Lwakatare aitisha press conference makao makuu CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Watanzania bado wana matumaini nayo na wako tayari kukifia chama chao, kwani chama hiki kimetoa taifa hili mbali.

Wewe na wenzako wachache ndio wenye mawazo kuwa CCM ni chafu.

Jamani, kama mbinguni tu palipatikana na usaliti (bwana Ibilisi), sembuse CCM?
Nikweli mkuu CCM imelitoa taifa hili mbali,ila naifananisha CCM na bus lilitutoa dar kwenda mwanza,kabla ya kufika tulipokusudia gari likaharibika ukweli hatuna jinsi ila ni kushuka na kupanda gari lingine litufikishe tuendako, CCM kimechoka japo kinajitahidi kutaka kuonekana kina mudu safari lkn ukweli ni kuwa hakiwezi,hivyo abiria tumeamua kushuka na kuchukua usafiri mwingine,tunashukuru kilipotufikisha ila kuendelea safari na gari bovu hatuwezi......
 
mbona unaanza kujihami? wewe unajua anataka kuzumngumzia hilo? na kuna uongo juu ya hiyo muvi ambayo bosi wako alisema ana ushahidi nayo na kapewa na kiongozi wa cdm mbona mpaka leo hajamtaja huyo mtu? kwa hili hakika hamtoki maana mlishachafuka.
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom