M-Pesa ni Gharama Sana ! , Soma Hii Muhimu

M-Pesa ni Gharama Sana ! , Soma Hii Muhimu

msituburuze M-pesa ni ghari sana viwango vyao vya huduma ebooo! acha atetee wanyonge bwana

Kwani kuna mtu kalazimishwa kutumia huduma za M-Pesa?
Na kwanini mtake kushawishi watu wengine watumie huduma
mnazotumia? Mnalipwa kiasi gani kwa kufanya promotion?...
 
Enough z enough wakuu.Kama ni dozi hii ni muarobaini.Mmempa aisee!
 
Mwenye uzi ameelewa mnamaliza mafuta alitumwa,... akawajibu kwa sasa sijawakuta.
 
Kama hujatumwa basi Inawezakana ulikua na wazo flani, ila mbinu ya kuliwakilisha ndio mbovu.
"cheap z also expensive"
 
We utakuwa na tatizo binafsi.... Goma mwenyewe kuitumia... Alafu nenda A.T.M Kaangalie salio la Account yako kisha utapata jibu Richard Mlangi
 
Last edited by a moderator:
msituburuze M-pesa ni ghari sana viwango vyao vya huduma ebooo! acha atetee wanyonge bwana
Umeburuzwa na nani?
Umetumia huduma kwa hiari yako,sasa unasema umeburuzwa how?
Mwambie huyo ndugu yako unayemtumiaga atumie mitandao mingine
 
Pamoja na kulalamikiwa sana kuhusu gharama za miamala ya M-pesa ikiwamo kutoa, kutuma na kuhamisha fedha kuwa gharama kubwa mno na za kinyonyaji (ukilinganisha na mitandao mingine ya simu), lakini kumbe kuna zaidi.
Nilikuwa sijui kuwa kwa M-pesa hata kuangalia salio unatozwa fedha, fedha inakatwa kwenye akaunti yako.

My Opinion:
The responsible authorities should standardize and control this mobile banking business to protect the customers and ensure fair trading !
Hata tigopesa, kuangalia salio lazima ulipe
 
Sasa hao Tigo si ndio hata kupiga 'customer care' yao tu wanacharge!? Labda kama wameacha siku za karibuni.
 
Kwani we unaishi kjj gani?Ukiona haikufai tafta altenatv. Wanaume huwa hawalii lii ovyo wwe!
 
Pamoja na kulalamikiwa sana kuhusu gharama za miamala ya M-pesa ikiwamo kutoa, kutuma na kuhamisha fedha kuwa gharama kubwa mno na za kinyonyaji (ukilinganisha na mitandao mingine ya simu), lakini kumbe kuna zaidi.
Nilikuwa sijui kuwa kwa M-pesa hata kuangalia salio unatozwa fedha, fedha inakatwa kwenye akaunti yako.

My Opinion:

The responsible authorities should standardize and control this mobile banking business to protect the customers and ensure fair trading !

What I may only support in this thread is about absence of specific legislation to regulate the mobile banking business by the communication companies...This is really a mess(a lot of risks within)...people are conducting such business while our parliament is officially unaware.
 
Hii huduma ya M-Pesa ina gharama sana. Binafsi nimetoka kutuma laki 7 mda si mrefu. Imagine mimi ninayetuma nimekatwa 1500 na yule anaepokea anakatwa 7000. Unadhani kuna usawa hapo? Kwa nini malipo yawe instituted pande zote mbili? This is more than just a theft. Hata mabenki hakuna huduma kama hii.
Nadhani kwa style hii tunayoenda nayo itabidi turudi back to our conventional ways of transaction, that is -banks. Thats the only way I see fit in this economic situation we are in.
 
Umejua kabla au baada ya kutuma?
 
Ukweli m-pesa ni ghali sana. Ila wachangiaji wa uzi huu huenda wengi ni mawakala wa m-pesa. Mleta mada usivunjike moyo mada yako ina mantiki.
 
M.pessa ni nomaa, yaani voda sijui kwa nini wanamakusudi ya namna hii. Kama utajiunga nmb mobile kwa voda, ndika maumivu kwani unakatwa mara 2. Mi siku nyingi nimeshahamia airtel. Ushauri kwa voda, biashara ni ushindani, jaribuni kucope na situatiation vinginevzo mtakimbiwa na customers wengi sana maana ndondo si chururu, utakuja kugundua ujazo umepungua baada ya muda.
 
hamia airtel kiboko yao ndgu wanatunyonya mpaka tone la mwisho. sio huduma tena bali UMASIKINISHAJI
 
Back
Top Bottom