Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Ni wakati muafaka kwa wabunge wa upinzani wakahifadhi hayo matamshi ya lusinde ili wakayasimamie bungeni ili serikali itoe tamko juu ya hiloTungekuwa na tume huru. na vyombo huru. hiki. chama kilipaswa. kuomba radhi umma. wa watanzania. kwa kuonyesha ubaguzi wa wazi. ubaguzi ni dhambi mbaya sana. taifa letu ni muhimu kuliko. chama chochote kile.kodi zinakusanywa kutoka kwa watanzania wote.