M-Pesa sio salama

Acha uongo line za mpesa maximum milioni tatu
Line inabeba mpaka milion 10 ,,ninazitunza huko kuna bbusiness inafanyika that's y sina means of withdrawal ndo maana naziachaga M-PESA mpaka nije TZ, ila kutoa mwisho ndo 3,000,000 per day
 
We hela umemtumia mwenyewe unamwita mwizi, kuwa mpole tu hapo hakuna mtu wa kumlaumu makosa ni yako
Kutumia kitu kisicho hahali yako ni wizi, hamna lugha nyingine, unless uwe huamini kwenye aina yoyote ya kitabu cha Mungu, namaanisha hata kama unaabudu ng'ombe! Ni kukosa hekima tu kwa baadhi ya binadam. "Ukimrudishia huwi maskini, ukimdhulumu hafilisiki"
 
sawa... ww ambaye kujawahi kosea
Nilishakosea nikagundua nilikuwa baada ya siku tatu mhusika kuniambia hajasoma nikawasiliana na mtandao wakaniambia wasiliana Na uliyemtumia keshatoa.Nikawasiliana naye akaniambia yuko hospital kalazwa akanitumia Na picha Na alipolazwa akasema kanunulia dawa alikuwa hana hela ya dawa.Akitoka hospital atanirudishia.Nikamsamehe bure .Lakini alipotoka hospital siku hiyo nikakuta pesa imeingia kwenye simu mara mbili ya ile pesa .Nikahoji vipi akasema ingine ni ya asante kwa kunusuru maisha yake.Haya mambo ukikosea usianze kugombeza kampuni ya simu au uliyekosea kumtumia.Kubali kosa ni lako uwe mpole ongea kistaarabu Na pande zote uliyemtumia Na kampuni ya simu.Uandishi wa mleta mada unaonyesha wazi ni arrogant.Huyu si rahisi kupata msaada kwa huyo aliyemtumia au kampuni.He is too arrogant
 
Kuna mtu alikosea kwangu cku Io afu nlkua nashida sana na pesa na Kama zali naona muamala wa 315k from no where fasta nilikimbia kwa wakala in 5min nikiwa Na Chang mkononi Mara paap jamaa anapig kua alikosea Na alikua anatuma ada nkamwambia mkuu yan Kama mungu mm na mgonjwa apa ndo nimepata unafuu Leo atafanyiwa OP.... nisamehe.nikakata nikazma cmu. NB ckua mwizi
 
Sasa brother hivi mfano huna hata mia ghafla mzigo huo katika simu, utakaa umsubiri mwenyewe. Tuliza munkari
Yeye alitakiwa amlaumu huyo uliechukua hela zake, lakini kuwatupia lawama vodacom si sahihi kabisa
 
Hasa unawekaje withdrawal code wakati wengine wanalipwa kwa M-PESA na wanaitunza humo, siku ya kudraw hela ilotoka kwa watu zaid ya 10 itakuwaje?? Nani wa kuzikumbuka kodi hizo? This is not applicable at all
Not applicable kwa watu wenye akili ndogo tu.

1. *150*00#

2. Tuma Pesa

3.*New Option* 1. Malipo 2. Tuma
4. Ukichagua 1. Basi itakuomba ingiza malipo Code. (Hii anatakiwa atengeneze mwenye biashara na awe anawapa wateja wote ina maana bila hii hawezi fanya malipo)

5. Ukichagua tuma inakuomba Withdraw Code kisha unajaza na unazinote na kumtumia unayemtumia.


Kwingine menu inaendelea kama kawa.
 
Sasa wewe unataka wakusaidie vipi endapo utatuma pesa kimakosa, na unawasiliana na kampuni, wao wanakuambia ulipotuma pesa tayari imeshatolewa
Wewe umesema kuwe na utaratibu.mtu akipokea pesa ikae dakika 10 ndo iruhusiwe kutoka.ndo nikakwambia huo ni usumbufu.
Ukikosea kutuma hela unamshukuru mungu.
 
Nakuuliza swali umetumiwa pesa na watu zaid ya wanne, siku unataka kudraw baada ya week labda uliiacha bila kutoa, withdraw code nani anapaswa akutumie Kati ya hao wanne? Wazo lako ni zuri Ila liko applicable kwa anayetumiwa na kutoa yote muda huohuo, mfano uliweka kwa wakala 50, na mwingine kakutumia 30 unataka utoe 80, code nani ataitoa hiyo??
 
Wewe umesema kuwe na utaratibu.mtu akipokea pesa ikae dakika 10 ndo iruhusiwe kutoka.ndo nikakwambia huo ni usumbufu.
Ukikosea kutuma hela unamshukuru mungu.
Kwanza mtandao ukianzisha mambo ya dk 10 wateja watawakimbia, mtu una haraka ya huduma, let say umetumiwa ununue kitu kwa machinga au ulipe nauli baada ya kufika kudraw sasa basi lianze kukusubiri, Umakini ndo unahitajika
 
Nimekuanicca, post: 28600880, member: 290488"]Nakuuliza swali umetumiwa pesa na watu zaid ya wanne, siku unataka kudraw baada ya week labda uliiacha bila kutoa, withdraw code nani anapaswa akutumie Kati ya hao wanne? Wazo lako ni zuri Ila liko applicable kwa anayetumiwa na kutoa yote muda huohuo, mfano uliweka kwa wakala 50, na mwingine kakutumia 30 unataka utoe 80, code nani ataitoa hiyo??[/QUOTE]
Nimekuandikia kuna Malipo Code na Withdraw Code lipi hujaelewa?
 
Huyo mwizi mambo yake faster faster hakusita hata kushangaa nani katuma .Ana uzoefu wa siku nyingi , pole mkuu .
 
Ila kibongo bongo sijui ni kitu gani kizuri, leo hii vodacom M pesa wakija na njia mpya ya kudelay kutoa pindi unapo tumiwa tutalala mika tu, pesa ikitumwa na kukufikiwa kwa haraka bado tuna shindwa kuwa makini. koz tusijitoe ufahamu sanaa na kuangalia upande mmoja kisa jamaa kakosea kutuma na aliye pokea hajawa mwaminifu katoa chap. Vipi upande wa pili wa M pesa wangapi wana kwenda safarini au dukani wana pungukiwa na nauli au pesa ya manunuzi wanaomba msaada wa haraka kutumiwa pesa wana pokea kwa muda huo huo wana fanya malipo? wangapi luku ina katika usiku na wana watoto wadogo ina wabidi kununu luku via M pesa chap chap vipi token yako ya luku ikae hewani nusu saa kabla hujapata? Nashauri tuache uzembe tuongeze umakini kwenye mambo yetu dunia ya sasa ina taka speed na effiency ndio mana leo tuna ongelea train za umeme manake tuna taka speed ndio mana tuna ongelea computer na sio manual work. Makosa kama hayo yapo nani changa moto za kukuwa kwa technology tujifunze kukabiliana nazo kwa kuwa MAKINI. Kama nimemkwaza mtu naomba anisamehe na nilipo kosea na pokea marekebisho.
 

Huoni hapo nimeandika malipo Code na Withdraw Code? Kama unalipa unapita option ya malipo na unayemlipa atakupa code utaweka utamlipa ina maana naye hawezi lipa kwa mtu tofauti. Soma vizuri replay yangu
 
Eßwws
 
Walichoniambia MPESA nimwombe mwizi arudishe hela zangu na ameamua kukaa kimya.
Jina la mwizi ni SAMWELI DEU MWENYE NAMBA 0759548421 na anaolafudhi ya kisukuma yet wanajidai hawawezi kumpata
Mtafute Facebook mbona unampata kuna mmoja alishawahi ibiwa hv hivi alitafuta mwizi wake facebok akampata fastaa
 
Aisee simple Kama hivyooo... Jamaa weziii sana
 
Yani ulikosea namba moja Majina yakaja Sawa????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…