Lutaaya Mume wa Zari apigwa Knockout

Lutaaya Mume wa Zari apigwa Knockout

Shakib keshanyonywa nguvu zote na boss lady.
Kwani mali za Aivan zimeisha? Akae tu ale.
Anataka kuonesha dunia kuwa viwanja vyote anaweza kushinda vita 😃 kwa šŸ›Œ pamoja na 🄊
 
Lengo la jamaa lilikuwa ni kumpa presha Zari tu 😃 šŸ˜€ šŸ˜„ 😁 Mapigo ya Mbio yalikuwa yanaenda moyo 😃
 
Comment section kwa hisani ya wadau 😃 šŸ˜€ šŸ˜„
Screenshot_20250831_152828_Lite.jpg


Au sio?
Screenshot_20250831_152753_Lite.jpg


Ila walimwengu
Screenshot_20250831_152702_Lite.jpg
 
Kwa umalaya wa zari zeboss

anaweza hamia olewa Kwa aliyeshinda ngumi
 
Back
Top Bottom