Wakuu, sio siri tangu alipokamatwa Mkurugenzi wa usalama wa cdm maanadamano ya cdm kupitia kauli mbiu ya M4C ni kama yamefutika rasmi. Ninawashauri hawa jamaa watafute kauli mbiou nyingine ya kuweza kuwahadaa watanzania.
Wakuu, sio siri tangu alipokamatwa Mkurugenzi wa usalama wa cdm maanadamano ya cdm kupitia kauli mbiu ya M4C ni kama yamefutika rasmi. Ninawashauri hawa jamaa watafute kauli mbiou nyingine ya kuweza kuwahadaa watanzania.
Kwani alieyemshtaki Lwakatare na rafiki yake Ludovick ni nani? na je, mshitaki huyo amehusisha vipi mashitaka hayo na chama? Njoo na evidence zinazonyesha kuwa aliyemshitaki Lwakatare amehusisha kesi hiyo na chama.
M4c kwishney ilikuwa nguvu ya soda hata magari yao yako juu ya mawe
Mkuu,
Hii ni kesi ya chama. We angalia mtiririko tu wa events ujue. Lakini wasichojua CCM ni kwamba walipolalia wao Chadema ilishaamkia hapo siku nyingi.
Mpaka sasa bado sijaelewa kwanini chadema wanaigeuza kesi binafsi ya Lwakatare na rafiki yake Ludovick kuwa kesi ya chama!!!
Kesi ya Lwakatare.Kwani alieyemshtaki Lwakatare na rafiki yake Ludovick ni nani? na je, mshitaki huyo amehusisha vipi mashitaka hayo na chama? Njoo na evidence zinazonyesha kuwa aliyemshitaki Lwakatare amehusisha kesi hiyo na chama.
Kwa maswali yako haya, kama tayari una majibu yake basi inawezekana nitajifunza mengi zaidi kutoka kwako zaidi ya utakayojifunza kutoka kwangu endapo utajibu swali langu la awali yaani "ni kwa nini unafikiri inabidi iwe kesi yake na si ya chama?" na kama huna majibu ya maswali yako, basi itabidi tendeleze mjadala.
Kesi ya Lwakatare.
Mkanda karekodia nyumbani kwake.
Ofisi za CDM zinapekuliwa kwa lengo lipi?, au ndio nyumbani kwa Lwakatare?.
Rwakatare anabeba nembo ya Chama pamoja na nembo ya utaifa, hivyo kumuacha peke yake ni unafiki kwani asingekuwa mwanasiasa haya yasingemkuta. Mambo ya kila mtu kubeba mzigo wake ni ya CCM si ya CDM. Umenisoma???
Swala la kesi kuwa ya Lwakatare sio la kufikirika ni swala linaloonekana mahakamani kesi inaposomwa. Kwenye kesi kuna mshitaki na mshitakiwa.
Mshitaki ni DPP na washiakiwa ni Lwakatare na Ludovick. Hakuna doccument yoyote inayoitaja chadema kwenye kesi ya Lwakatare.
Tukio la kupanga ugaidi alilifanya Lwakatare mbele ya Ludovick wakiwa nyumbani kwa Lwakatare ni si kwenye ofisi ya chadema. Katika video Lwakatare haitaji chadema kuwa imemtuma.
Kimsingi chadema inalazimisha umaarufu wa kisiasa kupitia kesi binafsi ya Lwakatare. Ni sawa leo hii Dr. Slaa akigombania kiwanja na jirani yake halafu chadema waseme hiyo ni kesi ya chama!!!
Nadhani umeona wanaharakati wa vikundi mbalimbali vya dini ya kiislam ambao wamekuwa wakiifanya kesi ya kiwanja inayomkabidi Ponda kuwa ni swala la kidini. Hii haina tofauti na chadema wanavyoifanya kesi binafsi ya Lwakatare kuwa ni swala la chadema kwa lengo la kuwalaghai wananchi kuwa chadema inaonewa na imeshitakiwa na serikali ya CCM. Lakini the truth ni kwamba hakuna mtu aliyeishitaki chadema!
Chama kinayumba sana saivi, hata bungeni si unaona wanavyotukana
Labda unaweza kutujibu ni kwa nini polisi walikwenda kupekua ofisi za Chadema. Upekuzi nyumbani kwa Lwakatare ungetosha kabisa.