Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?

Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?

mimi nyakageni namhurumia sana kumbe tumemu overdose bana,si unaona hata majibu yake.

Nyakegeni cannot challenge what I have posted here now he is to shy or too scared to admit that he now know about Mayahudi.

By the way according to swahili language conscience grammar [E.Ashton] rules on classes:

Wa- Watu (singular mtu, mchaga = Wachaga)
mi- miti (sing. Mti)
n- nyumba ( sing and plural)
ki- kisu (Visu)
ma- mawe (sing. Jiwe)
u- uji (singular amd plural)
pa- pale (singular and Plural)
ku-kuku (sing and plural)

singular word like Yahudi is no different than Baniani to be called Mabaniani so we call them Mayahudi, Kadiani - makadiani, kafiri - makafiri, mkristo- wakristo (not kiswahili word it is a borrowed word) but Nasara - Manasara [ Nazarene = Nazarenes]
 
Punjab Singh, stop drawing conclusion out of illogical fallacies

napenda nijibishane na wewe and not majini yako through CONTROL + V
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaa he came with a new argument of lokoles. Teh teh teh.

I bet he won't be able to refute the information that the jews are against Jesus unless he comes with his own new Talmud. Teh teh teh.
faby Elungata

Jews are not christians and are still waiting for messiah to come, haya yote yako katika Holy Bible vitabu vya Daniel, Ufunuo & Ezekiel
 
Last edited by a moderator:
Eti eeeh?

Kumbe mama wa yesu siyo maria?

Sasa mama yake yeesu ni nani??
Maria mtakatifu ni miongoni mwa wanawake wenye heshima.

Qur an imemuelezea mama yule kwa heshima ya hali ya juu.

Hata isa a.s mtoto wake ambae nyinyi mnamuita mungu..qur an imemuelezea kuwa ni nabii wa mungu mwenye hishma kubwa.

Na sio kuwa yeye ni mungu...wala mama yake mario siyo mama wa mungu.

Sijui mmeyapata wapi maneno hayo.

Tatizo hamna akili.

Hamuhoji wala hamtafakari.

Mbona hujakanusha maandiko yenu kuwa marehemu mwamedi atatoa bikra ya Mariamu (mama Wa Isa)?
 
Nyakegeni cannot challenge what I have posted here now he is to shy or too scared to admit that he now know about Mayahudi.

By the way according to swahili language conscience grammar [E.Ashton] rules on classes:

Wa- Watu (singular mtu, mchaga = Wachaga)
mi- miti (sing. Mti)
n- nyumba ( sing and plural)
ki- kisu (Visu)
ma- mawe (sing. Jiwe)
u- uji (singular amd plural)
pa- pale (singular and Plural)
ku-kuku (sing and plural)

singular word like Yahudi is no different than Baniani to be called Mabaniani so we call them Mayahudi, Kadiani - makadiani, kafiri - makafiri, mkristo- wakristo (not kiswahili word it is a borrowed word) but Nasara - Manasara [ Nazarene = Nazarenes]

Thank you.

Punjab singh...
 
Punjab Singh, stop drawing conclusion out of illogical fallacies

napenda nijibishane na wewe and not majini yako through CONTROL + V

The C+V I did here is an academic dialogue between two prominent Jewish Scholars, one a Judaism expert and the other is a Roman Catholic scholar, I amazed with your name calling these two spiritual guides to an so called envangelical born again Christian like you and you are calling them Majini of Control +V. I gave you the links now go to Dr. Freedman's blog and dispute with him because I did not write those things it them people of your own self styled Judeo-Christian cult.

Teh teh teh. I warned you Nyakageni read the letter to the end. I knew you will come back angry to yourself of being dupped all those years. So don't get angry with me at least I gave you an eye opener. Go back to Kakobe or Mzee wa Upako and claim back your sadaka under the Zionist Israel and American flagged podium.

Indeed as they said "Wajinga ndio waliwao"
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh......!!!!
Kuna kitu kinitwa IMANI. (maana yake ni kuamini na kuwa na hofu ya kile unachokiamini) ninacho kiona hapa dhahiri ni watu kutoa hoja zinazoambatana na IMANI (UDINI) kila mtu anajaribu kuzungumzia mgogoro katka namna ya KIIMANI. Ifahamike wazi popote penye IMANI ata kama ni ya uongo ama ya ukweli kuibadirisha ni zaidi ya vita... ebu kidogo kwa uelewa wangu kilichokua kikijadiliwa pale si kuhusu IMANI na ninan mwenye mamlaka na ile ardhi... mdahalo ulikua ukizungumzia HUMAN RIGHTS hasa kwa pande zote mbili ikizingatiwa waathirika zaidi. 2krud katka fact ni nan anaebisha kua ile si GENOCIDE (mauaji yenye lengo la kuangamiza kikundi cha watu fulani) nguvu inayo2miwa na israel ni kubwa na yenye lengo la kuiangamiza PALESTINA. na ikumbukwe wazi PALESTINA wana kila haki ya kutetea ardhi yao nani asietambua kua israel inatumia mabavu kutaka kuchukua UKANDA WA GAZA na kua katka himaya yake...?
Tafadhari ukiwa katka hoja jaribu kuweka IMANI pembeni hapo kutakua na majadiliano yenye kuhafikiana.
Ahsanteni
 
Well said it is Genocide and includding violation of all aspects of humanity.
 
Naomba maelezo kutoka kwa yeyote anaejua:
1. Je serikali ya palestina ilikuwa inaongozwa na kiongozi(rais, mfalme,sultani,waziri mkuu n.k) aliyeitwa nani (jina) hapo mnamo mwaka 1948 inaposemekana ndipo taifa la Israel lilipoundwa?
2. Hiyo palestina ilishawahi kutawaliwa kabla? Mkoloni aliitwa nani? (i.e. Nchi iliyoitawala palestina) Na ilipata uhuru mwaka gani?
3. Kwa kuwa inaaminika kuwa israel haikuwepo ila iliivamia ardhi ya palestina, je hawa wayahudi walizuka tu hapa duniani? Je hawana ardhi yao ya asili? Kama ipo ardhi yao ya asili, je ni wapi?
4. Kwenye vitabu vya dini, Biblia na Qur'an vyote vinatambua uwepo wa wana wa israel, je, kwa mujibu wa vitabu hivi, hawa wana waisrael walikuwa wanaishi wapi wakati huo? Hilo eneo/ nchi waliyokuwa wanaishi kipindi hicho, lipo hadi leo hii au lilitoweka halipo tena? Naomba nijibiwe kwanza hayo maswali japo ninayo mengine ya ziada.

Na wewe yakhe, hayo ndiyo masuali gani ya kuuliza? Eti mfalme wa palestina akiitwa nani, au kama ilikuwa koloni, kwani lazima sehemu iwe koloni ndiyo itambulike? Typical colonial mentality!!!!!

Soma historia ya Ulaya utaona wana israel walikuwa wanaishi wapi kabla ya kulazimishwa kuwepo hapo.

Haya basi wewe una asili ya kibantu na wabantu wanatokea Cameroon na kote huku wamehamia, tena miaka 300 iliyopita tu na wala siyo zamani kama israel, nenda basi ukadai eneo huko Cameroon ulikotokea.
 
Lwaitama is a real PhD, he is among few critical intellectual this mother land is blessed with.
 
The C+V I did here is an academic dialogue between two prominent Jewish Scholars, one a Judaism expert and the other is a Roman Catholic scholar, I amazed with your name calling these two spiritual guides to an so called envangelical born again Christian like you and you are calling them Majini of Control +V. I gave you the links now go to Dr. Freedman's blog and dispute with him because I did not write those things it them people of your own self styled Judeo-Christian cult.

Teh teh teh. I warned you Nyakageni read the letter to the end. I knew you will come back angry to yourself of being dupped all those years. So don't get angry with me at least I gave you an eye opener. Go back to Kakobe or Mzee wa Upako and claim back your sadaka under the Zionist Israel and American flagged podium.

Indeed as they said "Wajinga ndio waliwao"

Punjab Singh, you cant irritate me with your plagiarized content!

USE YOUR BRAINS
 
Last edited by a moderator:
Lweitama hata useme nini, Waizrael hawatawanyiki tena, watakaa hapohapo hata mfanye nini

Ezekel 37:21
21 Ukawaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitawatwaa wana wa Israeli toka kati ya mataifa walikokwenda, nami nitawakusanya pande zote, na kuwaleta katika nchi yao wenyewe;
22 nami nitawafanya kuwa taifa moja katika nchi hiyo, juu ya milima ya Israeli; na mfalme mmoja atakuwa mfalme wao wote; wala hawatakuwa tena mataifa mawili, wala hawatagawanyikana kuwa falme mbili tena, hata milele.

Swadakta!
 
Mkuu acha kukariri fungua ubongo wako sasa hivi israel ina hali mbaya sana kiuchumi, na imeamua kupunguza budget yake kutokana na kuyumba kwa uchumi , pamoja na kusaidiwa na marekani lakini hali ni mbaya fuatilia utajua.
Unamjua joan rivers, aliwatetea sana israel kwenye vita hii ya juzi, kwa kusema wapalestina wanastahili kuuliwa na israel. Hivi navyokwambia yupo mahututi hospitali, na wamarekani wengi walitoa comment za kumdhihaki baada ya kupata taarifa za kuumwa kwake.
Be wise tumia akili uskariri,mungu ni wa wote , hata israel as long as ni binaadamu, wanatakiwa wawe na ustaarabu na watende haki, otherwise watapata dhambi na laana kama mtu mwingine yoyote, dont be fooled by your skin colour, or race. Unajidharau mwenyewe.

Napenda kuongea na Mtu ambaye mkiwa mnaongelea jambo fulani basi ni hilo hilo na si kuchomekea jambo lisilohusiana na kilichoongelewa...

Wewe wasema nimekariri na nifungue ubongo? sasa Israel ikiwa katika hali mbaya ya kiuchumi ni kutokana na kulazimishwa Kuingia vitani kilazima.. na hiyo hali mbaya ya kiuchumi unayoifikiria wewe kwao si kama unavyolinganisha na kwenu... hesabu wao wanaweka wazi na inaeleweka.... ila mtu kutoa hoja za kijinga kama Rwaitama ni jinga sana lenyewe ni kuwashabikia Waislam ili wamuone yupo juu na mtenda Haki... katika vita kuna kuzungumzia pande zote ndipo utaona nani yupo sawa na nani hayupo sawa... nyie waislam mnailaumu Israel tu ila Waislam ndio wachokozi mkipigwa Mnaandamana mnaonewa na mkiachwa mnajisifia mmeshinda.... Israel ana uwezo wa kuendelea na Vita hata iwe mda mrefu... Fact kaitoa Netanyau... hakuna kukariri... waambie waarabu wenzio kuwa Israel yupo hali mbaya Kiuchumi watangaze Vita uone huo Uchumi wako unasema una hali mbaya... Vita hupiganwa kutokana na adui unayepigana naye... Iran yeye ni wa kupigwa hadi na Nuclear anyamaze kabisa kwani hajaonja machungu ya Israel.....

Unataka kumtetea Rwaitama mlevi mwenzio???

Kuumwa kwa mtu ni hali za kiafya za mtu na mtu kutofautiana na sio kwa sababu ya kushabikia Vita au watu wafe.. Hata mimi nilishabikia Wapalestina Wafe nadunda hapa.... na Maandshi niliandika humu....

Waambie Hamas waache kurusha marocket hapo hawatauwawa... Israel alipoanza kupeleka majeshi ardhini upya Hamas wakasalimu amri ule mkataba walioukataa mwanzoni huko Egypt wakaukubali mwishoni hii ni kuonesha ni wapumba.vu
 
Punjab Singh, you cant irritate me with your plagiarized content!

USE YOUR BRAINS

I used my brain and researched and yet you call it plagiarized content! By the way I dont speak and write bad English it was typo mistakes I am a person of age and I have bad eye sight Nyakageni.

1) Israel hates Africans (Check their stance during their alliance with Boer apartheid SA)
2) Most of the communist dogmas are from the Zionist Jews (againts the teachings of Christianity) check with your church pastor.
3) Israeli Zionist Jews they think they are god chosen people so they can do whatever they can and only them.has the right to live on earth not any other people or nation.
4) Isra Hell as most of the American Marines call them does not respect humanity and consider themselves above the law so superior to goy (Wazungu) and including other gentiles (Arabs and Blacks) that are inferior and subservient to the Jews.

Go ahead Mr. Self proclaimed black Jew. Bring forth a rebutal against what the two Prominet Jewish PHD Scholars discussion and stop whining like a baby.
Ritz, gombesugu, faby, Jumababu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom