LWAKATARE: Kuna unafiki CHADEMA

Hu ni UPUMBAVU mwingine wa vijana wa ccm...kila kinachongelewa na viongozi wa CDM wanakitafriri ndivyo sivyo....Jana mwingine kamwona Slaa airport kaja kutuambia hapa...ACHENI USHAMBA NA UPUMBAVU WA KITOTO
 
kweli ujinga ni kipaji kwa baadhi ya watu!! Anamsema ludovick aliyenunuliwa kwa 50,000 ili afanye ujinga ule. Polisi siyo wajinga kiasi hicho kufanya haya unayoyasema!!
soma uzi wapi ludovick na ludovick ana cheo gn km kiongozi
 
Maccm bana kila kitu kukamata tuuuuuu chama mtajenga lini??


bahati yako wewe sii mtanzania na hauko unaona wivu rais wa US kuja bongo! ila fahamu kwamba unaowatumia hapo ni maraisi na viongozi wa nchi ambayo hawavumilii mtu kudhihaki viongozi wao kama ulivyozoea kumadhihaki JK watakunasa faster tu maana wapo bongo kitaambo!! we endelea tu.
 
kwanza hata sijui computer umejifunzia wapi kama hata kusoma vizuri na kuelewa hujui.
 
kwanza rekebisha heading yako hacha uandishi kama wa kiudaku.
 

...JF sasa mmeifanya dampo,kila takataka mnayoitengeneza Lumumba mnakuja kutupia hapa...
 
Gazeti la fahamu, ndio gazeti gani hilo!

Au ndio magazeti dada Na uhuru, Habari Leo na Africa Leo!
 
kumbe mnajiteka wenyewe alafu mnasingizia ccm na MSHINDWE
 
Siku ile ulipoletwa uzi wa Lwakatale wa mrejesho kutoka mahabusu maprocdm walifyata wote na najua walimlaumu manake aliandika mambo kwa uhalisia wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…