Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,759
- 29,320
Sorry but ndio uhalisia tunao ishi. Na hii haijaanza leo. Imeanza toka zamani sana.Kweli Watanzania tutakuwa tumerogwa.Hii ni dharau sana kwa wananchi wenye vyama na wasio na vyama.Anachoongea ni kweli kabisa.Huku Mbeya sijaona mradi mpya wowote wa maana toka Jk ametoka madarakani.Hivi maprofesa na maPhD ya ccm kweli wanakubaliana na uhuni kama huu.Kweli ndo imekuwa hoja ya kupigia kampeni hii.Kweli Watanzania hatuna haya.Tunajiamiani kupitiliza aisee.
Until wanatanzania watakapo amka kutoka usingizini ccm wataendelea kutudharau zaid na zaid