HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,691
- 2,303
Hawa jamaa wamejaa kwenye mitandao na polisi wanawaangalia tu wakifanya utapeli ambapo wanatumia namba za simu tofauti kupokea pesa kisha kubadili mawasiliano kila mara.
Wanafanya kazi kwa majina tofauti huku wakitumia tin,leseni na hati ya usajiri wa kampuni kwa majina tofauti.
Wanajiita M.Kopa,Mkopa,M kopa (T) Ltd,Focus Tv,M Kopa Tv Investment Lemeted,M kopa smart Tv,nk.
Ni wakati sasa wa jeshi la polisi kuwa wakweli kwa kuwafuatilia watu kama hawa kama hawezi basi waruhusu kuwepo makampuni binafsi ya upelelezi/ushushushu wafanye kazi ya kutokomeza wimbi la matapeli wa mtandao.
[9/10, 20:43] +255 745 998 032: KARBU M.KOPA
OFISI ZETU ZIPO MSAMVU MOROGORO KARBU NA OFISI ZA HALOTEL
TUNATOA TV KUANZIA NCH 32 AD 75
TAMBUA TUNAFIKISHA TV MIKOA YOTE TANZANIA BUREE PIA UNACHAGUA WEWE UTARATBU UUPENDAO KULETEWA TV AU KUJA KUFATA MWENYEWE OFISINI KWETU
ZINGATIA HATURUHUSU KUMTUMA MTU KUJA KUMKOPEA MWINGNE TV BORA UKAJA MWENYEWE
UKIPEWA TV YETU MALIPO UTAKUWA UNAFANYA KWA NJIA YA SIMU YAKO YANI MALIPO NI KAMA MFUMO WA ULIPIAJI KING'AMUZI KILA MWEZI
JE UNATAKA TV NCH NGAP NA IWE KAMPUNI GANI?
[9/10, 20:43] +255 745 998 032: TUNAKOPESHA TV UKU UKILIPA KIDOGO KIDOGO
IMALISHA AMANI NA FURAHA
YA FAMILIA NA MKOPO TV
M.KOPA BADO TUNATOA MKOPO
KOPA NASI.. NAMBAR YA KUPIGA KAWAIDA
CHUKUWA TV UNAYOWEZA KULIPIA KISHA LIPA KIDOGO KIDOGO MKOPO NI MIEZI 10
NCH 32. TSH 320000
NCH 43. TSH 430000
NCH 50. TSH 600000
NCH 55. TSH 650000
NCH 65. TSH 750000
NCH 75 850000
NCH 85 1500,000