sifongo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,896
- 5,302
Nikweli mkuu CCM imelitoa taifa hili mbali,ila naifananisha CCM na bus lilitutoa dar kwenda mwanza,kabla ya kufika tulipokusudia gari likaharibika ukweli hatuna jinsi ila ni kushuka na kupanda gari lingine litufikishe tuendako, CCM kimechoka japo kinajitahidi kutaka kuonekana kina mudu safari lkn ukweli ni kuwa hakiwezi,hivyo abiria tumeamua kushuka na kuchukua usafiri mwingine,tunashukuru kilipotufikisha ila kuendelea safari na gari bovu hatuwezi......Watanzania bado wana matumaini nayo na wako tayari kukifia chama chao, kwani chama hiki kimetoa taifa hili mbali.
Wewe na wenzako wachache ndio wenye mawazo kuwa CCM ni chafu.
Jamani, kama mbinguni tu palipatikana na usaliti (bwana Ibilisi), sembuse CCM?