Nazani mkuu unawazungumzia lusinde na nkamiaUkitaka kujua short cut kula nauli, Chadema wamekula nauli SASA wanatembea kwa miguu
mbona mkali we nyumba ndogo ya nchemba nini?Acheni kukariri. Hebu taja tusi mmoja nchemba ametaja kwenye hotuba yake
Hii kimsingi kama ingekuwa kwenye nchi zinazozingatia vyema sheria, haki na utawala bora kama vile Czech republic basi Bwana Lwakatare angepaswa ajisafishe mwenyewe. Lakini hapa wanaomshataki tayari wanahusisha (linalodhaniwa kuwa) kosa lake na chama hivyo ni lazima chama kimlinde na kumtetea maana kusafishika kwake ni kusafishika kwa chama. Labda nikuulize pia, ni kwa nini unafikiri inabidi iwe kesi yake na si ya chama?
Chama kinayumba sana saivi, hata bungeni si unaona wanavyotukana
Wengi waliochagia hapa ni walewale wanafiki ambao mpango wao umekwama. Watanzania sio wajinga, wako tofauti na mnavyofikiri, wanaelewa mambo, hawadanganyiki. Shame on you mafisadi
Chama kinayumba sana saivi, hata bungeni si unaona wanavyotukana
Hii kimsingi kama ingekuwa kwenye nchi zinazozingatia vyema sheria, haki na utawala bora kama vile Czech republic basi Bwana Lwakatare angepaswa ajisafishe mwenyewe. Lakini hapa wanaomshataki tayari wanahusisha (linalodhaniwa kuwa) kosa lake na chama hivyo ni lazima chama kimlinde na kumtetea maana kusafishika kwake ni kusafishika kwa chama. Labda nikuulize pia, ni kwa nini unafikiri inabidi iwe kesi yake na si ya chama?
Chama kinayumba sana saivi, hata bungeni si unaona wanavyotukana
..aisee kumbe alichosema mbowe na slaa pale ubungo ni kweli bhana daah ! sasa naamini chadema ipo makini kuliko serikali ya ccm. bado magamba wanasubiri maandamano wakati sasa umezinduliwa mkakati mpyaaa wa kikanda na strategy mpyaa ambazo haziwezi kuwa inturupted na ccm wala polisi wala usalama.. Big up chadema, mimi na nyumba yangu tutawapigia kura na kampeni...Wakuu, sio siri tangu alipokamatwa Mkurugenzi wa usalama wa cdm maanadamano ya cdm kupitia kauli mbiu ya M4C ni kama yamefutika rasmi. Ninawashauri hawa jamaa watafute kauli mbiou nyingine ya kuweza kuwahadaa watanzania.
"Hiyo mibange mnayovuta ni stimu za kuranduka!kama siyo fani yako kwa kweli UTAUMBUKA"Sir.J Nature.
Mpaka sasa bado sijaelewa kwanini chadema wanaigeuza kesi binafsi ya Lwakatare na rafiki yake Ludovick kuwa kesi ya chama!!!
Nikilala na mke wako utanyamaza tu maadamu amejitakia sio...Kichwa chako kina takataka gani vile????Kiongozi,
Naomba nisaidie kuelewa hii kesi inakuwaje ya chama?
Wacha kwanza wajipange manake hilo kombora la Lwakatare ni zito.Wakuu, sio siri tangu alipokamatwa Mkurugenzi wa usalama wa cdm maanadamano ya cdm kupitia kauli mbiu ya M4C ni kama yamefutika rasmi. Ninawashauri hawa jamaa watafute kauli mbiou nyingine ya kuweza kuwahadaa watanzania.
Wakuu, sio siri tangu alipokamatwa Mkurugenzi wa usalama wa cdm maanadamano ya cdm kupitia kauli mbiu ya M4C ni kama yamefutika rasmi. Ninawashauri hawa jamaa watafute kauli mbiou nyingine ya kuweza kuwahadaa watanzania.
Pwani hamtaiweza nyie na manguo yenu ya mgambo
Ukitaka kujua short cut kula nauli, Chadema wamekula nauli SASA wanatembea kwa miguu