M/Kiti Kamati ya Kimataifa ya Uhuru wa Dini Ameeleza Kuwa Samia Amekuwa Akiua Uhuru wa Dini, Ikiwa ni Pamoja na Kuteka na Kushambulia Viongozi wa Dini

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
6,512
Reaction score
15,098
Mwenyekiti wa kamati ndogo ya ulinzi wa uhuru wa dini wa Bunge la Marekani, bwana Chris Smith, wakati akifungua kikao cha mwaka, ameeleza kuwa Tanzania imerudi nyuma kwenye ulinzi wa uhuru wa dini.

Ameeleza kuwa mapadre kadhaa wa Kanisa Katoliki, akiwemo katibu wa TEC Fr Kitima, ama walitekwa au kushambuliwa na kujeruhiwa baada ya kukosoa vitendo vya ukiukaji haki vinavyofanywa na Rais Samia.
Mwenyekiti Smith amesema kuwa kiongozi wa Upinzani Tundu Lisu bado yupo gerezani kwa uonevu, balozi Humphrey Polepole bado hajapatikani tangu atekwe, huku watanzania wengine, kama siyo kwa mamia, basi ni maelfu wamepotezwa.

Mwenyekiti huyo ameendelea kueleza kuwa zaidi ya matawi 2,000 ya makanisa yenye uhusiano na Askofu Gwajima wa kanisa la uzima na ufufuo yalifungwa baada ya Adkofu Gwajima kukosoa utekaji wa watu, na kwamba waumini wake walipigwa kila Jumapili walipokusanyika kuabudu.

Mwenyekiti Chris Smith ameilaumu jamii ya kimataifa, akisema kwamba kama jamii ya kimataifa ingekuwa imesimama pamoja na viongozi wa dini waliokuwa wakikemea ukiukaji wa haki za binadamu nchini Tanzania, huenda mauji ya Oktoba 2025 yasingetokea. Akaeleza kuwa mauaji ya Oktoba 29, yalihusisha mauji ya watoto yatima ombaomba wa barabarani, akina mama wajawazito; na pia wahudumu wa hospitali za dini walilazimishwa kuingiza majeruhi kwenye vyumba vya kuhifadhia maiti.

NB: Vitendo vya kiharamia vya utekaji watu, uporaji uchaguzi, na mauji ya watu baada ya uchaguzi bandia, vimemfanya Samia kunuka Ulimwengu mzima.

Kwa upande mwingine, watanganyika hawajawa pekee yao, jamii ya kimataifa, kwa nyakati tofauti na kwa namna tofauti, imekuwa ikionesha kuwa ipo na watanganyika wanaoendelea kuomboleza na kupaza sauti dhidi ya uongozi haramu na batili unaodhulumu haki za wananchi, ikiwemo haki ya kuishi.

Tusikate tamaa, tuendelee kupaza sauti, wakati unakuja ambapo nao maharamia wanaojiona hakuna anayeweza kuwafanya lolote hata wakitenda uovu mbaya kiasi gani, nao watalipia sawasawa na uovu wao.

Habari kamili kwa Kiingereza hii hapa:
IMG-20260206-WA0048(1).jpg
 
Wakristo wanajikuta wao ndio wenye Nchi!!!
Ni lini walikuambia hivyo? Hivi muislam akizungumzia umuhimu wa kuheshimu na kuzilinda haki za watu, anamaanisha ni haki za waislam pekee na siyo Watanzania wote? Gwajima akikosoa utekaji, kwani anazungumzia utekaji wa waumini wake au watanzania wote? Wewe unaona ni sahihi alichokuwa amefanyiwa Ali Kibao? Au yule Ali Kibao hakuwa muislam mwenzako?

Jitafakari: watawala wauaji wanateka na kuua yeyote hawaangalii ni mkristo, muislam au mpagani, kwao alimradi mtu ameongelea haki, kwao ni adui yao. Halafu wewe, sijui kwa kukosa afahamu au unafiki, unapenda kusimama katika udini, wakati wauaji wanaua bila kutizama ni wa dini gani!!
 
Samia mwenyewe katekwa acha jumba limuangukie shauri ya kuzongwa na wahuni.
 
View attachment 3540360
Dictators don't heed to words, they need actions
 
Hutaki ??Ukweli nikuwa ndani ya Tanzania

1.Wakristo ni wengi kuliko dini nyingine yoyote
2.Wakristo wameelimika zaidi kuliko dini yoyote
3.Huduma za kijamii (Shule,vyuo vikuu na hospitali) asilimia 60%ni za wakristo na asilimia 30 %ni serikali na asilimia iliyobaki ni dini nyingine
 
Ngoja nikuitie walaaniwa na walioshiriki kumwaga damu za Watanganyika Kwa vipande vya fedha

Steven Joel Ntamusano Tlaatlaah kavulata Tui Lucha Dr wa Manesi
 
Hutaki ??Ukweli nikuwa ndani ya Tanzania

1.Wakristo ni wengi kuliko dini nyingine yoyote
2.Wakristo wameelimika zaidi kuliko dini yoyote
3.Huduma za kijamii (Shule,vyuo vikuu na hospitali) asilimia 60%ni za wakristo na asilimia 30 %ni serikali na asilimia iliyobaki ni dini nyingine
Muislamu anaye amini katika uislamu ....hata akiwa na elimu kiasi gani awezi kuwa na Akili ...
 
Hutaki ??Ukweli nikuwa ndani ya Tanzania

1.Wakristo ni wengi kuliko dini nyingine yoyote
2.Wakristo wameelimika zaidi kuliko dini yoyote
3.Huduma za kijamii (Shule,vyuo vikuu na hospitali) asilimia 60%ni za wakristo na asilimia 30 %ni serikali na asilimia iliyobaki ni dini nyingine
Kuwa wameelimika haitoi sababu ya wao kutaka kuiendesha nchi kupitia mlango wa nyuma.
 
Ni lini walikuambia hivyo? Hivi muislam akizungumzia umuhimu wa kuheshimu na kuzilinda haki za watu, anamaanisha ni haki za waislam pekee na siyo Watanzania wote? Gwajima akikosoa utekaji, kwani anazungumzia utekaji wa waumini wake au watanzania wote? Wewe unaona ni sahihi alichokuwa amefanyiwa Ali Kibao? Au yule Ali Kibao hakuwa muislam mwenzako?

Jitafakari: watawala wauaji wanateka na kuua yeyote hawaangalii ni mkristo, muislam au mpagani, kwao alimradi mtu ameongelea haki, kwao ni adui yao. Halafu wewe, sijui kwa kukosa afahamu au unafiki, unapenda kusimama katika udini, wakati wauaji wanaua bila kutizama ni wa dini gani!!
Pia mwambie, Shehe majini alivyolambwa shaba ya kichwa nyumbani kwake alikuwa dini gani yule?
 
Ndio maana kuna jamaa kasema kama nchi za africa zingekuwa zinamiliki Nuclear zingekuwa zinatumia kwa raia wake...
 
Back
Top Bottom