Lwanda Magere na Utajiri wa Giza

Si kitangazwee huko huko telegram mlikokimbilia??? Mkatukimbia sis masikini sasa mnakuja tena kutupigia mayowee😆😆😆

Vaeni barakola mana hatujui huko mjin telegram kupoje??
 
Hongera yake,lakini bona kitabu kinaonekana kidogo tofauti na story aliyoileta humu? Au kuna part I na kuendelea?
Yaani atengeneze kitabu kama filamu za bongo party 1 na 2😲
 
Si kitangazwee huko huko telegram mlikokimbilia??? Mkatukimbia sis masikini sasa mnakuja tena kutupigia mayowee[emoji38][emoji38][emoji38]

Vaeni barakola mana hatujui huko mjin telegram kupoje??
Kweli waende huko telegram sasa huku waleta Cha nini kwanza alipie tangazo
 
Acha wivu kijana
Hakuna gud job unayoweza kukubalika 100% lazima watu kama sisi tujitokeze na tuhoji, kivipi?? Tukianza kuhoji ndo hapo mnatuita wenye wivu😆 ningekuwa n mtoa kitabu ningejisemea kuwa "well naogopwa pia wananikubali"
 
Hatuna wivu, Ila alitu disappoint wengi kaja kujitaftia umaarufu Ili apige story si angesema tu mwanzo wa story. Dah Mimi hata ukinipa bure sisomi hicho kitabu mzuka ulishakata kabisa
Hata hivyo hakuna anaye weza kukupa
 
Hatuna wivu, Ila alitu disappoint wengi kaja kujitaftia umaarufu Ili apige story si angesema tu mwanzo wa story. Dah Mimi hata ukinipa bure sisomi hicho kitabu mzuka ulishakata kabisa
Yes ukweli usemwe! Awali alitudharau but right now anaona tuna umhimu, si vzr kuwadisiapointi watu alafu urudi tena bila kuomba radhi ukihitaj kampani yao. Binafs siwez ata kukipigia chapoo kwa marafk zangu wapenda kusoma vitabu ambao hawapo jf😏, yes bora ikae hivo🤐
 
Ila wabongo mnanongwa saana yaani story mmeichangia kwa kulazimisha

"Leta muendelezo"
Ukiendelea nitagz
Bro mbona unachelewa


Leo mnaponda, acheni wivu hutaki kununua.kula kimya na roho yako kubwa kama boga

Sent using Jamii Forums mobile app
Twambie huo mwendelezo uliishia wapi?????? Unadhan angemalizia stori yake humu then aombe mtu wa kumsponsa kutoa kitabu angeshindwa??, tena wangejitokeza weng mnoooo. But anewei kila la kheri kwake na kwenu wanunuaji,

Usisahau kununua mkuu na mwanao akakisome😁
 
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Mtakapojua ni kizuri mtakinunua tu. Ile simulizi ya Magere ni full package. Yaani sio kitu cha ubabaishaji ila labda ilo mnaloliona kosa la kutupeleka Telegram ndio limghalimu hapa JF lakini ukikutana na hiyo simulizi hata uwe hupendi utasoma kwa siri. Hongera Magere.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…