M2 kuongea na wanahabari kesho Nov 27, 2013

M2 kuongea na wanahabari kesho Nov 27, 2013

Status
Not open for further replies.
mm2 ni Prof. Baregu,maana ule walaka umesheheni hoja ambazo Tim mbowe wameshindwa kuzijibu, wanatoa press badala ya kujibu hoja moja baada ya nyingine ili kuwaondoa wasiwasi wanachama wao,wao wanalinda maslahi ya bosi wao kwa kisingizio cha kuwa waraka umemchafua Mbowe,Mbona ule mlioudambaza kama waraka wa siri juu ya zitto kabwe umeandaliwa na saanane na Henry kilewo wakishirikiana ns slaa . wao mme wapa adhabu gani? au ni vijana wa mwenye chama?
Baregu,Zitto,na Mkumbo ni zaidi ya chadema. na naamini hata marando na Prof safari wote ni kambi ya zitto na wote hao ndio think tenker wa chama.
 
WASIFU WA LUKOSI
1.Huyu jamaa alikuwa polisi akafukuzwa sababu ya ajali katika msafara wa pm wakati ule John Malecela na kukimbilia Botwana kwa dada yake ambaye ni Nurse.2 2.Lukosi alifuatana na dadake nchini uk baada ya kupata kazi uk nayeye alipata nafasi ya kuambatana naye uk. 3.Lukosi alipata nafasi ya kujifanya mkimbizi na kuukana utanzania pamoja na porojo zake yeye uk anafahamika kama mkimbizi wa kisiasa na njaa. 4. Lukosi alipata kazi ya kuwa traffic warden kwa bahati mbaya alipata ajali ambayo ilimfanya adhurike kichwani alilazwa kwa muda mrefu na aliathirika na ajali ile kichwani.Kampuni aliyokuwa akiifanyia kazi ilimlipa malipo kutokana na ajali hiyo,na baada ya muda aliacha kazi na kuanza biashara. 5 Lukosi alianza biashara za kupeleka magari mabovu Tanzania na baiskeri za wizi kutokea maeneo ya barking&dagenham na baada ya muda alianza biashara nyingine ambazo wengi wanazijua. 6 Lukosi alijaribu kujiingiza kwenye siasa baada ya kukutana na mbunge Lema jijini London,na nia kubwa akifikiri atapata tender za kusafirisha mizigo na magari ya chadema.Alipewa nafasi kukaa hotelini kwa mzee ndesambulo jijini Dar kwa week moja free of charge. 7 Baada ya kukosa tender hiyo Lukosi alirudi ccm ambapo hajawahi kuwa mwanachama uk,na alianza kashfa nyingi kuhusu chadema na hii ni kutokana na waajiri wake wa biashara (sizisemi) kutoka Tanzania ambao ni wafadhiliwa na ccm kutokana biashara hizo.Ametumia muda mwingi mtandaoni ili wamkubali kuwa katoka chadema na anaichafua. 8. Tumdharau Lukosi kwa sababu ana ugonjwa wa pressure na inasemekana ni muathirika wa vvu si mwana siasa ila ni stress zinamsumbua

cc: Chris Lukosi, haya bisha tukusome !!
 
Last edited by a moderator:
M2 nasikia ametekwa na gaidi NCHEMBA ,kwa hiyo muondoke hapo press conf.haitakuwepo hadi mtakapotaarifiwa
 
Karibuni kwenye press MM2 nipo wazi kabisa leo kweli zitto ni msaliti haya nipeni maswali
 
Siku M2 atakapojulikana taifa litatikisika. ni bora iendelee kuwa siri.
 
Kwa taarifa zilizonifikia ni kwamba M2 yuko njiani kuelekea eneo la mkutano.

Ila mkuu kutuweka kwenye anxious namna hii halafu asitokee,bora uchapwe ban ya miezi tu! Tuombe Mungu hii tetesi yako iwe ya kweli,la sivyo hili neno tetesi utakuwa unalitumia vibaya!
 
Salaam tena wakuu.
Baada ya uzi wangu wa jana usiku kufutwa kwa sababu ambazo sikujulishwa, asubuhi hii nimeamka na kuamua kufuatilia tetesi za jana.

Ni kweli kwamba mtu alituhumiwa na kutajwa kama MM2 na kamati kuu ya CHADEMA, ameamua kujitokeza na kuzungumza na wanahabari.
Mkutano huo na wanahabari ambao awali ulikua ufanyike Ubungo Plaza saa nne asubuhi, hivi sasa umehamishwa na utafanyika Travetine Hotel - Magomeni kuanzia saa tano na nusu asubuhi.

Kulingana na chanzo changu cha habari, MM2 asingependa atajwe mapema mapema kwenye mitandao kwa sababu za kiusalama ila ni kweli kwamba atazungumza na Wanahabari leo.

Mada atakazozigusa ni pamoja na ukweli kumhusu yeye, msimamo wake na wa kikundi chake dhidi ya wanaoitwa Wahafidhina na mikakati yake na kikundi chake pamoja na harakati watakazofanya mikoani katika kile wanachokiita demokrasia ya kweli ndani ya CHADEMA.
Nitaendelea kuwaupdate juu ya kinachoendelea.

NB: Mod sio mbaya nikapata taarifa ya sababu ya kufuta uzi wa jana. Thanks in advance.

Saa yako inasema ni saa ngapi? Saa tano na nusu kwenu bado haijatimia?? Mods tunaomba taarifa zisizokuwa na uhakika zisipokelewe hapa jamvini. Zinapoteza muda watu kuchangia na kuanza kutajana majina bila taratibu. Nategemea mtaufuta huu uzi hadi hapo huyo M2 atakapoongea kama ni kweli!!! Jua kuna thread nyingi sana za akina Kapuya na Saliti Zitto kwa hiyo pro hao watu wanaweza kuja hapa ili kufanya diversion za mada. Thanks.
 
ndiooooo tupo msituni tunajiandaa kwa mapinduzi makubwa M25

Huyu nae ni dikteta wa kimtindo, ndio maana wameshindwana na Ben maana wana hulka zinzaofanana. Ila nitaandaa mapinduzi makubwa mno huko Chit-Chat, namuandaa kijana wangu Chimbuvu aje ashike hatamu.
 
MM2 ni mimi, nashangaa wanapata tabu kunitafuta.

by the way hayo maneno sijayasema. nashangaa mleta mada umeyatoa wapi!
 
Mbowe kajigeuza Procurement Officer na Chief Supplier wa Vifaa vya Chadema. Yeye ndo Mnunuzi na Muuzaji wa kila kinachohitajika. Wakat wa Uchaguz 2010 ilidaiwa anasaidia Chama bt baada ya Matokeo kaleta Invoice za Gharama za Uchaguz na kuzoa 500Mil za Ruzuku sasa Chama kinaendeshwa kwa sadaka za kwenye Mikutano ya Hadhara. Source; Waraka wa DKt wa Ukweli Mh.Kamanda Kitila Mkumbo!

Umetoka nje ya mada!
 
Wakuu,
naomba radhi kwa kuwachelewesha mpaka muda huu, nilikuwa kimya sana kwa sababu sikutaka kutoa taarifa isiyoeleweka.

Ukweli ni kwamba nilifika eneo la tukio nikitegemea kumuona M2, lakini baada ya kungojea kwa muda alikuja kijana Grayson Nyakarungu na kusema kwamba amekuja kumuwakilisha M2 na akatoa tamko kama linavyoonekana kwenye uzi hapo juu unaosomeka #Taarifa kwa vyombo vya habari.

Nilijitahidi kuonana na Nyakarungu na kumuuliza,akanijibu kwamba M2 yupo ila wameamua kumzuia kwa sasa.
Natanguliza radhi kwa atakayekua amekwazwa.
Mod naomba hii iwekwe kama update
CC Invisible
 
Last edited by a moderator:
Saa yako inasema ni saa ngapi? Saa tano na nusu kwenu bado haijatimia?? Mods tunaomba taarifa zisizokuwa na uhakika zisipokelewe hapa jamvini. Zinapoteza muda watu kuchangia na kuanza kutajana majina bila taratibu. Nategemea mtaufuta huu uzi hadi hapo huyo M2 atakapoongea kama ni kweli!!! Jua kuna thread nyingi sana za akina Kapuya na Saliti Zitto kwa hiyo pro hao watu wanaweza kuja hapa ili kufanya diversion za mada. Thanks.

Nimejieleza hapo juu mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom