Lyatonga Mrema , Maalim Self, Lipumba, Mbowe , Mama Tanzania pamoja na Zitto je historia ya Tanzania itawakumbukaje hawa watu ?

Lyatonga Mrema , Maalim Self, Lipumba, Mbowe , Mama Tanzania pamoja na Zitto je historia ya Tanzania itawakumbukaje hawa watu ?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,636
Reaction score
81,533
Lyatonga Mrema , Maalim Self, Lipumba, Mbowe , Mama Tanzania pamoja na Zitto je historia ya Tanzania itawakumbukaje hawa watu ?.

.
 
Mtoe Maalim seif .
Hao wengine wote Majukum juu ya Majukumu. 🤣🤣Mama Tanzania anaongeaga kwa Uchungu sana kama kweli Ref kifo Cha Dr Mvungi
 
Lyatonga Mrema , Maalim Self, Lipumba, Mbowe , Mama Tanzania pamoja na Zitto je historia ya Tanzania itawakumbukaje hawa watu ?.

.
No 1 mpaka 4 walikubali kuketi meza moja na ibilisi shetani .. Wakapoteza kila kitu..
Heshima
Umaarufu
Uungwaji mkono
Namba 5 bado tunaifuatilia
 
Back
Top Bottom