palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,462
mnaweweseka na hii clip
Last edited by a moderator:
sidhani labda nkamiaHivi Lusinde ni CHADEMA?
Wakuu, sio siri tangu alipokamatwa Mkurugenzi wa usalama wa cdm maanadamano ya cdm kupitia kauli mbiu ya M4C ni kama yamefutika rasmi. Ninawashauri hawa jamaa watafute kauli mbiou nyingine ya kuweza kuwahadaa watanzania.
Sasa Mkuu nitoke nje ya mada kidogo niijadili hiyo signature yako,,
hiyo miili anayosema JK ipimwe DNA kutambua jamaa zao then what next??
dah nchi hii ina maajabu sana..
unaogopa lazima usimame kizimbani namba yako iko wapi bro M4C kanda ya Pwani imefunguliwa with big bang inaelekea kanda ya kati kawaambie akina zoka mission aborted
Kiongozi,
Naomba nisaidie kuelewa hii kesi inakuwaje ya chama?
Ukitaka kujua short cut kula nauli, Chadema wamekula nauli SASA wanatembea kwa miguuChama kinayumba sana saivi, hata bungeni si unaona wanavyotukana
CHADEMA chali! Na hukumu ikitoka ikathibitika ni magaidi ndiyo tutawaokotea bonde la msimbazi.
Mkafanye kazi halali kuliko kuja kujificha CHADEMA kwa kivuli cha chama cha Siasa.
hayo ndo yalikuwa malengo ya ile mipunga wenzako riziwan, nchemba, nchimbi na usalama wa taifaMpaka sasa bado sijaelewa kwanini chadema wanaigeuza kesi binafsi ya Lwakatare na rafiki yake Ludovick kuwa kesi ya chama!!!
Jasusi mkuu, dont waste your valueable time kumquote huyu jamaa. Hana cha kupoteza maana hao walishajivua nguo za ndani na ni watupu. Ukiona mtu mzima anaujua ukweli lakini anaukana ujue huyo si ridhiki ila yupo tuu kama ling`ombeMkuu,
Hii ni kesi ya chama. We angalia mtiririko tu wa events ujue. Lakini wasichojua CCM ni kwamba walipolalia wao Chadema ilishaamkia hapo siku nyingi.
Hii kimsingi kama ingekuwa kwenye nchi zinazozingatia vyema sheria, haki na utawala bora kama vile Czech republic basi Bwana Lwakatare angepaswa ajisafishe mwenyewe. Lakini hapa wanaomshataki tayari wanahusisha (linalodhaniwa kuwa) kosa lake na chama hivyo ni lazima chama kimlinde na kumtetea maana kusafishika kwake ni kusafishika kwa chama. Labda nikuulize pia, ni kwa nini unafikiri inabidi iwe kesi yake na si ya chama?Kiongozi,
Naomba nisaidie kuelewa hii kesi inakuwaje ya chama?
Upumbavu ni matusi,,
Ya kina nchemba huyaoni??
Kinakufaa eeeh??
Sawa tutaona mwisho wake..