kukukakara
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 496
- 164
Nooo! aliyeleta, aliyebandika, aliyetengeneza, hii video watabaki huru mbele ya sheria?
Vipi dhamana za vyeo ktk jamii. Inasikitisha sana.
Vipi dhamana za vyeo ktk jamii. Inasikitisha sana.
.Kuna watu humu ukiandika mazuri ya CHADEMA na ukaandika mabaya ya CCM, wanakuona ni wa kawaida kwa kuwa unaandika wanayoyapenda wao. Lakini siku utakapoandika mabaya ya CDM na kuyasifia mazuri ya CCM, hata kama yana ukweli, watu watakujia juu. Wanadhani ukiwa CHADEMA basi unatakiwa uwe mnafiki na kusifia kila kitu hata kile chenye kutishia mstakabali wa chama.
Ninajua wengi hivi sasa wanapenda mageuzi na wanayatafuta kwa hali na mali, kiasi cha kwamba wapo tayari kuona chadema inaingia madarakani despite mapungufu yake. Lakini mageuzi ya namna hii yatatuumiza. kama hatutaclear baadhi ya weakness zetu, basi tunaweza kuingia madarakani halafu tukafanya vibaya kuliko hata hao CCM. Jifunzeni kutoka kwa Fredrick Chiluba kule Zambia.
Ni lazima tujenge utamaduni wa kukosoana. Na ni lazima tutambue kwamba CHADEMA kinaongozwa na binadamu wenye tabia kama za wale wa CCM. Kunahitajika kuonyana na kukaripiana ili kurudishana kwenye mstari na kuweza kujitofautisha na CCM. Kama tutaamini kila wafanyacho chadema ni kizuri, na hata wakikosea tunatafuta namna ya kuyapaka mafuta makosa yao, basi tutakimaliza hiki chama yumkini hata ikulu kinaweza kisiingie. Tukosoane ili tujengane.
cc. Kdm255
Sikumaanisha kwamba CCM wanafanya mazuri mengi sana yanayostahili kusifiwa. Lakini pia haimaanishi kwamba hakuna siku waliyowahi kuja na wazo jema. Hata kuanzisha usafiri wa trein tu Dar es salaam lilikuwa ni wazo zuri linalohitaji pongezi, hata huo mpango wa Dart bado unatia moyo. Hata kama ni maadui zetu kisiasa, wakija na wazo lenye tija tuwapongeze. Nia yetu si kuwakosoa tu hata kwa mazuri, bali kuwasaidia wawatumikie vizuri watanzania.
listi ya watu ambao wangebidi wadondoke pamoja na Lwakatare ilikuwa ndefu sana, haikuwa rahisi lakini iliwabidi wafikie maamuzi hayo.
There are currently 1428 users browsing this thread. (248 members and 1180 guests)
chris lukosi, bungeni, ritz, marcopolo mko wapi, njooni huku muone, mwiteni na mwigulu
Siasa za Tanzania hizo.
Tutakoma, sasa ni kutekwa, kutobolewa macho na kuvutwa na kutolewa kucha kwa kwenda mbele. Kufutwa kwa mashtaka ua Ugaidi kutamfanya Lwakatare na Chadema waone kuwa kumbe kuteka watu na kutoa kucha zao ni vitendo vinavyokubaliwa chini ya sheria...this is a mockery to the law!!!
mbonaSijawahi kusikia chadema wameshindwa case yoyote ile, inamaana serikali ya CCM huwa hawajipangi kabla ya kuwafungulia mashtaka..?