on Rwanda to help us disarm their fighters."
The army "has launched an offensive on the Mabenga-Kahunga road. It is using troops, tanks and mortar shells", another army officer said, speaking on condition of anonymity.
The rebels confirmed that the fighting had spread north. "It's heating up on all fronts," the M23's political leader Bertrand Bisimwa said on his movement's website.
Rebels claimed the army attacked their positions early on Friday, but the military insisted it came under attack first - a claim supported by a source from the UN peacekeeping mission in the country, MONUSCO.

Calling for retraint


But on Friday Rwanda's UN ambassador told a closed-door meeting of the Security Council Rwanda that shells fired by the Congolese army had landed in its territory and that Kigali would not tolerate such shelling and could respond militarily, diplomats said.
UN investigators have accused Rwanda of supporting M23, a charge Kigali has denied.

The rebels take their name from a peace agreement they signed with the DRC government on March 22 2009, paving the way for their integration into the national army, but they mutinied in April 2012 over poor salaries and living conditions, renewing an armed rebellion in the country's mineral-rich east.
In a joint statement, UN special envoy to the Great Lakes region, Mary Robinson, and head of MONUSCO Martin Kobler urged restraint and called on both sides to return to the negotiating table in Uganda's capital Kampala, where on-and-off peace talks between the government and M23 have been held since December.
MONUSCO said on Friday it was on high alert and monitoring the clashes.
The United States also said it was alarmed at the reports of increased fighting, despite international calls for restraint.
"We are particularly concerned about reports of cross-border firing," in North Kivu, State Department spokeswoman Jen Psaki said in a statement, urging all parties "to refrain from acts of further escalation".
Psaki's statement urged all parties to return to negotiations "to overcome remaining hurdles to the signing of a final, principled peace agreement, which would establish a permanent ceasefire and hold accountable those who have committed serious crimes".
The fighting is the most serious since late August, when the Congolese army and a new UN Intervention Brigade forced M23 from positions just north of Goma.
A UN spokesman in New York said about 5,000 civilians had fled across the border into Rwanda.
[/TD]
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Rutshuru ambayo ni ngome kuu ya m23 nayo inakaribia kutekwa.Chezea tuition ya Jw wewe!
 
na hii vita ikiisha nafikiri ni busara sadc wakaweka kikosi cha kudumu huko drc, ili kukabiliana na hawa expansionist wa kihima iwe Ug au Rwanda. na hao hatutakiwi kushikirikiana nao kijeshi maana mawazo yao ni kuiba siri zetu za kijeshi ili watu vamie siku moja, si wakuaminika, na wakitaka kuwa wahamiaji ni kuwaangalia kimachale machale.
 
Kuna ripoti zimezagaaakwenye vyombo vya habari leo kwamba kikundi cha waasi chenye kujiita M18 kimefanya mashambulizi dhidi ya raia huko kaskazini mashariki mwa congo drc na kusababisha mamia ya watu kukimbia makazi yao na kwa kuvuka mpaka na kuingia Uganda.kwa mujibu wa BBC bado haijajulikana kikundi hivho ni mali ya nani na kinataka nini.
 
Kuna ripoti zimezagaaakwenye vyombo vya habari leo kwamba kikundi cha waasi chenye kujiita M18 kimefanya mashambulizi dhidi ya raia huko kaskazini mashariki mwa congo drc na kusababisha mamia ya watu kukimbia makazi yao na kwa kuvuka mpaka na kuingia Uganda.kwa mujibu wa BBC bado haijajulikana kikundi hivho ni mali ya nani na kinataka nini.
Mkuu tunaweza kujiuliza swali dogo tu: Hivi Congo DRC inapakana na nchi ngapi? Kwa nini kundi hili the so called M18 lisitokee Angola, Namibia, Zambia, Burundi nk - Jibu tunalo, hii ni mipango ya M7 na mwenzake kutaka kuhadaa Dunia kwamba swala la DRC ni gumu kutatulika kutokana na makundi chungu mzima kila kimoja kikiwa na madia yake i.e ni conflict za kuchonga tu, mimi sina shaka kwamba hakuna cha M18 wala nini, kama habari hizi ni za kweli basi kundi hilo litakuwa ni wanajeshi wa Uganda wakijifanya ni waasi wapya wa kupinga Serikali ya DRC kama njia ya kuendeleza mgogoro ndani ya Congo DRC. Rai yangu ni kwamba International Community inapashwa kuwapa onyo kali la mwisho viongozi hawa, wakiwachekea na kuendelea kusikiliza ngojera zao ya udanganifu basi tukae tukijuwa kwamba vitakuja kufumuka vita mbaya sana katika kanda hii ya Africa, tukumbuke jamaa hawa thrives on strifes ya kuvuruga nchi nyingine kwa maslahi yao - Africa haijawahi kupitia katika kipindi kigumu underself rule kama kipndi hiki cha ma Rais hawa wawili wana jeuri ya ajabu sana ndoto zao zitatuhangamiza wengi kama hawata chukuliwa hatua kali, kulahumu tu hakutatosha.
 
Back
Top Bottom