Akili zako+upeo wako wa kufkr ni sawa na wabunge weng wa chama chako(ccm)!hauwez endeleza m4c wkt ccm wanatumia usalama wa taifa+walopokaj km m. Michemba kutengeneza matukio.2.Ni vzr na busara kabsa cdm wakajpanga upya kupambana na hii michezo michaf kwan kuendeleza maandamano or m4c raia tutaendelea kupoteza maisha kwan policcm wana silaha za kutosha na kaz yao ni kutuua hili tukichukie chama.3.Napenda uelewe pia kuwa ccm wanatumia akili ndogo sn kufanya /kupanga jambo but cdm wanatumia akil nyng kutatua/kulipatia ufumbuz.