Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Nitoe maombi kwa Mheshimiwa HKigwangalla kwa vile wewe ni member humu hebu mfungulie Bw Lusinde hii thread asome au akiona uvivu kusoma (kama ilivyo kawaida kwa waliokosa shule) basi msomee ili ajue watu wanamchukuliaje yeye binafsi na kauli zake.
Wakati mwingine tunakosea sana kwa kuwalaumu watu kama Lusinde kumbe hawajitambui na hawapati fursa ya kujua watu wanawachukulia vipi.
Wakati mwingine tunakosea sana kwa kuwalaumu watu kama Lusinde kumbe hawajitambui na hawapati fursa ya kujua watu wanawachukulia vipi.
Last edited by a moderator: