M-Pesa ni Gharama Sana ! , Soma Hii Muhimu

M-Pesa ni Gharama Sana ! , Soma Hii Muhimu

Kuna watu waliiponda hii mada tena kwa maneno makali.
Lakini naona leo wamepata ukweli na wamejutia kuiunga mkono kampuni ya kinyonyaji
 
Aisee mimi voda basi nimevumilia sana. na i will make it my mission kumconvine kila nae mjua aachane na hii kampuni. Ninmekua nao miaka 10 ila sasa basi!
 
Back
Top Bottom