Lusinde kaongea vizuri sana. Leo wabunge wa UKAWA wameipata fresh
.!. Naona Unamsifia Bwana Wako
Lusinde kaongea vizuri sana. Leo wabunge wa UKAWA wameipata fresh
Lusinde amesema makinda anapwaya kwa kuwa sasa hivi halindi maslahi ya ccm, anafuata pressure ya UKAWA, na kwa kufanya hivo CCM inaumizwa kwa kuonekana hamna wanalolifanya.
Ujumbe wake katika kuchangia mada ya escrow ulikuwa unamlenga zitto au ulikuwa unalenga kuwaokoa watuhumiwa wa escrow?Pro-Chadema wengi uwa wanafiki sana hawajui wanachotaka wala wanachokipigania.
Juzi walikuwa wanaungana na Lusinde kuhusu ushahidi wake kuwa Zitto Kabwe aliongwa milioni 10 na PAP.
Tukaambiwa kuwa anafuatiliwa na TAKURU, leo tena pro-Chadema mnapingana na Lusinde.
Hujakosea, jamaa hatoshi kabisa​Lusinde kibajaji muimba taarabu
Ana miezi 9 tu imebaki ya kupayukapayuka pale mjengoni
Ata imagine vp sasa wakati ndio Mumewe Mkuu...
Unawaza kuolewa tu kila dakika!
hili hlijui Lusinde umemena jema.Jembe la CCM. Hivi kama Tundu Lissu asingeng'ang'ania kanuni kufuata ni wapi huyo Lusinde angepata dk. 10 za kuongea utumbo.
elimu ina umuhim sana katika maisha na maendeleo ya jamii kwa ujumla,mtu yeyote anayedharau elimu anachangia dhambi katika jamii.ignorant &poverty are two compatible sins!!!!mbunge wa mtela wa mtela ni zao la watu waliokosa elimu kama alivyojishuhudia mwenyewe na michango yake bungeni!!.he's unknowngly advertise his ignorant to public in parliament..!!amegeuka kua comedian na mchekeshaji wa wabunge wenzake bungeni bila kujua.ni vyema akatumia hata uelewa wa kuzaliwa tu kujenga hoja badala ya kua mchekeshaji wa bunge,anawanyima fursa wapiga kura wake katka kuwawakilisha bungeni!!!!tafadhali usiwadhalilishe wapiga kura wako!!!