Richard Mlangi
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 380
- 194
Pamoja na kulalamikiwa sana kuhusu gharama za miamala ya M-pesa ikiwamo kutoa, kutuma na kuhamisha fedha kuwa gharama kubwa mno na za kinyonyaji (ukilinganisha na mitandao mingine ya simu), lakini kumbe kuna zaidi.
Nilikuwa sijui kuwa kwa M-pesa hata kuangalia salio unatozwa fedha, fedha inakatwa kwenye akaunti yako.
Update
Nilipoweka hii topic mawala wa mpesa walikuja mbio kujibu na kupelekea wale bendera fuata upepo kuamini. Lakini leo wamepata ukweli nusu. Kesho watapata ukweli kamili.
My Opinion:
The responsible authorities should standardize and control this mobile banking business to protect the customers and ensure fair trading !