Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Chris Lukosi unaitwa huku
hahahaha, unajitoa ufahamu...
Last edited by a moderator:
Chris Lukosi unaitwa huku
M2 ni Mabere Marando
Sema hutumii hayo mambo kwenye stuli hadharaniNdio maana ikaitwa tetesi mkuu. By the way, mimi ni ustadhi situmii hayo mambo. Astaghafirulah!
MM2 ndo nani?
Kwa taarifa zilizonifikia ni kwamba M2 yuko njiani kuelekea eneo la mkutano.
Ulishamtest nini? Maana nyie Malibelari na nyie!!!
Kwa taarifa zilizonifikia ni kwamba M2 yuko njiani kuelekea eneo la mkutano.
Watu wameshaanza kuwasili eneo la tukio - Travetin Magomeni