chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 213
naunga mkono hoja!upo mia
Siku ukielewa kwa nini TISS na Police wanafanya kazi ya CCM kutaka kuiangamiza CDM na hili utalielewa tu.Mpaka sasa bado sijaelewa kwanini chadema wanaigeuza kesi binafsi ya Lwakatare na rafiki yake Ludovick kuwa kesi ya chama!!!
Wakuu, sio siri tangu alipokamatwa Mkurugenzi wa usalama wa cdm maanadamano ya cdm kupitia kauli mbiu ya M4C ni kama yamefutika rasmi. Ninawashauri hawa jamaa watafute kauli mbiou nyingine ya kuweza kuwahadaa watanzania.
Jamaa yangu Wabunge wameisimamia Bungeni leo eti izungumziwe Ki-Bunge kama ni Suala la Serikali eti Waziri mhusika awajibishwe kwa kumlea Mkurugenzi wa UWT (TISS) ngoja tusubiri jioni tuone maamuzi kama Kesi iliyo Mahakamani Mtu unaweza izungumzia nje Mahakama na kuwataja Watuhumiwa na kutoa namba zao za simu ili kusaidia Mwenendo wa kesiKiongozi,
Naomba nisaidie kuelewa hii kesi inakuwaje ya chama?
Makupa,
Usipofanya utafiti punde utaaibika. Muda mfupi tu uliopita katika ukumbi wa Morogoro Hotel, nimefungua Mafunzo ya Wakufunzi wa Wakufunzi 30. Kati Yao 20 wakitoka kwenye Kanda 4 zilizokwisha kuzinduliwa yaani Kanda ya Kaskazini, Kanda ya Ziwa Magharibi, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Kanda ya Ziwa Mashariki. hawa ndio watakaotoa Mafunzo kwa viongozi 428 wa Kanda 5 za kwanza, nao wataenda kufundisha viongozi 428 wa ngazi ya majimbo nao watateremka nazi ya kata na kuwafundisha viongozi 9,704 wa ngazi ya Kata. Ukijumlisha wanafunzi viongozi hao, bado kutakuwa na viongozi 9,704 wa BAVICHA na 9,704 wa BAWACHA. Jumla takriban viongozi wapatao 30,000 ukijumlisha wote pamoja na wa nazi ya Taifa.
Chadema inafanya kazi kisayansi. Chadema haiandai viongozi wake kufundisha viongozi wake kununua shad a za kupitia kura, wall main za kuiba kura. Chadema inawafundisha na kuandaa viongozi waadilifu, wenye kujali na kujaa Tunu za kitaifa, na wenye main za kiuongozi za kisayansi na ya kisasa. Chadema ni Chama kinachojiaandaa seriously kushika doll, na hatuna cha kuficha. Mipango na mikakati yetu yote ikon hadharani, ndio maana tunatahadhatisha TISS isihangaike kununua taarifa zetu. Wane tutawape Kama hizi hazitoshi.
Kama unawake kuona M4C ya kisayansi subiri baada ya Juni/jJuly one moto wa M4C. Ninaomba wana JF kuepuka kupewa taarifa na watt wasiofanya utafiti, wanapenda kuongea kwa hisia kwa malengo yao ikiwa ni pamoja na upotoshaji, Propaganda isiyo na Tija. Kama kuna mtu anahitaji taarifa yeyote, usiogope pig simu, au iwapo simu haipokelewi kwa kuwa niko kwenye shughuli nyingine, nitumie SMS. Nitakujibu kikamilifu.
Asante kwa ufafanuzi dokta, Mungu akupe maisha marefu utukomboe watanzania.
cc: Makupa , Chilisosi, ZeMarcopolo , bungeni
Chama kinayumba sana saivi, hata bungeni si unaona wanavyotukana
Wakuu, sio siri tangu alipokamatwa Mkurugenzi wa usalama wa cdm maanadamano ya cdm kupitia kauli mbiu ya M4C ni kama yamefutika rasmi. Ninawashauri hawa jamaa watafute kauli mbiou nyingine ya kuweza kuwahadaa watanzania.
Kwani alieyemshtaki Lwakatare na rafiki yake Ludovick ni nani? na je, mshitaki huyo amehusisha vipi mashitaka hayo na chama? Njoo na evidence zinazonyesha kuwa aliyemshitaki Lwakatare amehusisha kesi hiyo na chama.
Nazani mkuu unawazungumzia lusinde na nkamia
Maswali ya msingi hayajajibiwa lakini umeridhika!!! Sasa sijui ni kipi kilichokuridhisha lakini nikikumbuka usemi usemao "baunsa hashibi, anatosheka tu" nakumbuka kuwa inawezekana wewe ni "baunsa" uliyeamua kutosheka tu ingawa hujashibishwa.
Makupa,
Usipofanya utafiti punde utaaibika. Muda mfupi tu uliopita katika ukumbi wa Morogoro Hotel, nimefungua Mafunzo ya Wakufunzi wa Wakufunzi 30. Kati Yao 20 wakitoka kwenye Kanda 4 zilizokwisha kuzinduliwa yaani Kanda ya Kaskazini, Kanda ya Ziwa Magharibi, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Kanda ya Ziwa Mashariki. hawa ndio watakaotoa Mafunzo kwa viongozi 428 wa Kanda 5 za kwanza, nao wataenda kufundisha viongozi 428 wa ngazi ya majimbo nao watateremka nazi ya kata na kuwafundisha viongozi 9,704 wa ngazi ya Kata. Ukijumlisha wanafunzi viongozi hao, bado kutakuwa na viongozi 9,704 wa BAVICHA na 9,704 wa BAWACHA. Jumla takriban viongozi wapatao 30,000 ukijumlisha wote pamoja na wa nazi ya Taifa.
Chadema inafanya kazi kisayansi. Chadema haiandai viongozi wake kufundisha viongozi wake kununua shad a za kupitia kura, wall main za kuiba kura. Chadema inawafundisha na kuandaa viongozi waadilifu, wenye kujali na kujaa Tunu za kitaifa, na wenye main za kiuongozi za kisayansi na ya kisasa. Chadema ni Chama kinachojiaandaa seriously kushika doll, na hatuna cha kuficha. Mipango na mikakati yetu yote ikon hadharani, ndio maana tunatahadhatisha TISS isihangaike kununua taarifa zetu. Wane tutawape Kama hizi hazitoshi.
Kama unawake kuona M4C ya kisayansi subiri baada ya Juni/jJuly one moto wa M4C. Ninaomba wana JF kuepuka kupewa taarifa na watt wasiofanya utafiti, wanapenda kuongea kwa hisia kwa malengo yao ikiwa ni pamoja na upotoshaji, Propaganda isiyo na Tija. Kama kuna mtu anahitaji taarifa yeyote, usiogope pig simu, au iwapo simu haipokelewi kwa kuwa niko kwenye shughuli nyingine, nitumie SMS. Nitakujibu kikamilifu.
Mmmm? unaota au uko macho?Wakuu, sio siri tangu alipokamatwa Mkurugenzi wa usalama wa cdm maanadamano ya cdm kupitia kauli mbiu ya M4C ni kama yamefutika rasmi. Ninawashauri hawa jamaa watafute kauli mbiou nyingine ya kuweza kuwahadaa watanzania.
Makupa,
Usipofanya utafiti punde utaaibika. Muda mfupi tu uliopita katika ukumbi wa Morogoro Hotel, nimefungua Mafunzo ya Wakufunzi wa Wakufunzi 30. Kati Yao 20 wakitoka kwenye Kanda 4 zilizokwisha kuzinduliwa yaani Kanda ya Kaskazini, Kanda ya Ziwa Magharibi, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Kanda ya Ziwa Mashariki. hawa ndio watakaotoa Mafunzo kwa viongozi 428 wa Kanda 5 za kwanza, nao wataenda kufundisha viongozi 428 wa ngazi ya majimbo nao watateremka nazi ya kata na kuwafundisha viongozi 9,704 wa ngazi ya Kata. Ukijumlisha wanafunzi viongozi hao, bado kutakuwa na viongozi 9,704 wa BAVICHA na 9,704 wa BAWACHA. Jumla takriban viongozi wapatao 30,000 ukijumlisha wote pamoja na wa nazi ya Taifa.
Chadema inafanya kazi kisayansi. Chadema haiandai viongozi wake kufundisha viongozi wake kununua shad a za kupitia kura, wall main za kuiba kura. Chadema inawafundisha na kuandaa viongozi waadilifu, wenye kujali na kujaa Tunu za kitaifa, na wenye main za kiuongozi za kisayansi na ya kisasa. Chadema ni Chama kinachojiaandaa seriously kushika doll, na hatuna cha kuficha. Mipango na mikakati yetu yote ikon hadharani, ndio maana tunatahadhatisha TISS isihangaike kununua taarifa zetu. Wane tutawape Kama hizi hazitoshi.
Kama unawake kuona M4C ya kisayansi subiri baada ya Juni/jJuly one moto wa M4C. Ninaomba wana JF kuepuka kupewa taarifa na watt wasiofanya utafiti, wanapenda kuongea kwa hisia kwa malengo yao ikiwa ni pamoja na upotoshaji, Propaganda isiyo na Tija. Kama kuna mtu anahitaji taarifa yeyote, usiogope pig simu, au iwapo simu haipokelewi kwa kuwa niko kwenye shughuli nyingine, nitumie SMS. Nitakujibu kikamilifu.
Swali gani labda moja tu "la msingi" ambalo halijajibiwa?Maswali ya msingi hayajajibiwa lakini umeridhika!!! Sasa sijui ni kipi kilichokuridhisha lakini nikikumbuka usemi usemao "baunsa hashibi, anatosheka tu" nakumbuka kuwa inawezekana wewe ni "baunsa" uliyeamua kutosheka tu ingawa hujashibishwa.