LWAKATARE: Kuna unafiki CHADEMA

Siku ile ulipoletwa uzi wa Lwakatale wa mrejesho kutoka mahabusu maprocdm walifyata wote na najua walimlaumu manake aliandika mambo kwa uhalisia wake.

Mambo gani hayo ambayo uliyaona peke yako? Maana wote tulisoma thread ile lakin sijui mwenzetu ulisoma ya wapi!
 

ina maana alivyosema wasaliti it means anaongelea huo mkanda au vipi??acha ujinga wewe na acha kuwa mpumbavu, kama huwezi kuthink big then kaa kimya tu...
 
sasa kwa nini usiseme anaongelewa ludovick aliye msaliti?
 

Ushahidi wa kutosha kasema nani, Wewe... Hahaha.
Ndugu hivi vitu siyo kiraisi raisi hivo soma sheria za nchi na usikurupuke kama umelala kitanda kibichi.
 

Kwa sababu kamuona Mbowe mwenyewe ni mnafik.

Hivi Lwakatare ni Mchagga?

Kwa kukujuza na kwa mujibu wa makachero wetu ndani ya chadema; Kasheshe iliyopo ndani ya chadema sasa hivi ni kati ya Mbowe, Slaa na Mtei, kama hujui uliza. Josephine kinara wa matatizo.

Ukiacha ile ya Zitto na Mbowe, halafu kuna Mnyika anatoswa na mbio zake zimeishia sakafuni. Nassari kibaraka wa Lema na Mbowe na siasa yao kubagua wasio Wachagga. Slaa anaonekana msaliti kwa kujikopesha mwenyewe mifedha bila idhini ya Wachagga na kumuweka Josephine kuwa ndio kinara wa mahesabu ya makao makuu.

Lwakatare anaonekana ni kibaraka ndani ya Chadema kwa kuwa ni mtu wa system siku nyingi.

Zitto ndio kabisa, siku hizi kaamuwa kujifanyia mambo yake peke yake, haswa baada kunyamazishwa na Barrick (aliwasahau wenzake).

Kina Makene ndio watu wa chokochoko na wanatumiwa bila kujijuwa. Lwakatare anaona kuwa siri zake kuna mtu anazotoa kutoa ndani ya chama, ni kweli si uongo, kwani kuna watu humo ndani hawakubaliani na mbinu zake za ukatili.

Mambo hayakai sawa humo mpaka madaraka yaondoke kwenye ukoo, na chadema iwe ni kweli chama cha demokrasia.

Jee, Wachagga watakubali?

Kasheshe.
 

Kama rocket vile...inaenda ikiachia tanki moja moja....mpaka tufike 2015 atabaki Mbowe na babu eduu...
 
Lwakatare aishukia vikali chadema asema kuna unafiki mkubwa sana,yani zaidi ya unavyofikiria


  • soma mwananchi la jana punguza hilo povu linalokuvuja hadi kwenye nywele
 
magazeti ya ccm yamekaa kinafiki
yakiwapa za uso yanakuwa ya ccm. acheni kuua watu magazeti yatawaandika vizuri
Lwakatare aishukia vikali chadema asema, kuna unafiki mkubwa sana,yani zaidi ya unavofikiria



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…