Lwaitama, Makwaiya: Israel Commits Genocide?

Jews are not christians and are still waiting for messiah to come, haya yote yako katika Holy Bible vitabu vya Daniel, Ufunuo & Ezekiel

I did not say Jews are Christians, I said Jews are against Chritians, actually they hate Christianity in the same manner they hate Islam and other religions.

Yeah they are waiting for Messiah, which one? The one they mocked with hate, and 'crucified'? Nyakageni
 
Last edited by a moderator:
Mkuu whether ni mauaji ya kimbari, holocaust, genocide au mauaji ya halaiki, ukweli haupingiki kuwa mauaji yasiyo na sababu yamefanyika.
Ukiua mtu na kumtafutia terminology haibadilishi the fact kuwa ameua.

Hii vita kati ya Hamas na Israel has unproportionate bearings.

Wewe ji*ga kweli
 
Mi nashangaa sana,hakuna sehemu kwenye biblia imetamka kua ukisifia matendo ya israel kwa palestina utaenda kuona ufalme wa Mungu.so acheni utumwa wa akili,israel inatenda vyote viwili yani crime na genocide.ingieni youtube muone sio mnaleta ushabiki tu.Kaanani ni nchi ya ahadi lakini ilikua na watu so acheni ushabiki wa ovyo ovyo mkidhani kua mtaona ufalme wa Mungu kwa kufumbia macho uovu.
 
Wewe nawe acha kubwabwaja ovyo wewe na Lwaitama na Makwaiya wako unajifanya unajua HAKI wakati watu wengi hapahapa Tanzania hawapatiwi HAKI na wanadhurumiwa wala husemi kaguswa Mwarabu umeanza kubwabwaja ovyo ovyo tu,Kwa hiyo wewe umejifanya hakimu wa kuihukumu ISRAEL kuwa ni wauaji????Je??? ulisema nini wakati vijana watatu wa ki-yahudi walipotekwa na kuuliwa na HAMAS ulishangilia????Je ulisema nini wakati HAMAS inarusha maroketi ISRAEL kutokea kwenye nyumba za raia,misikiti shule na majengo ya UN???Je ulisema nini wakati HAMAS ilipowafanya raia kuwa HUMAN-SHIELD?????Ulichekelea????Je ulifanya nini wakati HAMAS walipokuwa wanajenga mahandaki(TURNEL)ya kutobokezea ndani ya ISRAEL ili kuwateka na kuwaua raia wa Israel????na JE umesema nini juu ya ISIS walioua maelfu ya wa-Iraq na wa-Syria??????au mwarabu akiuliwa na mwarabu mwenzie si haramu bali haramu Muyahudi kumuua Mwarabu?????

Siyo lwaitama tu hata jumuiya ya kimataifa ikiwemo UN imeishutumu israel
 
Vyuo vikuu vya kata, pia muislam yeyote hata awe na phd saba linapokuja suala la dini huwa wanaongea upuuzi, ni nadra sana mwislam kujadili kwa hoja.utasikia kuna mfumo kristo,n.k
 
Wewe nawe acha kubwabwaja ovyo wewe na Lwaitama na Makwaiya wako unajifanya unajua HAKI wakati watu wengi hapahapa Tanzania hawapatiwi HAKI na wanadhurumiwa wala husemi kaguswa Mwarabu umeanza kubwabwaja ovyo ovyo tu,Kwa hiyo wewe umejifanya hakimu wa kuihukumu ISRAEL kuwa ni wauaji????Je??? ulisema nini wakati vijana watatu wa ki-yahudi walipotekwa na kuuliwa na HAMAS ulishangilia????Je ulisema nini wakati HAMAS inarusha maroketi ISRAEL kutokea kwenye nyumba za raia,misikiti shule na majengo ya UN???Je ulisema nini wakati HAMAS ilipowafanya raia kuwa HUMAN-SHIELD?????Ulichekelea????Je ulifanya nini wakati HAMAS walipokuwa wanajenga mahandaki(TURNEL)ya kutobokezea ndani ya ISRAEL ili kuwateka na kuwaua raia wa Israel????na JE umesema nini juu ya ISIS walioua maelfu ya wa-Iraq na wa-Syria??????au mwarabu akiuliwa na mwarabu mwenzie si haramu bali haramu Muyahudi kumuua Mwarabu?????

mkuu Elochima,nashukuru kuona kuwa kuna mambo huyajui kati ya waisirael na wapalestina.mfano mzuri wa Gaza ni kama Tanzania tukiamua kuifungia Dar es salaam kwa ukuta mrefu sana halafu tukaweka milango michache(checkpoints) za kutokea ambazo kuna ulinzi mkali sana,upande wa bahari tukaweka patrol kali sana kiasi kwamba hakuna hata meli itaingia na hata wavuvi hawaruhusiwi kwenda kuvua bahari kuu.Gaza ni gereza,sasa wakazi wa gaza wataishije?Wapiganaji wa palestina sio wanajeshi kama huku,ni wakaazi wa humohumo mjini na hakuna eneo special kwa wapiganaji,hawana acces ya kupata silaha ili kupigania ukombozi wao.lazima wajenge tunnel ili watoke nje kama Misri na Israel maana wanadai kuwa huko ndiko kwenye mashamba yao na hata vyanzo vya maji.lakini pia kutokana na uadui uliopo wanatumia kama njia za kushambulia waisrael maana majeshi ya israel huwa yanaingia palestina na kukamata watu,mpalestina hata akitukanana na muisrael usiku wanajeshi wanakuja kukamata watu na kuondoka nao,wengine huachiwa lakini wengine hawarudi.kuhusu habari ya wale vijana 3 wa Israel,ni wapalestina wanalipa kisasi kwa vijana wao wanaopotea na kuawa.HIVI WEWE NIKIJA NYUMBANI KWAKO NIKAKWAMBIA TOKA NIKAE MAANA MUNGU AMENIPA AHADI HAPO KWENU NI KWANGU,UTANIACHIA NIKAE?HALAFU KILA KUKICHA NACHUKUA NA NYUMBA ZA NDUGU ZAKO HAPO JIRANI KWENU.sema hapo mkuu utaenda wapi wewe na nduguzo.NASHAURI KUWA YAPO MAMBO YA KIIMANI TUMUACHIE MUNGU,ILA TUNAYOYAWEZA TUYAKEMEE AU TUYACHUKIE.BIBLIA INASEMA USIUE.
 
Kwa wale wanaodhani wakiitetea Israeli kwa kila inachofanya. mlale,mkae,msimame na hata mlie milele lakini mjue kuwa waisrael sio wakristo na hawautaki ukristo.Na Yesu anasema hakuna mtu atakaeuona ufalme wa Baba yake bila kupitia kwake.so kama sisi hatuwezi kukemea uovu tuwaachie wanaoweza kukemea waseme huenda ndio wema zaidi mbele za Mungu.j2 njema!
 
Maneno hayo ndiyo wanavyosema HAMAS kwa maana hiyo wewe umekopi na unakuja kutupestia hapa hayo unayoyasema hata mtoto mdogo hayamwingii kichwani hayo ni maneno ya kusimliwa na watu wasiyojua kitu,Umesema Biblia inasema usiue hii ni kwa Wayahudi tu ila kwa waarabu waue watakavyo?????????

Hizo ni porojo rahisi msifikiri kuwa sisi wakristo hatujui kuwa wayahudi wengi si wakristo hilo tunajua sana tena vizuri kuliko ninyi mnavyojua,hivyo tambueni kuwa hatuwezi kuwachukia watu kwa sababu wao si wakristo na kuwa hawautaki ukristo wetu,hivyo msitake kupandikiza chuki kwa sababu ya dini tu.

I used my brain and researched and yet you call it plagiarized content! By the way I dont speak and write bad English it was typo mistakes I am a person of age and I have bad eye sight Nyakageni.

1) Israel hates Africans (Check their stance during their alliance with Boer apartheid SA)
2) Most of the communist dogmas are from the Zionist Jews (againts the teachings of Christianity) check with your church pastor.
3) Israeli Zionist Jews they think they are god chosen people so they can do whatever they can and only them.has the right to live on earth not any other people or nation.
4) Isra Hell as most of the American Marines call them does not respect humanity and consider themselves above the law so superior to goy (Wazungu) and including other gentiles (Arabs and Blacks) that are inferior and subservient to the Jews.

Go ahead Mr. Self proclaimed black Jew. Bring forth a rebutal against what the two Prominet Jewish PHD Scholars discussion and stop whining like a baby.
Ritz, gombesugu, faby, Jumababu
Mbona na ww ni mhaya na unajiona kabila lako ni bora kuliko mengine yote tz
 
Is that your rebutal of the truth that hurts you? Teh teh teh. Go ahead bring the rebutal on the points I gave you about the jews!

Now click here and listen to this white guy what he says about my black brothers and sister and how they pride themselve. I bet he doesnt say anything bad about the Sikhs eapecially Sikhs of Bongo, bcz I am angry of what he says and how arrogant he is and since I have African blood it makes me more angry that Jomba zangu natukana yeye sikia!

https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=3938555798878&id=1729396787&_rdr
 
Maneno hayo ndiyo wanavyosema HAMAS kwa maana hiyo wewe umekopi na unakuja kutupestia hapa hayo unayoyasema hata mtoto mdogo hayamwingii kichwani hayo ni maneno ya kusimliwa na watu wasiyojua kitu,Umesema Biblia inasema usiue hii ni kwa Wayahudi tu ila kwa waarabu waue watakavyo?????????

mkuu fatilia utagundua kilicho katikati ya ugomvi wao,kwasasa tutabishana tu.soma historia yao,kisha ingia youtube uone video nyingi sana.
 
Hizo ni porojo rahisi msifikiri kuwa sisi wakristo hatujui kuwa wayahudi wengi si wakristo hilo tunajua sana tena vizuri kuliko ninyi mnavyojua,hivyo tambueni kuwa hatuwezi kuwachukia watu kwa sababu wao si wakristo na kuwa hawautaki ukristo wetu,hivyo msitake kupandikiza chuki kwa sababu ya dini tu.

haupo tayari kujifunza.
 
mkuu fatilia utagundua kilicho katikati ya ugomvi wao,kwasasa tutabishana tu.soma historia yao,kisha ingia youtube uone video nyingi sana.

Wewe ndo unatakiwa kuisoma na kuelewa vizuri na kujua vizuri beyond 1967 palestina ilikuwepo???na nani alikuwa Rais wa kwanza na sarafu yao ilikuwa inaitwaje na imepotea-poteaje?? Na uniambie hiyo palestina unayoisema ilikuwa inapakana na nchi zipi???
 
Back
Top Bottom