Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,080
*Alisema mwanae mmoja alimuomba ampe hiyo kadi ya kafu ili aiweke kama kumbukumbu ya babaye na aliikabidhi kwa Susan wa chadema ili amtafute mwanae na kumpatia ili iwe kumbu kumbu kuhusu maisha ya kisiasa ya baba yake.
Alisimama David Kalikawe ambaye ni mwanzilishi wa tawi la kwanza la chadema hapa Kagera;
*Alimpongeza Lwakatare na kumkaribisha katika chama.
Aliwashangaa wanaobeza kuhama kwa Lwakatare lakini akasema anakumbuka kuwa hata Dr Slaa alikuja Chadema baada ya kutoona anatendewa haki Sisi Maf...... pale alipoachwa kwenye uteuzi wa kugombea ubunge kupitia sisi Maf..... huku akipewa Patrick Qorro. Katika uchaguzi huo Dr Slaa alimuangusha vibaya Patrick, alutolea hata mfano wa balozi Christopher Ngaiza na kuwaona kama ni mavuno sawana haya ya Lwakatare.
Leo yeye ni muhimiri wa chama na mwiba kwa mafisadi.
*Alimkaribisha Dr Slaa kuzungumza na wananchi wa Bukoba mjini.