Lusinde: Kiti cha spika kinapwaya

Lusinde: Kiti cha spika kinapwaya

elimu ina umuhim sana katika maisha na maendeleo ya jamii kwa ujumla,mtu yeyote anayedharau elimu anachangia dhambi katika jamii.ignorant &poverty are two compatible sins!!!!mbunge wa mtela ni zao la watu waliokosa elimu kama alivyojishuhudia mwenyewe na michango yake bungeni!!.he's unknowngly advertise his ignorant to public in parliament..!!amegeuka kua comedian na mchekeshaji wa wabunge wenzake bungeni bila kujua.ni vyema akatumia hata uelewa wa kuzaliwa tu kujenga hoja badala ya kua mchekeshaji wa bunge,anawanyima fursa wapiga kura wake katka kuwawakilisha bungeni!!!!tafadhali usiwadhalilishe wapiga kura wako!!!

kweli kabisa mkuu huyu jamaa mie natamani ningekuwa hata mshauri wake tu maana hajui atendalo yy anavyoona wabunge wenzie wanavyocheka anadhani ameongea point kumbe wao wanamdhihaki jamaa hana kitu kichwani sidhani kama wapiga kura wake watamrudisha bungeni hamna kitu kabisa.
 
Kuna sehemu tulikua tunaangalia Bunge, alivyosimama tu Lusinde kila mtu akatahamaki na kumpa Jina analolijua Kibajaji, Lusinde, Kichaa kasimama, mropokaji huyo, mzeee wa matusi.

Nikagundua Lusinde anaaumaarufu wa matusi bungeni
 
Mkuu yule ndio msomi wa juu pale mtera.... My foot hii nchi inaongozwa na vilaza wa kila aina
 
Nilikuwa nakana kabisa kuwa kuna umhimu wa Mbunge kuwa na degre,LUSINDE kwa pumba zake kanidhihirishia kuwa shule ni ya umhimu,leo hii lusinde katudhihirishia wana mtera kuwa tusirudie kuchagua mchunga ng'ombe na mnywa pombe isiyo na na kipimo cha tbs tena
 
kuna haja ya wabunge kupimwa hali zao za ubongo,lusinde ana chronic insanity alitoroka njiani akipelekwa mirembe akaja bungeni,mengi tutayashuhudia
 
Na yule alomwambie mwenzie mtoto sio rizk akili zake zipo sawa au??
 
Teh teh mh.lusinde!! anawaangusha wabunge wenzake wote wenye elimu ya la nne pale bungeni na sisi wana mtera
 
Yule alifaa kuwa kwenye kundi la "FUTUHI" la star tv na kamwe si kuwa mwakilishi wa wananchi.

Namshauri akikosa ubunge,aombe kujiunga kwenye hilo kundi maana ndio kipaji chake.
 
Baadhi Wana jamii forums bure kabisa,Lusinde alionekana msomi na mwenye akili pindi alipotoa nyaraka zake za kimbulula zilizokuwa zikimchafua mbunge mzalendo wakweli,(a man who let his actions speak loudly instead of his voice) muheshimiwa ZITTO ZUBERY KABWE.Ikiletwa habari yakupikwa na vilaza inayomchafua ZITTO bac chupi zinawabana,povu linawatoka.SASA KWELI NIMEAMINI KAMWE MUNGU HAMFICHI MNAFIKI. Leo yametimia.
elimu ina umuhim sana katika maisha na maendeleo ya jamii kwa ujumla,mtu yeyote anayedharau elimu anachangia dhambi katika jamii.ignorant &poverty are two compatible sins!!!!mbunge wa mtela ni zao la watu waliokosa elimu kama alivyojishuhudia mwenyewe na michango yake bungeni!!.he's unknowngly advertise his ignorant to public in parliament..!!amegeuka kua comedian na mchekeshaji wa wabunge wenzake bungeni bila kujua.ni vyema akatumia hata uelewa wa kuzaliwa tu kujenga hoja badala ya kua mchekeshaji wa bunge,anawanyima fursa wapiga kura wake katka kuwawakilisha bungeni!!!!tafadhali usiwadhalilishe wapiga kura wako!!!
 
Lusinde ni aina ya wabunge wote wa ccm walivyo.

Wenye ilo jina wanadhalilika sana.

Huyo eti ndio mbunge wa CCM wanayeona ana hoja hasa pale serikali inapokabiliwa na mambo mazito. Yeye kwa vile hana uelewa mkuu anadhani anapoachiwa azungumze yeye ni kwa vile anaonekana kuwa ana weza kujibu hoja kumbe ni kwa vile wabunge mahiri na wenye akili timamu hawawezi kukubali kutetea ujinga.
Kwa ujinga wake anasakiziwa na hajitambui kuwa anatoswa, chezea ccm wewe! Kwa kweli Elimu ni kitu muhimu kweli kama huna huwezi jitambua. Hii ni aibu kwa Wananchi wa Mtera na Dodoma nzima kuwa na mwakilishi wa aina hiyo.
 
Kama ningekuwa utawala wa kifalme mimi ningependa kukipoteza kabisa kizazi chake kwani nahisi ni kizazi cha ajabu sana hasa kwa mtu kama yule kuaa mjinga kiasi kile hapana
 
Kilichopwaya ni kiti cha Lusinde! Ndiyo maana na kujikomba kwake kote, hata JK ameona kwamba hamfai katika Baraza lake dhaifu la mawaziri.
 
Huyo eti ndio mbunge wa CCM wanayeona ana hoja hasa pale serikali inapokabiliwa na mambo mazito. Yeye kwa vile hana uelewa mkuu anadhani anapoachiwa azungumze yeye ni kwa vile anaonekana kuwa ana weza kujibu hoja kumbe ni kwa vile wabunge mahiri na wenye akili timamu hawawezi kukubali kutetea ujinga.
Kwa ujinga wake anasakiziwa na hajitambui kuwa anatoswa, chezea ccm wewe! Kwa kweli Elimu ni kitu muhimu kweli kama huna huwezi jitambua. Hii ni aibu kwa Wananchi wa Mtera na Dodoma nzima kuwa na mwakilishi wa aina hiyo.
hapo ni propaganda tu
 
Akili za lusinde hazina tofauti na za polisi wa Tz:-Bangi na viroba.
 
Back
Top Bottom