Lwakatare aitisha press conference makao makuu CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Nilidhani umeanzisha uzi huu kuripoti yanayojiri kwenye hiyo press conference nikaingia mbio kumbe ndo wale wale wapumuliaji mashine siku CHADEMA ikifa tu na Lumumba wanasitisha ajira zenu.umewahi kuanzisha uzi huu makusudi kushusha thamani ya threads ambazo zingeanzishwa kuripoti habari hii kwa usahihi.umeanza kukanusha taarifa ambayo haipo maana haijatolewa,so huu ni uzushi untill proven otherwise.na hata Lwakatare akija na ishu hiyo hiyo,wewe umeshaanza kumruka boc wenu maana kaja hadi humu kuomba msamaha anatapatapa.au ndo mshamwacha peke yake manake hamkawii nyie!anyway,wenye akili tumekuelewa,haya nenda kwa boc mwambie tayari umemaliza kunya akuchambishe,stupid,mss!
 
CCM siyo ya Mwigulu pekee, kuhusisha taasisi kwenye suala kama hili si vyema, ndio maana nimetoa angalizo kwa bwana Lwakatare awe makini na wanasiasa uchwara.
Kama unataka tuitenge CCM na Mwigulu, mbona alipotamka kuwa kama kiongozi alishiriki maandalizi ya kutengeneza mkanda wa ugaidi, chama chake hakija mkemea? Hakikufanya hivyo kwa sababu ulikuwa mpango wa chama na Mwigulu aliusimamia kwa niaba ya chama.
 
...asamehewe kosa gani? hebu sema vizuri.

Sikukusudia kusema kuwa Ludo ametenda kosa, lah hasha. Ila hata hiyo hali ya wasiwasi na mashaka inayo wagumika wana-CHADEMA wengi kuwa amewasaliti, mnapaswa kumpokea na kurudisha mambo kama awali. Ndio Mungu atakavyo binadamu tuwe. Kama kweli mmeanza na Mungu na mnataka kumaliza na Mungu.
 
Yule kijana msaidizi wa Lwakatare aliyekuwa anaonyesha alama ya Chadema mahakamani naye atakuwepo?

Hilo litakuwa somo kwa vijana wa lumumba mnaodanganywa na kupumbazwa na buku 7 bila kujua kuwa mnatumiwa na anayewatumia hayuko hana hata chembe moja ya utu/ubinadamu. ccm na watawala wake wanachojua wao ni kutumia na sio kutumikia
 
Nilidhani umeanzisha uzi huu kuripoti yanayojiri kwenye hiyo press conference nikaingia mbio kumbe ndo wale wale wapumuliaji mashine siku CHADEMA ikifa tu na Lumumba wanasitisha ajira zenu.umewahi kuanzisha uzi huu makusudi kushusha thamani ya threads ambazo zingeanzishwa kuripoti habari hii kwa usahihi.umeanza kukanusha taarifa ambayo haipo maana haijatolewa,so huu ni uzushi untill proven otherwise.na hata Lwakatare akija na ishu hiyo hiyo,wewe umeshaanza kumruka boc wenu maana kaja hadi humu kuomba msamaha anatapatapa.au ndo mshamwacha peke yake manake hamkawii nyie!anyway,wenye akili tumekuelewa,haya nenda kwa boc mwambie tayari umemaliza kunya akuchambishe,stupid,mss!

Usijali mkuu, nina Intellijensia yangu pale makao makuu CHADEMA, kila kinacho jiri kitawekwa hapa, hilo lisikupe shaka. Ila dhumuni la huu uzi ni kumpa angalizo bwana Lwakatare aepuke vishawishi vya wanasiasa uchwara kuwa tuhuma hizi za ugaidi ziliandaliwa na CCM.
 
Akili ndogo kama Mungu alikuonjesha ukaondoka huvyo hivyo ukaacha kuchukua za kukutosha. Ona sasa papara zako zinaendelea. Pumba tupu.!
 
Wewe ni Popo!
Ndege si ndege,
Mnyama si mnyama!

Unataka kusema kuwa yeye Lwakatare ni bogozo kiasi kwamba hajui lipi la kuongea na lipi la kuacha, hadi awe spoon-fed?
Acha kuwanga bana!

Kwani unavyomuona Lwakatare kuna kitu mule,aliweza kukubali kurekodiwa atashindwa kuongea maneno aliyotumiwa kutoka Ujerumani,kama ametoka jana unatarajia ataongea nini zaidi ya yale yaliyo mahakamani labda ataongea aliyofanyiwa gerezani Segerea na kama ataongea basi atakuwa kamanda kweli kweli
 
Usijali mkuu, nina Intellijensia yangu pale makao makuu CHADEMA, kila kinacho jiri kitawekwa hapa, hilo lisikupe shaka. Ila dhumuni la huu uzi ni kumpa angalizo bwana Lwakatare aepuke vishawishi vya wanasiasa uchwara kuwa tuhuma hizi za ugaidi ziliandaliwa na CCM.
Kumbe ndio wasiwasi wenu, asante kwa info.
 
Kutoa angalizo huko CHADEMA kumbe unakua mbea?

Ndio maana CHADEMA hamko huru, mmebanwa midomo na viongozi wenu mpaka mnaona tulio huru kuongea tumekuwa wambea?

Jamani, CHADEMA ni sawa na 'gereza la fikra', njooni CCM mpate uhuru wa fikra.

Niko CCM lakini wanafiki kama wewe wanaobaki kuisifia hata inapokosea ndio wanaotusababisha kuwaponda na kuinyima kura. Kwa aliyefuatilia thread zako humu ataelewa nazungumza nini. Ushankupe unaoueneza humu unamfurahisha Nape na Mwigulu lakini mnaowapoteza ni wengi kuliko wanaowaunga mkono.

lakini nimetoa tahadhali kwake asije akahusisha suala la kesi yake na kulifanya kichama (kitaasisi), nadhani umenielewa?

lwakatare kaamua yeye kuongea wewe unaogopa nini? Kama jela kakaa yeye anajua machungu hawez kuja na story za kupikwa atatoa cha moyon.any way post yako haitasaidia kitu kwan kamanda kwak hatishiwi nyau,kumbuka alikuwa mgonjwa lakin mara zote akiwa na pingu alionyesha tabasam na kuwatia moyo wote waliofika kwenye kesi,naomba umsikilize, ila wana jf huyu mwenye post akijatoa nyingine kuhusu atakachosema lwak tumgwaye,kwan atakuwa mnafik.
 
Sikukusudia kusema kuwa Ludo ametenda kosa, lah hasha. Ila hata hiyo hali ya wasiwasi na mashaka inayo wagumika wana-CHADEMA wengi kuwa amewasaliti, mnapaswa kumpokea na kurudisha mambo kama awali. Ndio Mungu atakavyo binadamu tuwe. Kama kweli mmeanza na Mungu na mnataka kumaliza na Mungu.
...Unadhani CHADEMA kuna mwenye wasiwasi na mashaka? Kamuombe documents Marando halafu ndo utajua kama CHADEMA wana wasiwasi na mashaka - naona unaogopa kujifunga kukiri kuwa ana makosa - sema tu tukusaidie maana tunajua kutetea ushetani wa CCM si kazi ndogo hasa kwa mtu unayeonyesha kumjua Mungu japo kwa kiasi hicho kidogo.
 
Habari wana-JF?

Leo majira saa 4 asubuhi bwana Lwakatare ambae ni mkurugenzi wa ulinzi na usalama CHADEMA atakuwa na mazungumzo na waandishi wa habari, ajenda ikiwa kuhusiana na sakata zima la kesi yake.

My take;

Huyu bwana Lwakatare akumbuke hayuko huru, ametoka kwa dhamana tu, pia najua kwa sasa huko CHADEMA kuna shehena ya watu walio bobea kwa siasa za majitaka na siasa uchwara.

Aidha, kwa siasa zao hizo 'reja reja' watamshinikiza huyu bwana Lwakatare aichafue CCM kwa makusudi kabisa kwamba imehusika na kuunda tuhuma hizo.

Rai yangu kwa bwana Lwakatare, asikubali kwa namna yeyote kushinikizwa kuwa suala la kesi yake ni la kichama, kama minong'ono mingi ilivyo.

Hili lilitokea hata mahakamani alivyo achiwa kwa dhamana, kwani kuna vijana wa CHADEMA walisikika wakisema mipango ya CCM imeshindwa.

Lwakatare, be smart.

Gool Down! Povu la nini wakati haya kuhusu?

Kiongozi, yaonekana sifa za kuifanya CCM muinadi zimemalizika, eti?
 
Relax, pressure ya nini, ina maana umesahau kuwa kale kamovie mlichomtengenezea cha ugaidi kilitupiliwa mbali? Hivyo hapo ana haki ya kuuelezea ulimwengu huo uhuni nani aliufanya na kujisafisha.

Hapo kwenye nyekundu Mchaga utamjua tu
 
Unajipangia kuuona ufalme wa mbingu bila hukumu? Acha kusemea nafsi ya mtu.....kilaza mchanga ww
 
Habari wana-JF?

Leo majira saa 4 asubuhi bwana Lwakatare ambae ni mkurugenzi wa ulinzi na usalama CHADEMA atakuwa na mazungumzo na waandishi wa habari, ajenda ikiwa kuhusiana na sakata zima la kesi yake.

My take;

Huyu bwana Lwakatare akumbuke hayuko huru, ametoka kwa dhamana tu, pia najua kwa sasa huko CHADEMA kuna shehena ya watu walio bobea kwa siasa za majitaka na siasa uchwara.

Aidha, kwa siasa zao hizo 'reja reja' watamshinikiza huyu bwana Lwakatare aichafue CCM kwa makusudi kabisa kwamba imehusika na kuunda tuhuma hizo.

Rai yangu kwa bwana Lwakatare, asikubali kwa namna yeyote kushinikizwa kuwa suala la kesi yake ni la kichama, kama minong'ono mingi ilivyo.

Hili lilitokea hata mahakamani alivyo achiwa kwa dhamana, kwani kuna vijana wa CHADEMA walisikika wakisema mipango ya CCM imeshindwa.

Lwakatare, be smart.

acha kuweweseka, muahe aseme ya moyoni tuujue ukweli , hamchelewi kumuondolea uhai tukakosa kujua kilichotokea
 
Lwakatare anajua analokwenda kuongea, usimfundishe la kuongea ,kwani ukweli anao juu ya tuhuma zinazo mkabili
 
Watanzania bado wana matumaini nayo na wako tayari kukifia chama chao, kwani chama hiki kimetoa taifa hili mbali.

Wewe na wenzako wachache ndio wenye mawazo kuwa CCM ni chafu.

Jamani, kama mbinguni tu palipatikana na usaliti (bwana Ibilisi), sembuse CCM?

usiseme Watanzania, sema MAJANGILI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom