M2 kuongea na wanahabari kesho Nov 27, 2013

Status
Not open for further replies.
Ukitaka "umaarufu" we andaa hata waraka "fake" tu utajulikana.

Ngoja na mimi niandae wangu alafu niitishe press conference!
 
WASIFU WA LUKOSI
1.Huyu jamaa alikuwa polisi akafukuzwa sababu ya ajali katika msafara wa pm wakati ule John Malecela na kukimbilia Botwana kwa dada yake ambaye ni Nurse.2 2.Lukosi alifuatana na dadake nchini uk baada ya kupata kazi uk nayeye alipata nafasi ya kuambatana naye uk. 3.Lukosi alipata nafasi ya kujifanya mkimbizi na kuukana utanzania pamoja na porojo zake yeye uk anafahamika kama mkimbizi wa kisiasa na njaa. 4. Lukosi alipata kazi ya kuwa traffic warden kwa bahati mbaya alipata ajali ambayo ilimfanya adhurike kichwani alilazwa kwa muda mrefu na aliathirika na ajali ile kichwani.Kampuni aliyokuwa akiifanyia kazi ilimlipa malipo kutokana na ajali hiyo,na baada ya muda aliacha kazi na kuanza biashara. 5 Lukosi alianza biashara za kupeleka magari mabovu Tanzania na baiskeri za wizi kutokea maeneo ya barking&dagenham na baada ya muda alianza biashara nyingine ambazo wengi wanazijua. 6 Lukosi alijaribu kujiingiza kwenye siasa baada ya kukutana na mbunge Lema jijini London,na nia kubwa akifikiri atapata tender za kusafirisha mizigo na magari ya chadema.Alipewa nafasi kukaa hotelini kwa mzee ndesambulo jijini Dar kwa week moja free of charge. 7 Baada ya kukosa tender hiyo Lukosi alirudi ccm ambapo hajawahi kuwa mwanachama uk,na alianza kashfa nyingi kuhusu chadema na hii ni kutokana na waajiri wake wa biashara (sizisemi) kutoka Tanzania ambao ni wafadhiliwa na ccm kutokana biashara hizo.Ametumia muda mwingi mtandaoni ili wamkubali kuwa katoka chadema na anaichafua. 8. Tumdharau Lukosi kwa sababu ana ugonjwa wa pressure na inasemekana ni muathirika wa vvu si mwana siasa ila ni stress zinamsumbua

Duh, kumbe.
 
Chris Lukosi unaitwa huku
 
Last edited by a moderator:
Mbowe kajigeuza Procurement Officer na Chief Supplier wa Vifaa vya Chadema. Yeye ndo Mnunuzi na Muuzaji wa kila kinachohitajika. Wakat wa Uchaguz 2010 ilidaiwa anasaidia Chama bt baada ya Matokeo kaleta Invoice za Gharama za Uchaguz na kuzoa 500Mil za Ruzuku sasa Chama kinaendeshwa kwa sadaka za kwenye Mikutano ya Hadhara. Source; Waraka wa DKt wa Ukweli Mh.Kamanda Kitila Mkumbo!

na hiyo ndo misingi ya kuiendesha saccoss hujakosea
 
Hivi ni nani aliyekuwa mwanasheria mkuu wa Chama kabla ya uteuzi wa Tundu Lisu?. Ni swali tu...
 
Jamani wale wapenda pombe za kienyeji km mnazi, gongo nk karibuni sana kwa kijiwe changu
wateja wa kwanza watapata ofaa, ukiitumia itakupa nguvu katika utendaji wako wa kazi
 
tuliza mshono, m2 ananini kipya, unafikiri atakua na nguvu kama zitto, kama tu zitto kavuliwa madaraka unafikiri nani mwingine anaogopwa kuvuliwa?
 
Nawe unamficha wa nini, unawaweka watu roho juu juu kisa kutaka kumjua mtu ambaye wewe member ushamjua, nyinyi mkipewa madaraka hamkawii kuwaambia watu "kama umeme ni ghali washa kibatari"

....you dare to talk openly dont you?

Si wenye Chama chao tayari wameshatutajia kuwa ni Mabere Marando. Ww wamtaka nani?
 
tambua kijana chadema si zotto, mbowe, slaa wala lema, chadema si mtu kwamba asipo kuwepo basi na chama hakipo, chadema ni watu, ni taasisi na chama imara kitakuwepo hata kama hao hawapo,...
 
Naona sakata la M2 limeanza kuwa filamu za siries ambazo matukio yanaendelea huku mhusika mkuu akiwa hajulikani na wakati huo sisi watazamaji tukiwa na hamu ya kumwona huyo mhusika mkuu jinsi alivyo. Ngoja yusubiri epsod inayofuata...

umeona eee,
 
kuna watu wakienda sehemu lazima pawe na nuksi!
kha!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom