Nungunungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2007
- 311
- 13
Lipumba ni hovyoooooo kabisa u pofesa wake sijui kaupatia wapi?
Uprofesa kaupatia vyuoni. Sijui na ninyi huu ufinyu wenu wa mawazo mmeupatia wapi?
Lipumba ni hovyoooooo kabisa u pofesa wake sijui kaupatia wapi?
Ni kweli kabisa sijui Elimu ina faida gani kama Wasomi ndio wanaoihujumu nchi,hawana mchango wowote wa manufaa kwa nchi.Nafikiri ndio maana Madagascar wamempa nchi DJ Rajolina baada ya kuona wasomi hawana jipya ila wanatumia elimu kuiibia nchi.Watanzania tuamke tuilinde nchi yetu.
Na wewe unataka watz tumpe Nchi DJ Mbowe?...
Madagascar wamempa DJ juzi.labda ni habari njema kwa Mbowe kwani atakuwa DJ wa pili duniani kuwa Rais wa nchi.Na wewe unataka watz tumpe Nchi DJ Mbowe?...
Mkuu, umafundisha mgonjwa kunwya uji?Napendekeza anaye-download achukue zote mbili...
Naona kuna tatizo la kiswahili katika matumizi ya "L" na "R". Ninavyoelewa kuna kujiuzulu na si kujiuzuru, kuna kukithiri na si kukithili - of course inafuatana mhusika anatoka sehemu ama mkoa gani. Je, jina hasa ni Lwakatare, Rwakatare, Lwakatale au Rwakatale ?
Mimi ni mtani wako.