Message from Juma Mwapachu

Message from Juma Mwapachu

Hivi anadhani sisi wapiga kura hiyo lugha yake tunaielewa, katusomesha?

Lowassa ni Fisadi na hatakaa aache ufisadi.

Kwani huyo aliyeiandika hiyo lugha "usiyoielewa" amesema nini? naona unaruka kutaja ufisadi wa Lowasa, mbona kama umemuelewa vile!!!
 
Juma Mwapachu is a 73 year old man who is only known in top government official circles.He is not known by CCM members.So we don`t even feel his absence.What he has written has no weight in the hearts of many Tanzania voters because they don`t know him or his high life living styles.

Nyie visemeo vya CCM mmevurugwa sana unasema MWAPACHU hajulikani? daaah
 
Mkuu tunaelemishana, ujinga unaondoka kwa kuelimishwa, nielimishe niwe na uelewa kama wako ili nimpe kula(ra) unayemtaka wewe!

Ukiniacha nipaita hivi na ujinga wangu unaweza kupoteza kura amabyo kama ungetumia effort ndogo tu ungefanikiwa kuipata.

Siombi kura yako mkuu. Mimi najua nampigia nani. Wewe kama mpaka leo haujui, basi una hali ngumu! Tafakari taratibu tu utajua wa kumpigia ukikosa basi kaa nyumbani iyo siku! Sawa?!
 
Hivi anadhani sisi wapiga kura hiyo lugha yake tunaielewa, katusomesha?

Lowassa ni Fisadi na hatakaa aache ufisadi.

Lini ulianza kujua LOWASA fisadi mmekula vya kutosha hii NCHI sasa imetosha hamna hatimiliki na hii NCHI
 
Nikwambie tu kwamba nchi haiongozwi na mtu, inaongozwa na mfumo, na chama. CHADEMA ni chama chenye itikadi zake na sera zake tofauti kabisa na za CCM.

Taifa letu limefikishwa hapa na kwa sababu ya uroho wa viongozi, kuweka maslahi binafsi kwenye miradi ya kitaifa, rushwa na ubadhirifu wa mali za uma.

Neno ufisadi ni generalization ya yote hayo ya juu, nakuhakikishia kama viongozi wetu wasingejali matumbo yao pekee, sisi kama taifa leo tungukuwa mbali ukilinganisha na resources tulizo nazo.

CDM walituaminisha kwamba wanauchukia ufisadi, wataukomesha. Leo CDM imemchukua Lowassa, habari ya ufisadi haizungumzwi. Itikadi ya chama inasemaje kuhusu ufisadi? Kama inapinga, kwa nini kwenye hizi kampeni zinazoendelea za urais haitamki msimamo wake juu ya ufisadi na mafisadi?
 
Tuombe Mungu atupe nafasi ya kumwona mkombozi wa hili taifa, lakini Lowassa bado sana kuwa mkombozi (kimoyo moyo unakubaliana na mimi).

Ni vile tu siwezi kuichagua CCM, lakini Lowassa hawezi kuwa mkombozi wa hili taifa, never!

Hutapiga kura?nadhani we mwenyewe moyoni ushajua lowassa ni mkombozi wa hili taifa unashindwa kuadmit hilo kwa sababu labda ulimponda before, hata hivyo kuna ukweli kuwa muda mwingine tunamkataa/kumkubali mtu kutokana na kutomjua na kutojua juu ya uhalisia wake au jambo flani linalomhusu.
 
my dear friends, ukawa and lowassa supporters. We have five days to go before the election of our lives. We are all mobilised and galvanised to vote ccm out of power.

our resolve and commitment is to change a government that has failed to transform our lives. We need a new government better able to deliver on our wishes and expectations.edward ngoyai lowassa is the person to transform our miserable lives; to bring happy faces to us and our families. January makamba has published an article in the mail and guardian of south africa malagning lowassa and accusing him in subtle ways of corruption.

we are not stupid not to flesh out his desperate manoeuvre to distort facts about the richmond issue and in trying to criticise the opposition for embracing lowassa ostensibly in contradiction to its stand on lowassa in 2007.

ccm lacks the effective ammunition to knock lowassa done. Majority tanzanians are decided on lowassa as their next president. They will not be moved by silly and unfounded smear from pedestrian politicians like january makamba who still fail to understand why they never made it in their premature presidential ambitions.

tanzanians love lowassa because they are satisfied of his leadership experience and capabilities. They trust him and trust his guts. They adore the sanctity of his marriage life. Lowassa is not corrupt; there has been no evidence to justify any of the accusations levelled against him.

he did not resign as prime minister early in 2008 on corruption charges. Re-read the mwakyembe report. The opposition has already shown regret for its 'list of shame' mr makamba. They put lowassa's name in the list in 2007 as part of politics against ccm.

on sunday 25 th october tanzanians will make history by electing lowassa their new president. It is so decided and almighty god will ensure an election free of rigging so notoriously practised in our country

magufuli is our next president for sure
 
Juma Mwapachu is a 73 year old man who is only known in top government official circles.He is not known by CCM members.So we don`t even feel his absence.What he has written has no weight in the hearts of many Tanzania voters because they don`t know him or his high life living styles.

Talk for yourself!!

This is Tanzania's General election NOT CCM General election. I would have understood you if only CCM members could be voting!! If you think CCM member do not know him, us Tanzanians we know Mwapachu and respect him very well. In case case you are still doubting him ....... try to visit Tanga and ask about Mwapachu!!!
 
Mkuu una haki ya kunilaumu, CCM wamenifanya Zombie, na kuna kila dalili za kuendelea kunifanya Zombie, kwa sababu, this time ni either uchague CCM Mama (ambayo ndiyo iliyotufikisha kwenye huu umaskini) au CCM Branch (UKAWA) ambayo mgombea wake na baadhi ya wafuasi wake wamemeguka kutoka CCM Mama na wameshiriki moja kwa moja katika kutufikisha hapa.

Uamuzi ni wako.

Ni kweli CCM kanifanyia ufirauni, lakini je huyu Lowassa, Mwapachu, Masha na Sumaye si ni moja ya member wa CCM iliyonifanyia uhuni? Atawezaje kuacha kuendelea kunifanyia uhuni wakati ameshaprove kwamba ni muhuni, kajitenga na wahuni aliokuwa nao, nitaamini vipi kwamba huyu jamaa hajaja kutengeneza kundi lingine la kihuni?

Lowassa hata kama atakuwa rais, maisha ni yale yale, hatakaa aache ufisadi, na maumivu yatakuwa yale yale kwa sababu tunamjua, ni Fisadi na hajawahi kuahidi kwamba atapambana na mafisadi au wala rushwa kwa moyo dhati.

Mkuu kwahiyo wee MTU akiahidi tu....tayari unampa KURA pole sana kwanza hao jamaa hawakuhamia CHADEMA na ILANI ya CCM wamekuja kutekeleza ILANI ya CHADEMA fuulstop Ushawahi kumsikia LOWASA kwa mfano akizungumzia mambo ya KATIBA akinadi Serikali mbili km CCM
 
Hivi ni boda boda, Mama lishe wangapi wanaoweza kuelewa alichoandika huyu Mwachupi? Au anafikiri wapiga kura wamo humo JF!

Kama viongozi wenyewe ndiyo hawa ni bora aende tu kwa fisadi Lowasa, kwa maana hata akili hana!

Kweli fulana na KOFIA zimewafanya vibaya sana Unasema MWAPACHU hana AKILI daaah......wekeni akiba ya maneno
 
Kweli fulana na KOFIA zimewafanya vibaya sana Unasema MWAPACHU hana AKILI daaah......wekeni akiba ya maneno

Sasa unaweza kusema huyo ana akili? Kama angekuwa na akili angetambua ya kwamba kama anataka kufanya kampeni ni lazima aandike lugha ambayo inaeleweka na wapiga kura wake, sasa ni watu wangapi wanaopiga kura Tanzania wanaweza kusoma na kuelewa alichoandika?

Huyo ni garasa tu kama fisadi Lowasa vile, na ndiyo maana CCM watashinda kwa zaidi ya 70% kwa maana CCM wanafahamu wapiga kura wao ni watu wa aina gani na ni jinsi gani wanaweza kuwafikia!
 
Mwapachu huwa anaongea kiingereza ili kiwasiliana na wasomi wenzake na sio kubishana na watu wasio na elimu.

Unalalamika kwa sababu haujui kiingereza, tatizo ambalo ni kwasababu;
1. Hauna elimu au
2. Elimu yako uliopewa ni duni.
Vyote hivyo ni zao la serikali mbovu isio na VISION KITAALUMA! Sio kosa lako. So i guess now you atleast know "WHO NOT TO VOTE FOR"
Hii elimu yangu niliyopewa unayosema kuwa ni duni mbona ndiyo hiyohiyo ya Mwapachu anaeongea kiingereza kizuri? Namaanisha ni elimu ya chama tawala, kwa hiyo nakushauri tu kwamba maisha ni akili yako tu kichwani kama ulivoona utafauti wangu wa kiingereza kati yangu na Mwapachu wakati wote tumepewa elimu na CCM, so hata ikiingia CHADEMA ni hivo hivo wenye akili wataendelea kuneemeka na wajinga wataendelea kuwa wajinga tena this time mjinga atahenyeka sana.Usitegemee eti mabadiliko yanayohubiriwa basi watu watakula mana kama wana wa Israel la hasha. There is price and sacrifice in that so usiichukulie powa sana
 
Taifa letu limefikishwa hapa na kwa sababu ya uroho wa viongozi, kuweka maslahi binafsi kwenye miradi ya kitaifa, rushwa na ubadhirifu wa mali za uma.

Neno ufisadi ni generalization ya yote hayo ya juu, nakuhakikishia kama viongozi wetu wasingejali matumbo yao pekee, sisi kama taifa leo tungukuwa mbali ukilinganisha na resources tulizo nazo.

CDM walituaminisha kwamba wanauchukia ufisadi, wataukomesha. Leo CDM imemchukua Lowassa, habari ya ufisadi haizungumzwi. Itikadi ya chama inasemaje kuhusu ufisadi? Kama inapinga, kwa nini kwenye hizi kampeni zinazoendelea za urais haitamki msimamo wake juu ya ufisadi na mafisadi?

Mkuu ukiwa unasoma magazeti ya Uhuru....Habari Leo na Kuangalia TBC na Star TV hutaweza kujua km Chadema wanazungumzia Rushwa kwenye majukwaa yao....so Badili mtazamo wa Media unazofuatilia ndio utaelewa
 
Kwani huyo aliyeiandika hiyo lugha "usiyoielewa" amesema nini? naona unaruka kutaja ufisadi wa Lowasa, mbona kama umemuelewa vile!!!

Mkuu kuna baadhi ya maneno ukiyaona unaunga unga mpaka unaelewa.

Siombi kura yako mkuu. Mimi najua nampigia nani. Wewe kama mpaka leo haujui, basi una hali ngumu! Tafakari taratibu tu utajua wa kumpigia ukikosa basi kaa nyumbani iyo siku! Sawa?!

Umesomeka mkuu, pamoja.

Lini ulianza kujua LOWASA fisadi mmekula vya kutosha hii NCHI sasa imetosha hamna hatimiliki na hii NCHI

Mkuu Lowassa ni fisadi tangu anatajwa na Mwl Nyerere, Lowassa ni Fisadi kabla hajachaguliwa na Kikwete kuwa waziri mkuu, Lowassa ni fisadi baada ya kuwa waziri mkuu, Lowassa ni fisadi baada ya kujiuzuru, na haya tumeyajua kwa vielelezo na ushahidi kutoka kwa wana siasa.

Lowassa ni Fisadi, tumempokea upinzani, eti leo tunasema Lowassa siyo fisadi, kweli? Ni kipi kimebadilika kwake?

Lowassa hatakaa aache kuwa fisadi, so tukae tunajua hili. Hatuwezi tena kuichagua CCM, lakini haina maana eti huyu tunayemchagua ameokoka, ni vile tu hatuna jinsi, ametushika tumeshikika, ameweza kusababisha mtu tuliyemwandaa kwa miaka kadhaa kuwa rais wetu tunamwita msaliti, mtu amabye kura yangu nisingejiuliza mara mbili mbili kumpa, huyu ni Dr Slaa, ndiye niliyemwamini kupitia CDM, na kura yangu isingekuwa ya kinyonge kama sasa.
 
Huyu mzee sio mzima, Hivi ni nani aliemwambia Watanzania wamuamin Lowassa!!!! Kwa lipi hasa la kuwafanya watanzania wamuamin!!!!
Eti Lowassa sio mla rushwa!!!!!

Hivi huyu Mwampachu ana miaka mingapi!!!
 
Mkuu ukiwa unasoma magazeti ya Uhuru....Habari Leo na Kuangalia TBC na Star TV hutaweza kujua km Chadema wanazungumzia Rushwa kwenye majukwaa yao....so Badili mtazamo wa Media unazofuatilia ndio utaelewa

Mkuu ukiuzungumzia ufisadi ni pamoja na kuzungumza ni hatua zipi utawachukulia hawa mafisadi, je, uko tayari kumchukulia hatua rais wako? Uko tayari kuwachukulia hatua watu waliodhamini kampeni za uchaguzi? (Hapa nawazungumzia kina Rostam, Karamagi na marafiki wengine wa Lowassa ambao wanasaidia kampeni)!

Achana na habari za kutamka tu, zungumzia utekelezaji wa hilo swala, unawezekana?
 
Hivi anadhani sisi wapiga kura hiyo lugha yake tunaielewa, katusomesha?

Lowassa ni Fisadi na hatakaa aache ufisadi.

Kaka ona mbali basi. kaandikia UN,AU,ICC na dunia nzima. usijione upo ndani ya boksi la ccm toka kidogo uone madudu ya ccm.
 
Nikwambie tu kwamba nchi haiongozwi na mtu, inaongozwa na mfumo, na chama. CHADEMA ni chama chenye itikadi zake na sera zake tofauti kabisa na za CCM.

To hell with your idea dude, ila RAIS ana inspire mfumo, that is simple and clear regardless of sijui manifesto!
 
Back
Top Bottom