M23 vs FARDC (DRC CONGO) Mapigano yaanza upya

Kama Rwanda yupo hapa ktk hili ina maana Kagame amejidhihirisha kwamba yeye ndiyo ana-support M23 otherwise ajiunge na UN kuitokomeza M23
 
wewe tulia tu,baadae utakuja kujua Rwanda imeingiaje hapo. Go through the history of Gen. Kagame & Gen. Laurent Kabila

Acheni kulazimisha historia ktk vita hiyo. Hao ni m23, wazawa wa congo (unless mnaleta ukabila) dhidi ya serikali yao. vita hipo congo.
 
i think the only way to end this war ni kwa UN ma congo army to prepare one final offence itakayowasamabaratisha hawa M23 mpaka kwenye mipaka ya rwanda na uganda basi lakini kutaka peace na hawa watu kwa kweli haiwezekani kinachonishangaza ni kwa nn UN ina askri zaidi ya elf 15 na vifaa vya kisasa kwa nn wasiungane na congo kufanya one final coordinated push ya kuwamaliza kabisa mpaka kwenye border???
 
fardc_congo_rdc_arme_army_drc.jpg

DR Congo soldiers

DR Congo's army took control of the center of Kibumba on Friday after fighting broke out early in the morning with M23 rebels. The area had been completely occupied by the rebels before the fighting began in the territory of Nyiragongo, in North Kivu province.

Part of the area is still occupied by M23 rebels. According to local sources, the rebels have in the meantime also received reinforcements.

The toll of the fighting is not yet known. But local sources say that three government soldiers were wounded along with several rebels. The population of Kibumba and Buhumba fled the area.

The fighting, with heavy and light weapons, intensified this afternoon between the Congolese Armed Forces, known as FARDC, and the M23 rebels on the hill of Hehu, between Kibumba and the border with Rwanda.

According to our sources, the Congolese army controls much of Kibumba and Buhumba, on the Goma-Rutshuru axis, after pushing the rebels further away.

However, according to the same sources, several hundred fighters from Kabuhanga, near to the border with Rwanda, have joined the M23, thus intensifying the fighting.

No official figures are available yet. The spokesman of the FARDC in North Kivu could not be reached this afternoon.

The residents of Kibumba and Buhumba fled their villages, some to Gasizi, east, and other Rugari to the north. Still others, who had fled to Rwanda, were apparently blocked in Kitotoma, where Rwandan soldiers blocked the border.

The fighting resumed five days after peace talks between the Congolese government and the rebels were suspended in Kampala, Uganda.

The two sides could not agree, especially on the issue of amnesty for the rebels and their integration into the Congolese army.
 
sielewi ni kwa vp UN na jeshi la congo wanashindwaje kuandaa one big final assault na kuwamaliza m23 hadi kwenye mpaka na rwanda na uganda??? UN wana askari kama elf 15 hili ni jeshi kubwa probably 3 times ya hao M23 tena wao wana better equipment??? ni kama kuna siasa hapa flan
 
i think the only way to end this war ni kwa UN ma congo army to prepare one final offence itakayowasamabaratisha hawa M23 mpaka kwenye mipaka ya rwanda na uganda basi lakini kutaka peace na hawa watu kwa kweli haiwezekani kinachonishangaza ni kwa nn UN ina askri zaidi ya elf 15 na vifaa vya kisasa kwa nn wasiungane na congo kufanya one final coordinated push ya kuwamaliza kabisa mpaka kwenye border???

It's not that easy. Mimi nawe twaweza sema vile lakini on ground mambo tafauti kabisa.

Monusco wanasheria zinazowabana kufanya hivyo...breaching them would gravitate the matter.
 
hii sasa ndio kagame aliyoiita wastage of money.... kuna haja gani ya kuweka maelfu ya askri na kulipwa pesa kibao wakat hawaruhusiwi kupigana??? kwa mfano m23 walivyouteka mji wa goma... askari wa un walijifungia ndani wakinywa kahawa watu wanateka mji?? kama kweli UN wanataka kumaliza hii vita ni kuruhusu askari wake waingie ktk mapambano wakishirikiana na majeshi ya congo kumaliza huu uasi badala kila cku kupiga kelele za kumshutumu kagame!!! maana kagame aliwapa challenge mna askari wa UN wana vifaa bora na jeshi well trained kwa nn msilitumie huku mnaituhumu rwanda?? there is a logic in that real!!!
 
Rwanda inaingia hapo, Rwanda ndio M23, na hii mapigano mi naona wakishamalizwa m23 inaendelea kumtoa kagame madarakani ili ajue unafiki sio mzuri na una mwisho wake.
Rwanda wameshauwa EAC kwa unafiki wao pamoja na Uganda, Rwanda na uganda ni watu wabaya sana wameuwa EAC sababu ya maslahi yao kwa M23
Tanzania ni nchi ya kistarabu tunawaachia EAC yenu mpya mliyoitengeneza, sisi tunabaki SADC na tutaunda EAC ya kwetu itakayoshirikisha Tanzania, DRC, Burundi, etc. Nyie Rwanda, Uganda, Kenya, Somali, Sudan, etc endeleeni na ya kwenu ahahah

Haha!
Unajua nyinyi jamaa mnachekesha sana, Rwanda inaingia vipi wakati ni Ugomvi wandani Congo wenyewe?
 
fardc_congo_rdc_arme_army_drc.jpg

DR Congo soldiers

DR Congo's army took control of the center of Kibumba on Friday after fighting broke out early in the morning with M23 rebels. The area had been completely occupied by the rebels before the fighting began in the territory of Nyiragongo, in North Kivu province.

Part of the area is still occupied by M23 rebels. According to local sources, the rebels have in the meantime also received reinforcements.

The toll of the fighting is not yet known. But local sources say that three government soldiers were wounded along with several rebels. The population of Kibumba and Buhumba fled the area.

The fighting, with heavy and light weapons, intensified this afternoon between the Congolese Armed Forces, known as FARDC, and the M23 rebels on the hill of Hehu, between Kibumba and the border with Rwanda.

According to our sources, the Congolese army controls much of Kibumba and Buhumba, on the Goma-Rutshuru axis, after pushing the rebels further away.

However, according to the same sources, several hundred fighters from Kabuhanga, near to the border with Rwanda, have joined the M23, thus intensifying the fighting.

No official figures are available yet. The spokesman of the FARDC in North Kivu could not be reached this afternoon.

The residents of Kibumba and Buhumba fled their villages, some to Gasizi, east, and other Rugari to the north. Still others, who had fled to Rwanda, were apparently blocked in Kitotoma, where Rwandan soldiers blocked the border.

The fighting resumed five days after peace talks between the Congolese government and the rebels were suspended in Kampala, Uganda.

The two sides could not agree, especially on the issue of amnesty for the rebels and their integration into the Congolese army.
Tuition ya zoezi la mapigano toka JWTZ sasa linaanza kueleweka na jeshi la Kongo
 
Nilimwona jana msemaji wa M23 SA akilalama chennel e nikajua tayari anachezea kichapo.
 
Tuseme rwanda ni bora kivita hadi congo ishindwe kuwapiga baadhi ya askari wa rwanda waliopo congo?. wale m23 wakichemshwa na missile watarudi wenyewe rwanda tena kwa speed ya ajabu. Kama mumewashindwa m23 mtawaweza rwanda?. mia
 
The post is in English.
It is unwise to comment in any other language.
Let this be our culture here.
Thanks for your understanding
 
Hii vita lazima Rwanda itaingia kwasababu M23 ni vikaragosi wao wanawatumia kuiba madini DRC kwa kisingizio cha kuwasaka waasi wa kihutu.
 
Back
Top Bottom