Lusinde adai Spika anaelekezwa na chama kuwatoa wabunge wa upinzani Bungeni

Kweli Watanzania tutakuwa tumerogwa.Hii ni dharau sana kwa wananchi wenye vyama na wasio na vyama.Anachoongea ni kweli kabisa.Huku Mbeya sijaona mradi mpya wowote wa maana toka Jk ametoka madarakani.Hivi maprofesa na maPhD ya ccm kweli wanakubaliana na uhuni kama huu.Kweli ndo imekuwa hoja ya kupigia kampeni hii.Kweli Watanzania hatuna haya.Tunajiamiani kupitiliza aisee.
Sorry but ndio uhalisia tunao ishi. Na hii haijaanza leo. Imeanza toka zamani sana.

Until wanatanzania watakapo amka kutoka usingizini ccm wataendelea kutudharau zaid na zaid
 
Halafu hapo anazungumza mbele ya mkutano wa hadhara.Hawa jamaa sijui wanajiamini nini hasa yani.Halafu wamama utakuta wanapiga vigelegele na makofi kwa wingi.
Na pumba aliyoongea utakuwa kuna wa tz wanapiga vigegele.. unaweza inamisha kichwa chini ukavunjika moyo kwakweli.
 
Kama mbunge wa jimbo lako ameikataa bajeti unapewaje maendeleo ?Unapewa maendeleo kwa bajeti ipi?
Anayepewa maendeleo ni mbunge au watanzania waliopo jimboni?
Sheria gani inaruhusu kuwa kisa mbunge kakataa bajeti ndio jimboni wananchi wakose huduma?
 
Kijana Lusinde ameeleza kuwa chama Cha Mapinduzi kimekuwa kikizuia wananchi wa maeneo yaliyowachagua wapinzani kupelekewa miradi ya maendeleo kwa lengo la kuwafanya wananchi wakasirike na kuacha kuwachagua viongozi wa upinzani. Ameyasema hayo kwenye kampeni za Ubunge ukonga na kuongeza kuwa katika majimbo ya wapinzani wapo Watanzania lakini wanapaswa kujutia maamuzi na ya kuchagua upinzani na uchaguzi mwingine wachague CCM.

Ameendelea kusema kuwa wao ndani ya chama ukaa kwenye vikao na kusikiliza hoja za mawaziri na pale inapoletwa hoja ya kuwapelekea maendeleo wananchi waliokatika majimbo ya upinzani waziri husika uelekezwa kuhamishia miradi hiyo kwa majimbo ya chama tawala.

Kuhusu wabunge wa upinzania kuchachama Bungeni, amesema kuwa chama utoa maelekezo kwa Spika kwamba Mbunge yeyote wa upinzani anayebainika kujenga hoja na kupingana na matakwa ya chama tawala lazima atolewe ndani ya Bunge.

Swali langu kwa uongozi wa Bunge, kauli hizi kwao hawaoni Kama zinaondoa kabisa tafsiri ya Bunge na kubakia kuwa chombo au taasisi ya chama Tawala?Ni wakati gani muhimili huu unakuwa independent kama umekuwa ukiingiliwa na kufanya maamuzi kwa matakwa ya watu wachache ambao kwao chama ndio kipaombele na siyo Watanzania?

Haya yanatamkwa hadharani kwa sababu viongozi wa muhimili huu wameshindwa kabisa kutenganisha Bunge na itikadi zao za vyama na nilitegemea suala kama la Lusinde likemewe na watu wote wakiwemo viongozi wa Bunge lakini Hadi Sasa kimya.

Ngoma ikivuma Sana inakaribia kupasuka, CCM inaona ufahari kwa haya yanayotokea lakini kisiasa wanajichimbia kaburi maana haki ikipokonywa kwa wananchi itapokonywa pia kwa viongozi wa siasa na hivyo wanaoishi Kama malaika leo kesho wataishi kwa kusaga meno. It's just a matter of time and if you don't believe ask Sumaye, Lowasa, Mwigulu, Nape, Mrema, Marando, Mwandosya, Mwapachu, Msalimie seif etc, Waliamini kuhusu CCM lakini baadaye CCM iliwakataa na waliporudi kwa wananchi wanaumizwa na mfumo walioutengeza wao.
Mbona mwenyekiti wao alikwishasema mkichagua upinzani hamtapata pesa za maendeleo.
 
Kama hayo maneno ni ya kweli,basi Muhimili wa Bunge umedhalilishwa kwa siri hii kufichuliwa na Lusinde.
Ni aibu kubwa kwa katiba ya nchi kuvunjwa na watu waliopewa dhamana ya kuilinda na kuitetea.
 
Kama mbunge wa jimbo lako ameikataa bajeti unapewaje maendeleo ?Unapewa maendeleo kwa bajeti ipi?
Unataka Kusema budget iliyoandaliwa na ccm ni kama biblia au msahafu? Kwamba hata kama inamapungufu lazima uiunge mkono hivyo hivyo na usipofanya hivyo wananchi unaowawikilisha ndo imekula kwao? Hivi nyie mashabiki wa siasa nyepesi na wanasiasa uchwara mnajua kweli hata kazi ya mbunge?
 
kwa mantiki hiyo jimbo la mtera sasa lina maendeleo makubwa kwa kuwa wanapelekewa miradi na serikali halafu jimbo la Arusha liko hoi kiuchumi kwa sababu mbunge wake ni upinzani ?
 
Kweli Watanzania tutakuwa tumerogwa.Hii ni dharau sana kwa wananchi wenye vyama na wasio na vyama.Anachoongea ni kweli kabisa.Huku Mbeya sijaona mradi mpya wowote wa maana toka Jk ametoka madarakani.Hivi maprofesa na maPhD ya ccm kweli wanakubaliana na uhuni kama huu.Kweli ndo imekuwa hoja ya kupigia kampeni hii.Kweli Watanzania hatuna haya.Tunajiamiani kupitiliza aisee.
Kwa dharau hii ingekuwa nchi nyingine pasingekalika!
 
Tatzo tulilo nalo Watz ni unafiki,uoga, ujinga, umbumbumbu na uzezeta wa kiwango cha Lami...!!.
Ndugu zetu wa Uganda au Kenya huwa wako tofauti sana na Wanajitambua. Pale inapotokea Serikali kuwafanyia au kumfanyia mmojawao mambo ya kihuni huwa wanachukua maamuzi ya kupinga ujinga na upuuzi!!

Ukija Tanzania ni vichekesho. Tundu Lissu alifanyiwa unyama na udikteta uliopotiliza lakini cha ajabu mpaka leo Watz wamekaa kimya kama makondoo na leo hii ni mwaka 1 huku TL anaendelea kuuguza majeraha nchini Ubelgiji kwa gharama zake na misaada binafsi na Watz kimyaaaaa!!!Hii ni aibu.
.
Uganda Bobi Wine na Wabunge wengine wa Upinzani walifanyiwa unyama kama unaofanyika hapa Tanzania. Lakini RECTION yake. misimamo na kupaaza sauti kwa Waganda kuiambia Dunia kilichotokea na leo hii Bobi Wine yuko USA kwa matibabu kwa gharama za Serikali. Tayari Bobi Wine ameshaongea na media za Ughaibuni na dunia yote imejua kile M-7 anawafanyia Waganda na hatua zimeanza kuchukua na Bunge la EU.
Umetumia lugha kali na kuzungumza kana kwamba wewe si mtanzania mwenzetu. Hata hivyo ulichozungumza ni ukweli mtupu wala sina haja ya kuurudia.
 
Kijana Lusinde ameeleza kuwa chama Cha Mapinduzi kimekuwa kikizuia wananchi wa maeneo yaliyowachagua wapinzani kupelekewa miradi ya maendeleo kwa lengo la kuwafanya wananchi wakasirike na kuacha kuwachagua viongozi wa upinzani. Ameyasema hayo kwenye kampeni za Ubunge ukonga na kuongeza kuwa katika majimbo ya wapinzani wapo Watanzania lakini wanapaswa kujutia maamuzi na ya kuchagua upinzani na uchaguzi mwingine wachague CCM.

Ameendelea kusema kuwa wao ndani ya chama ukaa kwenye vikao na kusikiliza hoja za mawaziri na pale inapoletwa hoja ya kuwapelekea maendeleo wananchi waliokatika majimbo ya upinzani waziri husika uelekezwa kuhamishia miradi hiyo kwa majimbo ya chama tawala.

Kuhusu wabunge wa upinzania kuchachama Bungeni, amesema kuwa chama utoa maelekezo kwa Spika kwamba Mbunge yeyote wa upinzani anayebainika kujenga hoja na kupingana na matakwa ya chama tawala lazima atolewe ndani ya Bunge.

Swali langu kwa uongozi wa Bunge, kauli hizi kwao hawaoni Kama zinaondoa kabisa tafsiri ya Bunge na kubakia kuwa chombo au taasisi ya chama Tawala?Ni wakati gani muhimili huu unakuwa independent kama umekuwa ukiingiliwa na kufanya maamuzi kwa matakwa ya watu wachache ambao kwao chama ndio kipaombele na siyo Watanzania?

Haya yanatamkwa hadharani kwa sababu viongozi wa muhimili huu wameshindwa kabisa kutenganisha Bunge na itikadi zao za vyama na nilitegemea suala kama la Lusinde likemewe na watu wote wakiwemo viongozi wa Bunge lakini Hadi Sasa kimya.

Ngoma ikivuma Sana inakaribia kupasuka, CCM inaona ufahari kwa haya yanayotokea lakini kisiasa wanajichimbia kaburi maana haki ikipokonywa kwa wananchi itapokonywa pia kwa viongozi wa siasa na hivyo wanaoishi Kama malaika leo kesho wataishi kwa kusaga meno. It's just a matter of time and if you don't believe ask Sumaye, Lowasa, Mwigulu, Nape, Mrema, Marando, Mwandosya, Mwapachu, Msalimie seif etc, Waliamini kuhusu CCM lakini baadaye CCM iliwakataa na waliporudi kwa wananchi wanaumizwa na mfumo walioutengeza wao.
Kwa hiyo singida na Dodoma zina maendeleo kuzidi moshi, arusha na mbeya?
 
Tatzo tulilo nalo Watz ni unafiki,uoga, ujinga, umbumbumbu na uzezeta wa kiwango cha Lami...!!.
Ndugu zetu wa Uganda au Kenya huwa wako tofauti sana na Wanajitambua. Pale inapotokea Serikali kuwafanyia au kumfanyia mmojawao mambo ya kihuni huwa wanachukua maamuzi ya kupinga ujinga na upuuzi!!

Ukija Tanzania ni vichekesho. Tundu Lissu alifanyiwa unyama na udikteta uliopotiliza lakini cha ajabu mpaka leo Watz wamekaa kimya kama makondoo na leo hii ni mwaka 1 huku TL anaendelea kuuguza majeraha nchini Ubelgiji kwa gharama zake na misaada binafsi na Watz kimyaaaaa!!!Hii ni aibu.
.
Uganda Bobi Wine na Wabunge wengine wa Upinzani walifanyiwa unyama kama unaofanyika hapa Tanzania. Lakini RECTION yake. misimamo na kupaaza sauti kwa Waganda kuiambia Dunia kilichotokea na leo hii Bobi Wine yuko USA kwa matibabu kwa gharama za Serikali. Tayari Bobi Wine ameshaongea na media za Ughaibuni na dunia yote imejua kile M-7 anawafanyia Waganda na hatua zimeanza kuchukua na Bunge la EU.
Kodi tulipe wote lakini miradi ya maendeleo ipelekwe kwa wanaccm tu. Ingekuwa ni bora kabisa itangazwe kuwa wanaotakiwa kulipa kodi ni wanaccm tu kwasababu ndio wanaofaidi Matunda.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom