Lwakatare aitisha press conference makao makuu CHADEMA

Status
Not open for further replies.
lwakatare anataka kusema nini zaidi ya kujichanganya,

Wale washika dau wakubwa wa CHADEMA wanataka kumtumia kama mtaji ili chama chao kipate 'public sympathy'.

Watanzania sio wepesi namna hiyo kulubuniwa kwa mbinu hii.
 
Dah! mkuu, si wamemtelekeza mahabusu, hawa watu kwenye matamko yao utakuta wanasema "tumeanza na Mungu, tupo na Mungu, Tutamaliza na Mungu", sasa sijui ni Mungu gani asie samehe?

CHADEMA, mkumbukeni yule kijana, amekitumikia chama chenu jama.

Kumbukeni, msiache mbachao kwa msala upitao.
P, huyo Ludo kakitumikia chama cha magambaz na zaidi kamtumia Mwigulu Nchemba,
Mwambieni asimtelekeze, akamtoe, na kwa issue ya Kibanda kamsaidi maggid

Washauri wasimtose just ten million only?
 
Last edited by a moderator:
unanyege nyingi sana mkuu alafu unaenda kupiga chabo. Wanawake wengine bwana. Wewe post zako huwa za kuisifu CCM, Kumpamba Hawala yako Mwigulu (SAVIMBI) Kuwa anapendwa yani ukimpenda wewe basi kilamtu kampenda.
Sasa habari za chadema zinakuhusu nini leo.
HAMY-D (AMINA DAUDI) TAFUTA MTU AKUKUNE naona unawashwa kweli

Mkuu, nadhani wewe ndio wale vijana wa Mulugo wa 2012?

Hii ndio sababu hata mimi nataka Mulugo apishe, maana vijana mna haribika.

Kupata sifuri yako na kubebwa mpaka div 4 kunakupa jeuri ya kutukana watu?
 
Kamanda Lwakatare sema yote na ulimwengu ujue kilichojificha nyuma ya pazia. Shame on u Mwigulu Nchemba.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Usijifanye kumuonea Huruma Lwakatare au CHADEMA maana maneno mliyoyaandika wakati ule video iko u-tube hayajafutika!
Mwache anyee kambi akikosea vyombo vya usalama vipo!
Una wasi wasi kesi ya Lwakatare kugeuzwa kesi ya chama kama vile hujui kinachoendelea
Kwani Naibu katibu mkuu wako uliyempigia kura anasemeje awapo majukwaani?!
Hujamsikia akisema CHADEMA ni chama cha kuteka waandishi wa habari na kuwanyofoa kucha?!
Kesi ya Lwakatare ni kesi dhidi ya CHADEMA ndo maana hata wewe umejua hautoeleweka ukimtaja bila kuweka cheo chake...
Wenye fikra chochezi walishawashtukia zamaaaaaani!

HATUDANGANYIKI.
 
Mwanaume ukiwa mmbeya unachukiza sana.

Kutoa angalizo huko CHADEMA kumbe unakua mbea?

Ndio maana CHADEMA hamko huru, mmebanwa midomo na viongozi wenu mpaka mnaona tulio huru kuongea tumekuwa wambea?

Jamani, CHADEMA ni sawa na 'gereza la fikra', njooni CCM mpate uhuru wa fikra.
 
mkuu mbona unawashwa sana? Heading unasema aitisha, then kwenye content unatuambia ataitisha....

Si usubiri hiyo saa nne, kuliko kujifanya Shekh Yahaya?
Hatua hii ya kupewa dhamana hawakuiweka kwenye mipango yao!
Kwa yeye kuwa nje ya mahabusu kwa sasa ni pigo kwa mbunge wa mleta mada (a.k.a shahidi wa mbinguni)..
Anajifanya kuionea huruma CHADEMA na Lwakatare kwa sasa!
Natamani Lwakatare apasue jipu-Liwalo na liwe!
 
Haya kama yupo humu ndani atakuwa amekusoma...

Mkuu, Lwakatare nae atakuwa na ID yake fake humu (wenda), kwahiyo nilicho kifanya ni kumpa angalizo, awe makini na wana siasa uchwara, ni hilo tu.
 
Habari wana-JF?

Leo majira saa 4 asubuhi bwana Lwakatare ambae ni mkurugenzi wa ulinzi na usalama CHADEMA atakuwa na mazungumzo na waandishi wa habari, ajenda ikiwa kuhusiana na sakata zima la kesi yake.

My take;

Huyu bwana Lwakatare akumbuke hayuko huru, ametoka kwa dhamana tu, pia najua kwa sasa huko CHADEMA kuna shehena ya watu walio bobea kwa siasa za majitaka na siasa uchwara.

Aidha, kwa siasa zao hizo 'reja reja' watamshinikiza huyu bwana Lwakatare aichafue CCM kwa makusudi kabisa kwamba imehusika na kuunda tuhuma hizo.

Rai yangu kwa bwana Lwakatare, asikubali kwa namna yeyote kushinikizwa kuwa suala la kesi yake ni la kichama, kama minong'ono mingi ilivyo.

Hili lilitokea hata mahakamani alivyo achiwa kwa dhamana, kwani kuna vijana wa CHADEMA walisikika wakisema mipango ya CCM imeshindwa.

Lwakatare, be smart.

Mmeanza kujing'ata ng'ata. Ccm itakwepaje wakati mwigulu alijitangaza mwenyewe na akaahidi kutoa ushahidi?. Mwigulu sio ccm?, mziki mlioanzisha mtaucheza.
 
Wanajitekenya na kucheka weneyewe... Any way hivi majina ya wapiga kura ofisi ya Kata Elerai yashabandikwa? Nkajihakiki jpili nipige kura mie
 
P, huyo Ludo kakitumikia chama cha magambaz na zaidi kamtumia Mwigulu Nchemba,
Mwambieni asimtelekeze, akamtoe, na kwa issue ya Kibanda kamsaidi maggid

Washauri wasimtose just ten million only?

CHADEMA wabaguzi sana, taifa kwa ujumla hasa waheshimu utu wamesikitishwa kwa ubaguzi huu.

Leo CHADEMA ya kumsaliti Ludo? kwa hatia gani hasa aliyopatikana nayo?

Utu wa mtu uheshimiwe.
 
Last edited by a moderator:
Watanzania bado wana matumaini nayo na wako tayari kukifia chama chao, kwani chama hiki kimetoa taifa hili mbali.

Wewe na wenzako wachache ndio wenye mawazo kuwa CCM ni chafu.

Jamani, kama mbinguni tu palipatikana na usaliti (bwana Ibilisi), sembuse CCM?
...Kumbe hujui kuwa uchafu wa CCM ni pamoja na kutowashughulikia hao wasaliti? au wanajisafisha kwa kuwasamehe kama walivyowasamehe wale wezi wa EPA, kwa kujiuzuru kama alivyojiuzuru Lowasa na Luhanjo? mifano ipo mingi ya jinsi hao unaowaita wasaliti wanavyotamba tena wengine wanatufisadi na wanatudai mabilioni kama Rostam wa DOWANS
 
Hawa kina Hamy D ndo majobless wanaokula kodi zetu kwa njia ya mafungu yasiyo rasmi kutetea akina Savimbi Nchemba walioshindwa nchi kwa 50yrs..mwambie aende kujitaftia

Sio jobless huyu. Ana organization yake inaitwa PPPPPRRA. Hata Pasco anajua
 
Last edited by a moderator:
Dah! mkuu, si wamemtelekeza mahabusu, hawa watu kwenye matamko yao utakuta wanasema "tumeanza na Mungu, tupo na Mungu, Tutamaliza na Mungu", sasa sijui ni Mungu gani asie samehe?

CHADEMA, mkumbukeni yule kijana, amekitumikia chama chenu jama.

Kumbukeni, msiache mbachao kwa msala upitao.
...asamehewe kosa gani? hebu sema vizuri.
 
Mkuu, ukiwekwa kati na mtu kama Marando akakushinikiza kusema uongo ni rahisi sana kushawishika, nilikuwa nampa tu angalizo.
Marando kwa kutaja namba simu tu ccm walianza kutafutana! Mlisha yavulia nguo yaogeni!
 
Tangu lini ukawa msemaji wa CDM? mambo ya CDM yanakuuma nini wewe? Subirini mnyolewe, tena mkae mtulie kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom