Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,044
- 5,114
sasa mkuu huoni kuwa umejiunga na hao wa 666?.
Hujui kuwa kina Rothchild ndo wazee wa new world order,dunia moja,serikali moja,dini moja na kuwa ndo hawahawa wameanzisha taifa la israel.
Kwamaana ingine wao ndo walijipa kazi ya masiha ya kulisimamisha taifa la israel.je wajua hata kiwanja cha UN pale manhatan alikitoa mmojawao wa hawa watu.unadhani ni kwanini kuna UN RESOLUTION nyingi against israel kuliko nchi zote za dunia combined lakini huwa hazifanyiwi kazi.?
Si ndo hawa yesu alidai kuwa ni wa sinagogi la shetani?
Na inasemwa hata mpinga kristo atakua myahudi?.
Kwanini sasa uwe upande wa hawa watu?
unachanganya alama ya shetani katika paji la uso na NEW WORLD ORDER